inauzwa

  1. C

    Car4Sale Hiace ya abiria inauzwa

    Hiace inauzwa milion 17 njoo na fundi wako ukague Engine 3L standard ipo katika hali nzuri inafanya kazi. Gari bado ipo kwenye hali nzuri. Kwa mawasiliano zaidi na maulizo piga 0735266326. Haina udalali kila kitu kipo safi. 0735266326
  2. N

    Car4Sale Toyota Noah inauzwa

    Toyota Noah Namba T.169 DGH inauzwa. Ipo Dar es Salaam Ni 4 Wheel Drive Ya Mwaka 1996 Imetembea KM 276,907 Bei Tsh.9,100,000 Mhitaji anakaribishwa namba 0765451014 Asanteni
  3. Car4Sale Gari aina ya Toyota Grande Mark II. Gx 110 inauzwa

    Habari Waungwana. Gari aina ya Toyota Grande Mark II. Gx 110 Inauzwa Ipo kimara Dar es salaam.Imechukuliwa🤝
  4. K

    Car4Sale Agiza au nunua gari kutoka kwetu

    Ondoka na hii Toyota Rumion 2007 ✅CC 1490 ✅2WD ✅Black Mettalic ✅ Automatic ✅Utumiaji wa Mafuta 16.2km/l ✅Bima bure(Third party) ✅BEI:17M Pamoja na usajili LIPA 5M Gari ikifika malizia ama lipa nusu gharama nyingine lipa kidokidogo kwa mwaka mzima(mkopo) Ipo #MillesMotors Sinza Mori...
  5. INAUZWA Beskeli ya gia inauzwa

    Done
  6. INAUZWA Meza ya kioo ya watu 6 na viti vyake inauzwa laki moja

    .
  7. INAUZWA Beskeli inauzwa 80000

    ,
  8. INAUZWA Sofa set ya watu 6 inauzwa 200,000

    ,
  9. Phone4Sale Iphone 6s 128 gb inauzwa

    Ipo kipawa uwanja wa ndege price 400k haina tatizo lolote.
  10. Phone4Sale Sony Xperia XZ1

    Sony xperia xz1 inauzwa. RAM 4GB na storage 64GB 200000TZS 0758700852
  11. INAUZWA Motor inauzwa kwa matumizi ya viwandani

    Habari wanajf na wafanyabiashara, Motor hii ilikuwa inatumika kwenye Mashine ya Tofali Mixer yenye ukubwa wa 20hp bei ni Tsh 3mil ni Standard ya German.
  12. Car4Sale Pajero GDI inauzwa

    Salaam wakuu, Nauza gari aina ya Pajero GDI. Ya mwaka 2002. Rangi ni nyeusi. Namba B. Cc 1500. Bei 5 million. Gari ni yangu mimi mwenyewe na haina tatizo lolote. Karibuni.
  13. INAUZWA Tabata-Dar: Bajaj Tvs inauzwa kwa bei ndogo sana

    Bajaj ya abiria aina ya Tvs. Haina shida yoyote njoo na fundi kagua, lipa anza kuswampa Bei elekezi 1,500,000 0713096076 tuwasiliane
  14. Phone4Sale Infinix Hot 10 PLay - 64GB, 4GB, 6000mAh

    Bei: 220000/= piga Simu, 0653499987 Hali: haijawahi kufunguliwa na mafundi,full boxed, Location: Dar es salaam
  15. Igoma-Mwanza: Bajaji ya mizigo inauzwa

    Bajaj ya mizigo inauzwa. Milioni 3 tu kampuni wanhoo Nzima na iko kijiweni mpaka sasa inapiga kazi Eneo: Mwanza Ndama/igoma Piga simu; 0713096076 Nje ya mada: Chukua tahadhari, usitumie hasira kufanya maamuzi. Risasi saba sio suluhu ya matatizo
  16. INAUZWA Salon kali ya kiume inauzwa- Mbeya mjini (Igawilo)

    Salon kali ya kiume inauzwa kwa bei ambayo ni sawa na bure. Salon ipo Mbeya mjini (Igawilo soko kuu) barabarani kabisa. Salon inakila kitu ndani kama vile FLAT TV MPYA, HAIR CUT MACHINE, SALON CHAIRS, SALON WAITERS SOFA, HEATER, SUBWOOFER nk. BEI NI SHILLING MILLION 1 NA LAKI 2 ( KODI YA...
  17. M

    House4Sale Nyumba inauzwa Morogoro Mjini

    Nauza nyumba yangu iliyopo mkoani Morogoro. Mimi ndio mmiliki wa hiyo nyumba. Ukubwa wa kiwanja ni 1500qm. Nyumba ni ya ghorofa. Vyumba vitano (vinne ni master bedroom) Dinning na kitchen ni open plan Sitting room Public toilet. Kuna garage na chumba vimeunganishawa inaweza kuwa kama servant...
  18. INAUZWA Ndege hii inauzwa

    2.5 B Mzungu kalewa Contacts . Mr.ibuog@gmail.com Wajuba yenu 500M
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…