Nimepanda treni ya Kigoma - Dar mwaka 2021, na nilijisemea sitakuja kupanda tena kwa namna treni hii ilivyo na huduma mbovu na za aibu.
Ninatumia usafiri wa ndege Air Tanzania mara kwa mara kwa safari zangu za ndani ya Tanzania. Kuna kipindi hata namba zao za huduma kwa mteja hazipatikani...
Kinachosikitisha ni kwamba kila anayepanda jukwaa kuelezea kinachoitwa umaskini wa Mkoa wa Kagera anakuja na ngonjera za wingi wa maprofesa na ma-PhD holders kutoka mkoani mwetu. Lawama zote zinarundikwa kwa watu hao na Wanakagera kwa jumla.
Huo ndio ukasuku na unafiki wa watawala wetu ambao...
1.Vifurushi vya simu(vocha pia)
2. Vifurushi vya televisheni
3. Usafiri wa daladala
4. Pikipiki
5. Bajaji
6. Mafuta ya kupikia
7. Nafaka zote
8. Soda
9. Sigara
10. Pombe zote
Mambo yote hayo kila siku yanatumika kama serikali itaweka tozo basi nchi itasonga haraka sana.
My.
Mwigulu hata...
Moja kati ya hotuba maarufu sana ya aliyewahi kua muasisi wa taifa letu, Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere ni ile ya mwaka 1995, ambapo kiongozi huyo aliongea kuhusu swala zima la maadui watatu wa maendeleo, ambao ni umasikini, ujinga na maradhi. Katika karne hii ya 21, adui ujinga amekua...
Leo nimeamua kuendeleza utafti wangu kuchunguza nani aliyegundua kwamba lazima pakiti ya condom zikae tatu.
Nahisi utafiti wake umepitwa na wakati. Kwanza Mimi mwenyewe tangu nizijue condom zijawahi kuzimaliza zote tatu.
Kwanza malengo ya huyu mtu nahisi ilikuwa ni kuuwa fikra za vijana wa...
Wakuu, wale wanaopiga risasi angani wakati wa sherehe au kutisha watu. Je, risasi hizo zinaweza safiri umbali gani angani? Wakati wa kushuka zinaweza kumdhuru mtu, na risasi inayopigwa horizontally inaweza kusafiri umbali gani na kudhuru mtu?
Tunafahamu undugu wa watu huunganishwa kwa dam ( genetics ). Je ikitokea mtu kachangiwa damu na watu ambao sio familia moja na ikitokea wakapendana tuseme aliyechangiwa damu ( me ) na mtoto wa mchanga damu (ke) na wakafanya mapenzi, je kunaweza kuwa na shida juu ya mtoto atakayezaliwa na kiimani...
Na Umaru Napoleon Koroma,
Katibu mkuu wa Chama cha Umma cha Sierra Leone
Kwenye hotuba iliyotolewa na Makhtar Diop, Naibu Mkuu wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika, alisema mwaka 1978 China ilikuwa miongoni mwa nchi maskini zaidi duniani. Kuanzia mwaka huo, mapato halisi ya kila mtu wa China...
Shirikisho la soka hapa nchini almaarufu kama TFF linaratibu, kuongoza na kusimamia soka ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. CAF ni kwa Afrika nzima na FIFA ni kwa dunia. TFF inatekeleza majukumu yake, pamoja na mambo mengine, kupitia Kamati na uongozi wake.
Jana, Kamati ya Maadili...
Kesi ya Mbowe iliondolewa kwa nolle prosequi, serikali ikiondoa kesi kwa mfumo huo, inaweza kuirejesha.
Sasa Kingai ndio Yuko jikoni akikarangiza upelelezi. Ikimpendeza aisuke ili twende raundi ya pili
Marekani ni taifa ovu kupiltiliza!! Marekani imepokonya mabilioni ya dola za marekani mali ya urusi! Kama hiyo haitoshi imepokonya mabilioni ya dola za marekani zikiwa ni pesa binafsi za raia matajiri wa Urusi, na imepokonya mali za raia hao kama majumba, ndege, mashua za starehe nk. Kwa...
Naomba kunishauri, biashara gani kati ya hizo haina complication Nahitaji kufungua biashara, akili yangu inawaza biashara tatu lakini moja tu ndo inabidi nichague kati ya hizo.
Ile habari ya kubeba pesa kwenye toroli kwenda kununua mikate inaweza kutupata. Maana wanasema inasababishwa na watu kupoteza imani na pesa. Nini linasababisha hilo? Ishu kama ile inaweza kutokea hapa kwetu?
Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limezuia maziko ya James Januari (4) aliyejeruhiwa usiku wa kuamkia Jumapili na kufariki dunia Julai 5, 2022 katika Hospitali ya Rufaa Morogoro.
Aidha, kuna uwezekano wa kufukua miili sita iliyozikwa Jumapili Julai 3, 2022 baada ya tukio la mauaji ya watu sita wa...
Sokoni kuna antivirus nyingi na kila moja inajinasibu kuwa ni nzuri. Kwa yule mwenye uzoefu na antivirus mbalimbali naomba ushauri nitumie antivirus vipi kwenye laptop yangu?
Mwanzoni mwa utawala wa mama Samia, kuna mkopo wa trilioni 1.3 wa masharti nafuu ambao ulikopwa kwa ajili ya kupambana na janga la korona.
Huu mkopo ulipata umaarufu zaidi baada ya aliyekuwa spika wa bunge mh. Job ndungai kuhoji kwanini mkopo huo umeombwa wakati tunaweza kutumia hela zetu za...
Wala usiumize kichwa kutaka kujua limekopwa lini, kwa sababu anayekopa si Rais, inakopeshwa serikali, mikopo yote ya nchi yetu haikopeshwi kwa awamu, kuna nchi ambazo zinakopa kwa awamu, lakini kabla hujamaliza awamu yako uwe umeshalipa".Waziri Nchemba.
Chanzo: ITV Tanzania
Yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.