Habari zenu wakuu, naombeni msaada, nataka kuuza hizi hereni na pete ni vya gold ila sijui chochote kuhusiana na bei naogopa nisije pata mteja nikataja bei kubwa nikachekwa au nikataja ndogo nikajinyonya.
Msaada kwa wataalam wa mambo ya grams za gold na bei zake wanisaidie bei kwa gm. Mf...
Wakuu nipo nafanya application ya masters ila naona wanataka ni attach matokeo ya IELTS. Naomba muongozo kama test iyo inaweza fanyika online na gharama zake n sh ngp
Kumekuwa na hoja kutoka siasa za upinzani, wakidai kwamba kuna uwezekano wa bei za vyakula kushuka iwapo tu tungekuwa na Katiba Mpya.
Hii ni hoja inayowavutia sana wananchi ila hakuna hata kiongozi mmoja wa upinzani aliewahi kueleza ni kwa jinsi gani jambo hili linawezekana.
Tafadhali kama...
Habari waungwana,
Ukiwa mwelewa na kuacha ubishi haya maneno yanaweza kubadilisha maisha yako kabisa. Siandiki maneno haya ili kukuonyesha kwamba mimi ni tajiri sana hapana. Naweza kuwa sina chochote lakini bado nikaandika kitu ambacho kitakufanya kesho uwe mtu mkubwa sana hapa duniani. Wapo...
Wakuu heshima yenu, nimekuja mbele yenu nikiwa na swali moja tu ni software gani ambayo inaweza ikanisaidia kuhifadhi taarifa za namna hii.
Mfano:
Taarifa za watoto waliozaliwa nchi nzima mwaka 2022, nakihitaji nizihifadhi ambapo mtu mwingine akija kwenye hiyo software baada ya kuhifadhi...
Mpatanishi wa Umoja wa Afrika katika mzozo wa Tigray, #OlusegunObasanjo, ameliambia jarida la Financial Times (FT) kuwa idadi hiyo imetokea ndani ya miaka miwili ya mapigano.
Mzozo ulianza Novemba 2020, baada ya Waziri Mkuu #AbiyAhmed kuamuru mashambulizi dhidi ya vikosi vya Tigray kwa maelezo...
Kama inavyojulikana njia ya mtu kuambukizwa VVU ni kipitia kujamiana ukiachana na njia zingine kama kuwekewa damu ya muathirika n.k
Leo nimeenda mazingira Fulani mkoani kilimanjaro kwa ajili ya kucheck vipimo n.k, vipimo ambavyo tunavijua kwa wingi ni rapid test zile SD Bioline.
But nimekutana...
Ikiwa sasa unatumia saa 17 hadi 20 angani kwa ndege kusafiri umbali mrefu mataifa kwa mataifa!
Ipo siku wataalam watafanikisha kupata njia nyepesi ya kuitembelea dunia kwa muda mfupi sana wa dakika 20 hadi 25 tu
Nitaieleza dunia kwa mfano wa chungwa!
Kama tulivyowahi kujifunza huko zamani shule...
Habari gani mabibi na manabwa, karibuni tulijadiri hili.
Kila siku utakuta watu wakilaumu serikali zao hasa za ki Africa kuhusu viongozi wetu na weakness za katiba, je katiba tu ndo inaweza leta matokeo chanya kwa taifa? Je katiba ndio chanzo cha mikopo isiyokuwa na ulazima?
All in all ebu...
Nimeona leo mjadala umekuwa mkubwa juu ya refa kuongeza dk nyingi kwenye mechi ya Azam na coast union.
Nafikiri mwamuzi alikuwa sahihi kwa 100% sababu hizi timu za mikoani zimekuwa na katabia kakijinga sana kupoteza muda pindi wanapokuwa wanaongoza au wanapoona matokeo yako upande wao bila...
Nawasalimu Kwa jina la muungano wana JF wote
Kifupi nisikuchoshe wala tusichoshane nitaenda moja Kwa moja kwenye maada kama kichwa kinavyoeleza
Mtanisamehe Kwa uandishi wangu Mimi sio muandishi mzuri
Kwa kifupi Mimi ni kijana Wa kitanzania mkazi Wa jijini Dar es Salaam. Katika harakati za...
Najua hii ni mada maarufu na nyeti kwa baadhi ya watu. Sababu ni kwamba Forex ni biashara ya kimtandao
Na nahitaji ushauri kama yupo mtu ambaye alishawahi kufanya kufanikiwa hii biashara ya mtandao ya Forex Trading.
Niambieni je ni kweli inaweza kumtoa mtu kwenye umaskini?
Nimekuta nguzo ya Tanesco imewekwa ila iko ndani ya eneo na ninataka kuweza uzio wa ukuta. Kwa wenye uelewa nipeni ushauri,hii nguzo naweza jenga ukuta ikawa ndani ya uzio wangu?
Nafikiri sasa tutaongea lugha moja ya kwamba yanga kucheza michezo 44 bila kufungwa sio jambo jepesi kama wanavyodhani wale mbumbumbu, unatakiwa uwe na kikosi cha maana na kipana kufikia iyo rekodi.
Tumeona leo wazee wa pira litembee walivyoangukia pua mbele ya azam, baada ya kulegezwa na derby...
Dar es Salaam. Muungano wa vyama vya siasa vya upinzani 14 nchini umetangaza kuunga mkono ripoti Kikosi cha kazi kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kutafuta na kuchakata maoni ya wadau kuhusu mfumo wa demokrasia, huku wakikosoa msimamo wa Chadema kupinga ripoti hiyo.
Oktoba 21, kikosi...
Niliingia bungeni ku-observe CSOs, NGOs, watu binafsi ambao wamewasilisha mapendekezo yao kuhusu sheria na miswada ya sheria inayopendekezwa.
Hata hivyo Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria ilikuwa na watu wachache sana walioenda kutoa mapendekezo ambayo hasa yalilenga sheria ya COSTECH na...
Wanawake wenye jina la mama mdogo nawapata kirahisi, hii inaweza kuhusiana na mambo ya koroho?
Ni jina la yule mama mdogo ambaye wamezoena zaidi na mama ukiachana na wadogo zake wengine wawili wa kike.
Nakumbuka sekondari form 3 hadi 4 kuna binti alikuwa na hilo jina aliniganda na tulipendana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.