inaweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Inshu ya Tupac inaweza kuwa nzito kuliko tunavyofikiria, ushahidi huu hapa

  2. Ni CCM pekee ndiyo inaweza kuleta Katiba Mpya

    Harakati za kudai Katiba Mpya Tanzania ni harakati za muda mrefu sana, takribani miaka 30 iliyopita baada ya Tanzania kuingia rasmi katika mfumo wa vyama vingi. Watu wengi wamefungwa, kuteswa na wengine kupoteza hata maisha yao kutokana na kupaza sauti katika kudai Katiba Mpya. Licha ya damu...
  3. J

    Mahakama inaweza kuliamuru Bunge?

    Nakumbuka wakati Tundu Lissu anatetea ubunge wake baada ya kufukuzwa na Spika Ndugai Mahakama ilisema haiwezi kuingilia maamuzi ya Spika. Kwanini leo Spika anaisubiri Mahakama imuongoze? Huku siyo kuingilia Uhuru wa Bunge?!!
  4. Ngono ya kinywa inaweza ambukiza Saratani ya Koo

    Human Papilloma Virus (HPV) ndicho kirusi ambacho inaaminika kinatajwa kuwa kinasababisha Saratani ya Kizazi, ambayo kwa asilimia kubwa inawaathiri wanawake. Pamoja na hivyo wanaume na wanawake wote wanaweza kuathirika na kirusi hicho kwa kupata saratani ya koo ikiwa watashiriki ngono ya kinywa...
  5. Mambo ambayo Biblia inaweza kukusaidia hata kama hutaki kwenda Mbinguni

    1: UTAWALA: Watawala waliotawala dunia zamani walitumia maandiko ya Mungu wa kiebrania kama miongoni mwa machapisho yao. 2: Ndoa. Kanuni za ndoa zinazosisitizwa katika biblia zitakufanya ufurahie ndoa hadi mwisho wako. Mke mtii Mume, mume mpende mke. 3: Muda. Tabia ya kujali Muda inayoleta...
  6. Walimu wa Hisabati, hii inaweza kutusaidia kufaulisha Wanafunzi na kulipenda somo hili

    Habarini za humu JF Elimu, Leo nimekuja kutoa nami mawazo na mitazamo ni namna gani tunaweza kuwasaidia hawa watoto katika hili somo rahisi kabisa! MAMBO YA MSINGI KWA MWANAFUNZI NA KWA MWALIMU 1. Lugha adhimu ya kiingereza iwe mikononi mwa wanafunzi kwa vyovyote vile hasahasa grammatical and...
  7. Hii njia inaweza kufaa kupunguza kuchepuka kwa mwanamke alieolewa

    Hii mbinu itamfanya mwanamke kuogopa kuchepuka kwa kuhisi kuwa ataonekana kuwa mchafu kwa mchepuko wake. Kwa wale wanaume wanaosafiri safiri sana, yaani kuwa na mkeo inakuwa mara chache, sasa fanya hivi:- mwambie asiwe ananyoa. Wewe ndio unatakiwa umnyoe tena kwa kuyapunguza tu usiyamalize...
  8. Ukiachana na VPN na TOR hii njia pia inaweza kukusaidia ku-access blocked sites au apps kwenye internet kwa kubadili DNS Servers

    Hello bosses....... Kuna muda matumizi ya internet yanabanwa kiasi fulani hivyo kufanya watu wengi waishie kutumia VPN. Japo matumizi ya VPN yanaonekana kuaminiwa sana ila kiukweli mara nyingi hizi free au cheap VPN haziko safe sana sana kwenye privacy yako kwa sababu wao wanapata browsing...
  9. Njaa inaweza kutufundisha kuliko Walimu

    NJAA INAWEZA KUTUFUNDISHA KULIKO WALIMU. Na Elius Ndabila 0768239284 Kumekuwa na mjadala mkubwa juu ya pembejeo za kilimo kupanda bei mara dufu. Bahati mbaya toka mijadala hii imeanza hakujawa na suluhisho. Wapo wanaojaribu kutengeneza sababu kuwa kupanda Kwa pembejeo za kilimo kunatokana na...
  10. Anuani za Makazi na Wakazi je inaweza kupatika/kutolewa sehemu ambazo hazijapimwa?

    Nimeshuhudia watu wakipita na makaratasi wakiwaambiwa wakazi wa eneo husika kuwa huu mtaa n mtaa flan na Kama Kuna njia wanasema n njia flan bila ya mwenyeji/wenyeji kujua Hilo jina limetokea wapi. Pili hiv inawezekana kutoa anuani bila ya kuwa umerasimisha makazi ya eneo husika? Mfano unakuta...
  11. Ukitunga sheria kumbuka kuwa inaweza kukugeuka

    Mwaka 1880 Malkia Sunanda Kamiriratana wa Thailand akiwa kwenye boat ndogo ya kifalme, boat hiyo ilipata ajali kwa kugongana na boat kubwa. Watu waliokuwa kwenye boat ndogo yani malkia, binti yake, vijakazi na walinzi wake wote walidumbukia kwenye maji. Shida ikawa ni je wamuokoe malkia au...
  12. Kama misikiti inaweza kujengwa mitaani kwa uhuru, kwanini kujengwa kwa makanisa kuwe kero Zanzibar?

    Nimeshuhudia taarifa na video mtandaoni ikionyesha kanisa dogo la TAG maeneo ya Zanzibar likivunjwa na greda kwa amri ya wakuu fulani wa serikali wa Zanzibar. Sababu za kimsingi za hayo kutokea ni kukosekana kwa uvumilivu wa kidini kwa baadhi ya wakazi wa Zanzibar dhidi ya imani zingine, jambo...
  13. Wataalam wa ujenzi, hii nyumba inaweza kugharimu kiasi gani?

    Wataalam wa ujenzi hii nyumba inaweza kugharimu kiasi gani nimeipenda.
  14. M

    Hukumu ya Jaji Tiganga inaweza kupatikana?

    Pamoja na Mhe Mbowe na wenzake Kia chi wa guru baada ya DPP kueleza nia ya kutoendelea na kesi, je ile hukumu ya Jaji Tiganga iliyowakuta ya washtakiwa wana kesi ya kujibu inaweza kupatikana? Tunataka tuichambue hukumu hiyo kwenye vijiwe vyetu, kwenye vyama vya kitaaluma ya sheria, kwenye law...
  15. Serikali iwe makini, join the chain inaweza kuwa mkakati wa kutakatisha fedha chafu na kuziingiza katika mfumo rasmi

    Nashauri sheria iundwe kudhibiti michango isiyo na kichwa na miguu. Kuna tetesi kwamba mwanasiasa mmoja amepewa mabilioni na taasisi za kijasusi za Mataifa ya Magharibi na anatafuta njia ya kuzipenyeza nchini, Serikali iwe makini.
  16. Tanzania inaweza kuanza kuzalisha ndege za watu wachache

    Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema kipo hatua za mwisho za majadiliano na kampuni ya Skyleader yenye makao makuu nchini Czech ili waje kuwekeza nchini Tanzania. Skyleader ni kampuni inayotengeneza ndege ndogo za wazi ambazo huwa na siti moja hadi mbili. Kampuni hiyo inaweza kuanza...
  17. Mathematics inaweza kutufunulia kuhusu siri za ulimwengu kweli...??

    Naleta swali hili kwenu nyinyi wataalum wa hesabu. Je, Mathematics inaweza kutufunulia siri za ulimwengu..? Nimekuwa nikisikia kuwa hesabu na matendo yake kama tutaweza kuzitumia vyema basi tunaweza kutambua siri kadhaa za ulimwengu!!. Inamaanisha hesabu ni lugha ya ulimwengu so ni vile tu...
  18. Urusi inaweza kuivamia Ukraine muda wowote, Marekani yatoa angalizo, yataka raia wake waondoke Ukraine

    Marekani imeonya kuwa Urusi inaweza kuivamia kijeshi Ukraine muda wowote. Mshauri wa masuala ya usalama wa Marekani, Jake Sullivan amesema uvamizi huo unaweza ukaanza kwa makombora na mashambulizi ya anga. Tangazo la Marekani linatokana na taarifa mpya za kijasusi kuhusu kuongezeka kwa...
  19. Kinga wanayokwenda kuwekewa Polisi 'undercover' kwenye Sheria inaweza ikahalalisha Polisi kufanya uhalifu dhidi ya binadamu kama Mtwara?

  20. M

    Mahakama inaweza kukulazimisha kujibu swali lolote bila kujali kiapo ulichokula cha kulinda siri

    Sheria ya kulinda siri ina sehemu inazokuzuia kuropoka siri za taasisi yako unayofanyia kazi,,,sehemu hizo ni kama ukiwa baa, sokoni,msikitini,kanisani,kwa mchepuko nk, ukiwa sehemu hizo ikaropoka mambo kwa mfano ya Jeshi utaadhibiwa vibaya sana Ila linapokuja swala la mahakama,utajibu kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…