Msemo unasema, muda haumngoji mtu, na kwa Joe Biden mwenye umri wa miaka 80, hilo linaweza kuwa tatizo. Je, rais wa Marekani anaweza kuwashawishi wapiga kura kwamba umri wake si hoja?
Bw Biden alitangaza Jumanne kwamba anataka kuhudumu kwa miaka mingine minne katika Ikulu ya White House...