Niliwahi kuhudhuria darasa moja, nikastajabu sana. Huyo mwalimu alitufundisha eti kuna sijui nabii au mtume kiongozi wa dini aliwahi kupanda farasi sijui punda akaenda mbinguni. Alipofika huko akakutana na manabii wa kale wakina Musa, Yusuph na wengineo. Ila hakukutana na mtu mweusi wa kale hata...