Jamii ya Hindu huko India tangia zamani za kale wamekuwa wakiishi na watu wanaojitambulisha kama wasio na jinsia, yaani sio wa kike wala sio wa kiume. Ndani ya jamii, watu hawa wamekuwa wakifanya shughuli mbalimbali za kijamii kama kutoa baraka kwa watoto, baraka kwa wenzi wa ndoa ili kuongeza...