Habari zenu wadau, bila shaka Jumatatu inaenda vyema.
Kumekuwa na taarifa kuwa mtandao maarufu wa Instagram unatarajia kuanza mchakato wa majaribio ya kuficha 'likes' kwenye post.
CEO wa Instagram, Adam Mosseri, amesema lengo kubwa la kufanya hivyo ni kuondoa ushindani na kuweka mkazo zaidi...