Januari 9, 2007 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Apple, Steve Jobs alitangaza kuzinduliwa kwa simu ya iPhone, simu iliyokuwa na iPod, kamera na uwezo wa kutumia intaneti, kati ya vingine vingi. Tangu wakati huo hadi sasa, tumeshuhudia mabadiliko ya vizazi vya iPhone, kila toleo jipya likionekana...