iraq

Iraq (, (listen) or ; Arabic: ٱلْعِرَاق‎, al-ʿirāq; Kurdish: عێراق‎ Êraq), officially the Republic of Iraq (Arabic: جُمْهُورِيَّة ٱلْعِرَاق‎ Jumhūrīyah al-ʿirāq; Kurdish: کۆماری عێراق‎ Komarî Êraq), is a country in Western Asia, bordered by Turkey to the north, Iran to the east, Kuwait to the southeast, Saudi Arabia to the south, Jordan to the southwest and Syria to the west. The capital, and largest city, is Baghdad. Iraq is home to diverse ethnic groups including Arabs, Kurds, Chaldeans, Assyrians, Turkmen, Shabakis, Yazidis, Armenians, Mandeans, Circassians and Kawliya. Around 99% of the country's 38 million citizens are Muslims, with tiny minorities of Christians, Yarsans, Yezidis and Mandeans also present. The official languages of Iraq are Arabic and Kurdish.
Iraq has a coastline measuring 58 km (36 miles) on the northern Persian Gulf and encompasses the Mesopotamian Alluvial Plain, the northwestern end of the Zagros mountain range and the eastern part of the Syrian Desert. Two major rivers, the Tigris and Euphrates, run south through Iraq and into the Shatt al-Arab near the Persian Gulf. These rivers provide Iraq with significant amounts of fertile land.
The region between the Tigris and Euphrates rivers, historically known as Mesopotamia, is often referred to as the cradle of civilisation. It was here that mankind first began to read, write, create laws and live in cities under an organised government—notably Uruk, from which "Iraq" is derived. The area has been home to successive civilisations since the 6th millennium BC. Iraq was the centre of the Akkadian, Sumerian, Assyrian, Chaldean Empire, and Babylonian empires. It was also part of the Median, Achaemenid, Hellenistic, Parthian, Sassanid, Roman, Rashidun, Umayyad, Abbasid, Ayyubid, Seljuk, Mongol, Timurid, Safavid, Afsharid and Ottoman empires.The country today known as Iraq was a region of the Ottoman Empire until the partition of the Ottoman Empire in the 20th century. It was made up of three provinces, called vilayets in the Ottoman language: Mosul Vilayet, Baghdad Vilayet, and Basra Vilayet. In April 1920 the British Mandate of Mesopotamia was created under the authority of the League of Nations. A British-backed monarchy joining these vilayets into one Kingdom was established in 1921 under Faisal I of Iraq. The Hashemite Kingdom of Iraq gained independence from the UK in 1932. In 1958, the monarchy was overthrown and the Iraqi Republic created. Iraq was controlled by the Arab Socialist Ba'ath Party from 1968 until 2003. After an invasion by the United States and its allies in 2003, Saddam Hussein's Ba'ath Party was removed from power, and multi-party parliamentary elections were held in 2005. The US presence in Iraq ended in 2011, but the Iraqi insurgency continued and intensified as fighters from the Syrian Civil War spilled into the country. Out of the insurgency came a highly destructive group calling itself ISIL, which took large parts of the north and west. It has since been largely defeated. Disputes over the sovereignty of Kurdistan Region continue. A referendum about the full sovereignty of Kurdistan Region was held on 25 September 2017. On 9 December 2017, then-Iraqi Prime Minister Haider al-Abadi declared victory over ISIL after the group lost its territory in Iraq.Iraq is a federal parliamentary republic consisting of 19 governorates (provinces) and one autonomous region (Kurdistan Region). The country's official religion is Islam. Culturally, Iraq has a very rich heritage and celebrates the achievements of its past in both pre-Islamic as well as post-Islamic times and is known for its poets. Its painters and sculptors are among the best in the Arab world, some of them being world-class as well as producing fine handicrafts, including rugs and carpets. Iraq is a founding member of the UN as well as of the Arab League, OIC, Non-Aligned Movement and the IMF.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Kiongozi wa kundi la kigaidi la Isis la nchini Iraq na Syria auwawa.

    Waziri Mkuu wa Iraq Mohammed Shia Al Sudani alitangaza siku ya Ijumaa kwamba Abdullah Miki Musleh al Rifai ambaye pia hujulikana kama Abu Khadija kiongozi wa kundi la kigaidi cha Isis cha Iraq na Syria ameuwawa. Gaidi huyo ameuawa kwenye opereseheni iliyofanywa na vikosi vya ulinzi vya Iraq kwa...
  2. Historia 2023: Ukraine ilishiriki kwenye uvamizi haramu wa Iraq na kufanya kile inachofanyiwa leo

    UTANGULIZI: Mwaka 2003 Marekani ilivamia Iraq kimabavu na kumuondoa raisi wa nchi hiyo. Mataifa mengi ya Ulaya yalimuunga mkono Marekani kwamba anapambana na serikali dhalimu inayohifadhi magaidi na kumiliki silaha za maangamizi. Jambo ambalo ilikuja kufahamika baadaye kwamba halikuwa na ukweli...
  3. Anayewahamasisha mtoe watoto English Elementary ndio huyo ana support bunge la Iraq kuruhusu wasichana wa miaka 9 kuolewa

    Mhamasishaji wenu: https://www.jamiiforums.com/threads/nasimama-na-bunge-la-iraqwi.2301833/ Kumtapeli mbongo ni raha sana, we mpatie vimaneno vimaneno vya hamasa ghafla ulimbukeni wake utaanza kutiki one by one hadi unamchukua mazima. Anaewaambia mtoe watoto elementary eti mnapoteza hela ndio...
  4. Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

    Bunge la Iraq limepitisha sheria ya 'kutisha' kuruhusu watoto wa umri wa miaka tisa kuolewa, huku wanaharakati wakisema kuwa hatua hiyo itahalalisha ubakaji wa watoto. Sheria hiyo mpya inazipa mahakama za Kiislamu mamlaka zaidi katika kushughulikia masuala ya kifamilia kama vile ndoa, talaka...
  5. S

    Askari wa Marekani waliorudi nchini kwao baada ya kushiriki vita nchini Iraq na Afghanistan wanajiua kwa viwango vya juu

    Ripoti zinasema, tangu uvamizi wa Marekani nchini Afghanistan na Iraq uliotokea baada ya Shambulio la September 11: 1. Zaidi ya askari 30,000 walioshiriki uvamizi huo wamejiua. Hii ni mara nne zaidi ya askari waliokufa vitani/ kwenye mapigano. 2. Mwaka 2019 pekee askari 6261 walijiua ikiwa ni...
  6. Papa Fransis asema walitaka kumuua alipokuwa Iraq 2021

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki, Papa Francis, amefichua siri kuwa Watu walipanga kumuua wakati akiwa safarini nchini Iraq March 2021 lakini mauaji hayo yalizuiwa baada ya kupata taarifa za kiintelejensia kutoka Nchini Uingereza. Papa amefichua njama hizo za jaribio la mauaji yake kwenye kitabu cha...
  7. Libya na Iraq kuna amani ya ajabu. Sasa ni maendeleo tu

    Utawala wa Saddam na Gaddafi ulichelewesha Sana Maendeleo ya haya mataifa. Kuondolewa Madarakani kwa Saddam Hussein na Gaddafi Kulionekana kwamba kungeleta Machafuko. Cha ajabu mataifa haya Yametulia na sasa ni mwendo wa Maendeleo Iraq na Libya zimeanza kupaa Kiuchumi. Miundombinu inajengeka...
  8. Bunge la Iraq lajadili mpango wa kuruhusu ndoa za utotoni, kushusha umri wa mabinti kuolewa hadi miaka 9

    Vyombo vya habari vya kimataifa na wanaharakati wa haki za binadamu wameishutumu vikali Iraq kwa muswaada unaojadiliwa na bunge la nchi hiyo unaokusudia kushusha umri wa wanawake kuolewa kutoka miaka 18 hadi kufikia miaka 9. Wanaharakati wa haki wanasema muswaada huu ni mbovu mno na huku ni...
  9. Hakuna Cha ‘Pray for Israel’ au Iran - Wacha Wapigane Hadi Wachoke! Mpalestina wa Buza na Muisrael wa Bonyokwa kaeni kwa kutulia

    Mi’ huwa nikisikiaga watu wanatwangana huko ulaya, Asia na kwingineko huwa nafurahi tu, acha watwangane tu na hata wamalizane, kwangu haina shida. Kwa nini? Wao wanatusababishia vita huku, wanachukua madini na vinginevyo na kusepa, so how come leo nikisikia watu wanatwangana nihuzunike? Je...
  10. Vikosi vya anga vya Uturuki vimeshambulia maeneo ya wanamgambo wa Kikurdi nchini Syria na Iraq

    Kawaida ya watu wenye roho mbaya,wauaji,makatili na wenye ushetani. Huwa wakimaliza kula wengine wanarudi hadi kwao. Uturuki ni Taifa la Kiislamu. Imagine linashambuliwa. Huko Ulaya ambako kuna makafiri wengi Waislamu ndo wanapenda kukimbilia.hawataki kwenda Egypt,Saudia...
  11. Sweden kuwafukuza kwa nguvu watu wenye asili ya Iraq

    Sweden leo itatuma ndege pamoja yenye watu wenye asili ya Iraq Kwenda Iraq ambao WATAFUKUZWA KWA NGUVU (deportation) kutoka Sweden hadi Iraq. Baadhi ya Wairaq ambao watafukuzwa leo wamekuwa wakiishi Uswidi kwa miaka 17. Sweden imechukua hatua hizi baada ya kuona watoto wao wanabakwa kila siku...
  12. Iraq (babylon) chanzo cha maasi duniani

    Tujifunze kidogo kuhusu taifa LA Iraq🇮🇶 Iraq ni taifa lenye history kubwa kuliko matafa mengi duniani Wanadamu wa kwanza (Adam na Hawa)waliishi hapa katikati ya mito ya Tigris na Euphrates Dhambi au uasi ulianzia hapa na hawa watu na kusambaa duniani kote Eneo hili ndipo Adam alimuasi Mungu...
  13. LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran

    Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo Yemen tayari keshaandaa wanajeshi laki 4 Iraq kuna wanajeshi laki 2 na nusu Hezbollah wapo zaidi laki...
  14. G

    Bunge la Iraq lapokea muswada wa kupunguza umri wa kuolewa kutoka miaka 15 mpaka miaka 9

    Bunge la Iraqi linataka kuruhusu wasichana wa miaka 9 kuolewa kihalali, kwa sasa umri unauruhusiwa na katiba ili binti aolewe ni miaka 15, bunge linataka umri huo upunguzwe hadi miaka 9. Muongozo unaofatwa ni Sharia Law ambayo ni mkusanyiko wa sheria kadhaa za dini. === Iraq plans to lower the...
  15. H

    Wanajeshi kadhaa wa Marekani wamejeruhiwa baada ya kushambuliwa na bomu nchini Iraq

    Habari za hivi punde, kambi ya marekani imeshambuliwa nchini Iraq huku. Ikidaiwa kuwa wanajeshi wake kadhaa wamejeruhiwa. Haijajulikana ni kundi Gani limehusika katika shambulizi ilo la bomu katika kambi ya marekani iliyopo Iraq lakini inadaiwa huenda makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na...
  16. Huku meli ya kivita ya Eisenhower ikirudi nyumbani,Houth kwa kushirikiana na wenzao wa Iraq waipiga meli nyengine bila upinzani

    Meli ya kivita kubwa ya Marekani pamoja na kikundi chake inarudi nyumbani baada ya miezi 8 ya kupambana na HOuth ndani ya bahari ya Red Sea.Nafasi yake itachukuliwa na meli nyengine ya USS Theodore Roosevet Japo Houth wametangaza kuwa walifanikiwa kuijeruhi meli hiyo lakini wasemaji wa jeshi la...
  17. G

    Sababu ya kuisapoti Israel!! Ikiwa chini ya Palestina itageuzwa kuwa dola ya kisasi, ubaguzi na ukandamizaji wa kidini, yalishatokea Iran, Iraq, n.k

    Kumbuka lengo la kushambulia Israel ni kuua waisrael wote, ndicho kitachotokea Israel ikitekwa na Palestina, Hawa watu wakivamia huwa ni chinja chinja tu kujaribu kuua waisrael wote kwa kiasi wanachoweza, Hata watanzania wenzetu walioenda kusoma huko walikutwa kwenye ardhi ya Israel na wakauawa...
  18. Bandari ya Eliat ya Israel yashambuliwa kutokea Iraq

    Bandari ya Israel ya kusini ambayo iko kwenye bahari nyekundu imeshambuliwa kutokea upande wa mashariki. Kikundi cha kivita ndani ya Iraq kimetoa tangazo la kuhusika na shambulia hilo ikisema ilipiga jengo muhimu walilolikusudia. Bandari hiyo ambayo kwa sasa iko karibu kufungwa kutokana na...
  19. Jamaa aliyechoma Qur'ani Tukufu Salwan Momika, amekutwa amekufa nchini Norway

    Salwan Sabah Matti Momika ni mkosoaji wa Uislamu. Anajulikana kwa kupanga maandamano nchini sweden ambapo alichoma Quran hadharani. Momika alizaliwa katika familia ya Kikristo, lakini alibadilika na kua mtu asiyeamini uwepo wa Mungu. Mnamo 2023, Momika alipanga mfululizo wa maandamano kama...
  20. Exclusive-Militia wa Iraq waonya wanajeshi wa Marekani wataondoka 'katika majeneza' ikiwa Biden hatajiondoa

    Kiongozi wa wanamgambo wa Iraq wanaoshiriki katika muungano wa makundi ambayo yamefanya mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Marekani na Israel ameiambia Newsweek kuwa vikosi vyake viko tayari kuongeza kampeni zao kwa kiasi kikubwa ikiwa Rais Joe Biden hatatimiza matakwa yao. Kwa mujibu wa Sheikh...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…