Salaam Wakuu,
Nimekutana na stori mtaani zinadai kwamba mnamo mwaka 1990 Bondia Maarufu Muhamedi Ali alienda nchini Iraq kuzungumza na rais wa nchi hiyo wakati huo Sadam Hussein kuwaachia mateka wa Marekani na kufanikiwa.
Je, kuna ukweli wowote kuhusu sakata hili?
Tunaombeni ufafanuzi
Ignoring warnings from the government and his family.
---
Of all the legendary wins in Muhammad Ali’s life, few are as little known as the one he pulled off exactly 25 years ago today: Defying the odds and the American government, Ali traveled to Iraq, where 15 Americans were being held hostage...
Mimi ni mkristu ila kuna muda inabidi ukweli usemwe. Leo nimekaa nikakumbuka trip yangu ya kwanza Dubai, kuna protocols nilivunja ila wahusika pale (waarabu) wakaniita ofisini kwao kwanza nikaulizwa kama nimekula, nikapelekwa kula kisha ndo wakanikalisha chini kunielekeza.
Overall experience...
Wanaukumbi.
Marekani kuondoka Iraq na Syria ndani ya siku 90
Marekani inajiandaa kuondoa vikosi vyake vyote au sehemu yake kutoka Iraq na Syria ili kukabiliana na ongezeko la mashambulizi ya vikosi vya upinzani vya Iraq, kwa mujibu wa maafisa wakuu wa Marekani.
Bunge la Iraq kwa sasa...
Kawahishwa kwa mabikira, ni mojawapo wa makundi yanayofadhiliwa na Iran.
===========
A commander from Kataib Hezbollah, an Iran-backed armed group in Iraq that the Pentagon has blamed for attacking its troops, was killed in a US strike on Wednesday, the US military said.
"(US) forces...
PENTAGON : MAREKANI YAANZA MASHAMBULUZI YA KULIPA KISASI KWA KUPIGA NGOME ZA VIBARAKA WA IRAN NCHINI IRAQ NA SYRIA.
SPECIAL REPORT
https://m.youtube.com/watch?v=ckOSPG_A8AI
Marekani yashambulia mgambo vikaragosi vya Iran ambao walishambulia ngome ya askari wa Marekani nchini Jordan na...
Ujinga tupu kama nchi yako ikajiunga na kuwa miongoni mwa nchi za Kiislam!
Aliyeikataa OIC nchini petu Tanzania, apewe mauwa yake.
Kinachofanyika na kufanywa na nchi ya Kiislamu IRAN kwa nchi za kiisilamu nyenzake, ni uhuni na ulimbukeni kuendelea kuamini kwamba hili nalo ni taifa linalounga...
BREAKING;
Islamic regime ya Iran usiku wa kuamkia leo ilimuua mmoja wa watu tajiri zaidi wa Iraq, Peshraw Dizayee, kwa kurusha makombora 2 ya ballistic from Iran hadi nyumbani kwake huko Erbil, Iraq.
Mkewe na jamaa wengine 2 pia waliuawa.
Alilengwa kwa sababu ya kuwezesha biashara na Israel...
Mapema jana Ijumaa jumla ya Makombora saba yalirushwa na kufanikiwa kuingia ndani ya ubalozi wa Marekani nchini Iraq.
Ubalozi huo daima huwa unalindwa na mifumo mbali mbali ya ulinzi ambayo imewekwa kwenye hali ya tahadhari, hata hivyo hikuwezekana kuyazuia makombora hayo kutua ndani ya ubalozi...
Huku viongozi wa Marekani wakitoa matamko ya wazi ya utayari wao kuisaidia silaha zaidi Israel na kivitendo imeshasogeza meli za kivita kwenye bahari ya mediteranean karibu na Israel..
Viongozi wakubwa wa mataifa ya Yemen na Iraq wameionya Marekani dhidi ya uingiliaji kati wake huo.
Huko Iraq...
Mbali na Watu 100 kupoteza maisha wengine 150 wamejeruhiwa baada ya moto kuzuka wakati wa sherehe ukumbini katika Wilaya ya Al-Hamdaniya, Mji wa Nineveh.
Chanzo halisi cha moto huo hakijabainika japokuwa taarifa za awali inadaiwa ni ulitokana na fataki kuwashwa eneo la tukio.
Bibi harusi na...
Serikali ya Iraq leo Agosti 6, 2023 imetangaza kuwa inasitisha matumizi ya mtandao wa kijamii wa Telegram kote nchini kwa misingi ya kulinda "usalama wa taifa", hali iliyosababisha ukosoaji kutoka kwa vituo vilivyo karibu na mirengo inayoiunga mkono Iran.
Huduma hiyo imezuiwa leo ambapo...
Ubalozi wa Sweden nchini Iraq umefungwa na balozi wa Sweden amefukuzwa nchini Iraq.
Sweden imefunga ubalozi huo baada ya waandamanaji kuuchoma moto kwa sababu ya tukio la kuchana chana na kupiga teke Quran lililofanyika nchini Sweden siku ya Alhamisi.
Sweden imesema inalaani kitendo cha...
Ni miaka 20 imepita sasa tangu marekani aivamie Iraq kwa kile kinachosemekana Saddam Hussein alikuwa anamiliki silaha hatari za maangamizi ,anafadhili magaidi pia alikuwa anatesa raia wake, hivyo marekani kwa kibali Cha UN ikafanya kitu alichokuwa anakitamani kwa muda mrefu.
Mambo yalianzaje...
Miaka 20 ilopita, Marekani na washirika wake akiwemo Uingereza waliivamia nchi ya Iraq baada ya kushindwa kulishawishi baraza la usalama la Umoja wa Mataifa.
Marekani na Uingereza walishindwa kulishawishi baraza la usalama la umoja wa mataifa kuweka azimio au "resolution" la kuwawezesha kuwa na...
Upande wa mashtaka katika kesi ya kusafirisha binadamu inayomkabili Mohamed Masoli umedai mlalamikaji (jina limehifadhiwa) baada ya kufika nchini Iraq kwa ajili ya kufanya kazi za ndani aliteswa na bosi wake, ikiwemo kuingiliwa kimwili na wanaume zaidi ya wawili kwa wakati mmoja.
Hayo...
Tukio hilo limetokea Kaskazini mwa Iran karibu na Mji wa Kirkuk ikidaiwa Kundi la IS limehusika.
Bomu lililipuka kwenye gari lililobeba askari hao karibu na Kijiji cha Chalal al-Matar, kisha wakashambuliwa kwa risasi, askari wengine wawili wakijeruhiwa.
Inakadiriwa kikundi hicho kina...
Takriban watu 15 wameuawa na makumi kujeruhiwa katika mapigano kati ya vikosi vya usalama vya Iraq na wafuasi wa kiongozi mwenye nguvu wa Kishia Muqtada al-Sadr, baada ya wafuasi hao kuvamia ikulu katika mji mkuu wa Baghdad.
Kambi ya kiongozi huyo wa Kijeshi ilishinda viti vingi bungeni Oktoba...
Mahakama nchini Iraq imezisimamisha shughuli zake ikiwa ni baada ya wafuasi wa kiongozi wa kidini mwenye ushawishi mkubwa Moqtada al-Sadr kuongeza shinikizo lake kutika kuvunjwa kwa bunge, ukielezwa kuwa mgogoro mkubwa tangu uvamizi wa Marekani.
Katika siku za hivi karibuni kiongozi huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.