Ilikua mwaka 1958 Mfalme Hussein wa Jordan aliomba msaada wa kijeshi kutoka Iraq ili kukabiliana na mgogoro wa Lebanon. Mkuu wa majeshi wa Iraq, Colonel Abd al-Karim Qasim aliandaa jeshi. Cha kushangaza alilielekeza jeshi kuingia Ikulu ya Mfalme mjini Baghdad. Mfalme Faisal aliamuru askari...
George Bush kamlaumu vikali rais Putin wa Russia akisema kuwa Putin kaivamia Iraq kijeshi kwa uonevu tu pasi na sababu yoyote ya msingi...
Bush aliposhtukia kuwa anaongea mambo ya ajabu aliyoyafanya yeye mwenyewe Iraq, akacheka kwa kuchapia kisha akasingizia uzee wake.
Mwaka huu tutaona mengi...
Kwa kweli Urusi imefikia kiwango kipya cha aibu, mpaka wanapokea misaada ya silaha kutoka kwa waasi, kainchi kadogo Ukraine kamekua mfupa uliomshinda fisi....
Iranian networks have been working to smuggle weapons from Iraq to Russia as Moscow’s plans to quickly invade Ukraine’s capital and...
Kipigo cha Iraq wakuu kilikuwa ni cha kikatili sana.
Ziliruka ndege mamia juu ya Anga Siku ya kwanza zikadondosha mabomu kama mvua Baghdad. Hata sisimizi wa Iraq walijua kuna wanadamu katili.
Uchunguzi wa UN ulipuuzwa. Anapigwa MTU bila kuonyesha uhalali wa upigwa. Na dunia nzima...
Vita hizi zote zinaitwa operation.
USA waliita operation desert storm.
Urusi waniita operation maalumu.
USA wakisema Iraq Ina silaha za maangamizi WMD hivyo inyang'anywe.
Urusi wanataka Ukraine isijiunge na NATO,kwa vile Ukraine kakataa ombi la Urusi la kutojiunga NATO Urusi kaona basi...
Mwishoni mwa miaka ya 1990, Saddam Hussein alimwendea mpiga picha akiwa na ombi la kushangaza.
Saddam Hussein, ambaye aliingia madarakani mnamo mwaka 1979, alibakia kuwa rais wa Iraq hadi uvamizi ulioongozwa na Marekani mnamo 2003. Alitaka kutengeneza nakala ya Kitabu kitakatifu cha Qur'an kwa...
Watu 82 wamefariki wengine zaidi ya 100 wamejeruhiwa baada ya mitungi ya oksijeni kulipuka katika hospitali ya Ibn Khatibu ambay ina wagnjwa wa COVID19, Jumamosi Usiku.
Waziri Mkuu wa Iraq, Mustafa al-Kadhimi amemsimamisha kazi Waziri wa Afya ili kupisha uchunguzi wa tukio hilo.
===
At least...
Niko naangalia EWTN Tv
Tofauti na msisitizo wa maaskofu katoliki wa Tanzania wanaosisitiza uvaaji barakoa na social distance
Papa ametinga Iraq kurdistani hajavaa barakoa na wanaompokea hawajavaa barakoa na yuko katika msongamano mkubwa wa watu
Kingine kilichonifurahisha kashuka kwenye...
Wakuu nimekutana na hii kitu, majirani zenu na watani wa jadi wamezuiwa kuingia Dubai (UAE)
Africa pia zimo Libya, Tunisia na Somalia.
=====
The United Arab Emirates has stopped issuing new visas to citizens of 13 mostly Muslim-majority countries, including Iran, Syria and Somalia...
Hii ni operesheni iliyofanya na ndege vita za iran dhidi ya kambi hatari kuliko zote za majeshi ya Iraq iyo kambi ililindwa na mifumo mikali kutoka urusi na baadh yake kutoka Marekani lakin kwa kutumia utaalamu wao marubani wa iran walishambulia hiyo kambi bila kupoteza hata ndege moja ndege...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti;
Kwanini jeshi la sasa la Iraq lina maafisa waandamizi wa vyeo vya juu kama Major General Saleh Nasser ilhali liliundwa na kusukwa upya mwaka 2003?
Mtu anawezaje kuwa Major Gerenal ndani ya miaka 17 tu ya utumishi...
Mchungaji Anthony Lusekelo amewataka Watanzania kutoiga iga mambo kwani demokrasia ina maana pana.
Mzee wa Upako amesema hata Marekani demokrasia wanayoihubiri hawaiishi kwa mfano Hilarry Clinton ndiye aliyeshinda kwa wingi wa kura lakini aliyeteuliwa kuwa Rais ni Donald Trump.
Kadhalika...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Eti ndugu zangu watanzania (wale tu mnaofuatilia siasa za kimataifa kwa muda mrefu kama mimi);
Kwanini Russia ilishindwa kumtetea Saddam Hussein wa Iraq ila kwa sasa inamkingia kifua Bashar Al-Assad wa Syria ilhali nchi hizi mbili zinapakana...
2003 INVASION OF IRAQ: Kanisa Katoliki Vatican na ushawishi wake juu ya msamaha kwa Waziri Tariq Aziz. Mkristo kindakindaki na swahiba mkuu (Inner Circle) wa Saddam Hussein.
Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Iraq katika utawala wa Saddam Hussein na mtu wa upande wake wa kulia (right-hand...
Kuna nini?
Kwanini TBC1 wana tangazo moja tu la Historia ya Libya na Iraq, kuna nini huku kwetu, wanatengeneza mazingira au ni kampeni, mwenye uelewa atujulishe maana, kwangu binafsi sina Histora yoyote ya ACT wala CHADEMA kuwateka wanachama wa CCM na kuwaua sina kabisa, huenda wengine wana...
UISLAM SIO UGAIDI NA WAISLAM SIO MAGAIDI: Sheikh Najih Shaker Al-Baldawi ni shujaa wa Iraq aliyemkumbatia "Suicide Bomber" kisha kuokoa maisha ya wenzake.
UTANGULIZI: Kwa msio nifahamu mimi Infantry Soldier ni mkristo ila ninafahamu fika ya kuwa uislamu si ugaidi na wala waislamu si magaidi...
Habari!
Vikosi vya usalama vya Iraq vimevamia kambi ya kundi lenye nguvu linaloungwa mkono na Iran la Kataib Hezbollah kusini mwa Baghdad na kuwakamata wanamgambo 14 sambamba na zana za kivita zikiwemo roketi, duru zimearifu.
Operesheni hiyo maalumu iliyofanyika mwishoni mwa siku ya Alhamisi...
Kundi la wanamgambo linalojiita Dola la Kiislamu, IS limemshambulia Waziri Mkuu mpya wa Iraq, Mustafa al-Kadhimi, kwa kumuita "kibaraka wa Marekani". Aidha IS imekosoa hatua ya kufungwa kwa eneo takatifu zaidi la ibada la Kiislamu katika mji mtakatifu wa Mecca, nchini Saudi Arabia, katika hatua...
A massive demonstration –called for by a prominent Shia cleric– has flooded the streets of the Iraq's capital Baghdad, with thousands voicing their anger at the US military presence there.
Early on Friday morning, throngs of protesters – men and women, young and old – began amassing at...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.