iraq

  1. Suley2019

    Kiongozi Kundi la IS akamatwa Iraq

    Ni Abu Abdul Bari ambaye alikamatwa nchini Iraq na kubebwa na lori kutokana na kuwa na uzito mkubwa wa kilo 250. Mosul, Iraq. Kiongozi wa kundi la wapiganaji la Islamic state (IS), Abu Abdul Bari amekamatwa nchini Iraq. Kiongozi huyo amekamatwa leo Jumatatu Januari 20 na kubebwa na lori...
  2. FRANC THE GREAT

    Missile strike kills eight pro-Iranian militia members on Syria border

    Eight pro-Iran militia have been killed by an airstrike on the border between Iraq and Syria according to reports. Eight pro-Iran militia have been killed by an airstrike on the border between Iraq and Syria according to reports. The eight victims were allegedly apart of the Hashed al-Shaabi...
  3. General Mangi

    Marekani: Iran imehusika kuangusha ndege ya Ukraine

    Idara ya Ujasusi ya Marekani imeripoti kwamba, Iran imehusika na kuanguka kwa ndege ya Ukraine Boeing 737-800 kwa kuangishwa kwa bomu. ===== Iran mistakenly shot down the Ukrainian plane that crashed on Wednesday near Tehran with 176 people on board, US media report. US officials say they...
  4. beth

    Jeshi la Polisi: Tanzania ipo salama dhidi ya vitendo vya ugaidi

    Jeshi la Polisi nchini limewahakikishia raia wa kigeni wakiwemo watalii, kuwa nchi ipo salama dhidi ya vitendo vya kigaidi; na linaendelea kuimarisha ulinzi katika maeneo yote ya nchi. Kauli hiyo imetolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, David Misime. Alisema hayo wakati akizungumzia...
  5. Lennovo core i5

    Naelekea Iraq kuchunguza kambi za kijeshi zilizolipuliwa na Iran

    Watanzania wenzangu niombeeni, Nawasihi nioombeni pia tuombeeni team nzima tunaoenda kutathimini matokeo ya shambulio la Iran kwenye kambi za kijeshi. Nitawapa idadi kamili ya madhara na vifo vilivyotokana na shambulio hili. Niombeeni narudia tena niombeeni. Familia yangu ipo njiani kurejea...
  6. 100 others

    Green Zone imeshambuliwa kwa maroketi karibu na ubalozi wa Marekani Baghdad Iraq

    Habari zilizojiri hivi punde ni shambulizi la maroketi mawili katika eneo la Green Zone huko Baghdad karibu na ubalozi wa USA. Makombora hayo yamerushwa masaa kadhaa baada ya Rais Donald Trump kutangaza kwamba Iran inaonekana kusitisha mzozo wa kijeshi na Marekani. Mpaka sasa haifahamiki...
  7. MK254

    Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

    Iran imerusha makombora zaidi ya 10 ikilenga Majengo ya Marekani yaliyopo Kaskazini mwa Iraq ikiwemo Kambi ya Jeshi ya Ain al-Asad ambapo kuna Majeshi ya Marekani ikiwa ni siku chache baada ya Marekani kumuua Qassem Soleimani Chaneli ya Taifa ya Iran imesema, Jeshi la Kimapinduzi la Nchi hiyo...
  8. Analogia Malenga

    Marekani yasema haina mpango wa kuondoka Iraq

    Waziri wa ulinzi wa Marekani Mark Esper amekanusha madai kuwa majeshi yake yanataka kuondoka Iraq, baada ya barua kutoka kwa jenerali wa Marekani kupendekeza waondoke. Barua ilisema kuwa Marekani itaondoa vikosi vya majeshi yake siku zijazo au wiki baada ya wabunge wa Iraq kuwataka waondoke...
  9. britanicca

    Vikosi vya Marekani vyawaua wanamgambo 26 Iraq Jumamosi ya leo

    Kituo cha televisheni ya taifa cha Iraq kimesema jeshi la Marekani limeshambulia kikundi cha wanamgambo wa Shia, Kaskazini mwa mji mkuu wa nchi hiyo Baghdad. Wana mgambo 26 wameripotiwa kuuawa katika shambulizi hilo la jana Ijumaa usiku, lakini hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na 🇺🇸 Iraq News
  10. N

    USA kupeleka wanajeshi Iraq 10000 na sniper 200.Kazi imeanza

    Mimi naona Trump akianzisha ugomvi hamalizi .yupo tayari
  11. N

    Marekani kuondoshwa Iraq kwa au kuingizwa gharama kubwa za kuivamia upya Iraq

    Haya ni maoni binafsi yanayotokana na kitendo cha marekani kumuua kanda wa Quds Force Qasem Soleimani mapema leo. Iran itajibu mapigo kwa kupeleka kikosi cha makamanda na wanajeshi wa kujiyolea kwa maelfu nchini Iraq kuikabili marekani. Kikosi hiki kitaliteka jeshi la Iraq kisha kuanzisha...
  12. Nyendo

    Pompeo afuta ziara yake barani Ulaya na Asia kushughulikia kadhia ya Iraq

    Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Mike Pompeo ameahirisha ziara yake nchini Ukraine na mataifa mengine barani Asia kufuatia shambulizi kwenye ubalozi wa Marekani mjini Baghdad lililofanywa na watu wenye silaha wanaoungwa mkono na Iran. Pompeo alitarajiwa kuwasili Ukraine siku ya Ijumaa...
  13. Webabu

    Ubalozi wa Marekani nchini Iraq wachomwa moto, inasikitisha

    Ubalozi wa Marekani nchini Iraq nchi ambayo Marekani imekuwepo kijeshi kwa muda mrefu tangu walipompindua Saddam Hussein umechomwa moto na waandamanaji wenye mrengo wa kuiunga mkono Iran. Hii inafuatia hapo juzi kushambuliwa kwa kambi za wanamgambo huo na kuuliwa wapiganaji wasiopungua 25...
  14. FRANC THE GREAT

    IRAQ: Maandamano yaendelea mjini Baghdad na Nassiriya

    Wairaq waendeleza maandamano mjini Baghdad na Nassiriya Raia nchini Iraq wameendelea na maandamano kwenye mji mkuu Baghdad na eneo la kusini ya nchi hiyo ikiwa ni ishara ya kutoridhishwa na mipango ya kujiuzulu waziri mkuu na kusisitiza wanasiasa wote laghai kuondoka. Waziri mkuu Adel Abdul...
Back
Top Bottom