Wayahudi ni jamii iliyopigana vita vingi kuliko jamii yoyote.
Kabla ya Masiha, Wayahudi walitumia vita kama uthibitisho wa Mungu kuwa pamoja nao. Walipotenda sawa na mapenzi ya Mungu, waliwapiga maadui zao, tena kwa irahisi. Walipokengeuka, walipoenda vitani, walipigwa, na hata kuchukuliwa...