israel

  1. M

    Iran yatoa onyo kwa nchi za kiarabu zitakazoisaidia Israel kwa namna yoyote dhidi yake

    Waziri wa mambo ya nje wa Iran amezionya nchi za kiarabu zitakazojitia kiherehere kuisiaidia Israel kufanya ugaidi dhidi yake. Bila kuzitaja majina bila shaka Waziri huyo anamaanisha nchi kama Jordan ambazo hata kwenye shambulio la jana ilijifanya kimbelembele kujaribu kutungua makomora ya...
  2. mtwa mkulu

    Athari za mashambulizi ya makombola ya Iran dhidi ya Israel

    Sulbakheri Tehrani...Shkamooni Dar es salaam......Asalam aleykum Tehran, Baghdad na Syria... Mpaka jioni hii Kwa majira ya Africa Mashariki hakuna tunachoweza kuficha kuhusu athari zilizojitokeza kuhusiana na makombora yaliyofurushwa na iran. Iran ilirusha takribani makombora 180 kuelekea...
  3. Heart Wood.

    Ukifuatilia sana yanayojiri huko Israel, Lebanon, Iran, Palestina, Russia na Ukraine unaweza fikiri Dunia itawaka moto usiku huu na Kuteketea kabisa

    Wakuu, Kichwa cha thread chahusika. Yaani ukijifanya kuwa mfuatiliaji sana wa kinachojiri huko kwa wenzetu unaweza pata wasiwasi na kuhisi dunia itafikia mwisho usiku wa leo. Kumbe maisha yapo tu na yataendelea kuwepo sana. Mwanzoni wakati nasikia Russia ikiwapiga beat Ukraine pamoja na...
  4. H

    Breaking news, wanajeshi 30 wa Israel WAMEUWAWA leo Huko Lebanon

    Wanajeshi 30 wa Israel WAMEUWAWA leo Huko Lebanon kufuatia shambulizi la kushtukiza yaani ambush lililofanywa na Hezbollah, Hezbollah waliwavamia wanajeshi wa Israel ghafla na kuanza mashambulizi ya kurushiana RISASI kitu kilichopelekea kuuwawa Kwa wanajeshi hao, Israel Bado haijatoa taarifa...
  5. Waufukweni

    Israel yathibitisha kifo cha mwanajeshi wake wa kwanza tangu uvamizi wa Lebanon

    Mwanajeshi wa kwanza wa Israel amethibitishwa kuuawa ndani ya Lebanon tangu uvamizi wa ardhini kuanza. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilitangaza katika taarifa kwamba Kapteni Eitan Yitzhak Oster, 22, aliuawa ndani ya Lebanon siku ya Jumatano. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 22 alikuwa katika...
  6. FaizaFoxy

    Rasmi: Yemen yatangaza vita na israel (Yemen Declares War with Israel)

    Yemen rasmi wametangaza vita na Israel na wamewataka wakazi wote wa Tel Aviv kulihama hilo jiji la mashoga tel aviv, kwa kuwa lipo ndani ya uwezo wao kulibamiza na wameshaonesha hilo nara mbili tatu. Wameendelea kusema kuwa "hauliwi Myemeni na yeyote yule duniani bila damu yake kulipwa, tupo...
  7. ITR

    Wanajeshi 8 wa Israel wauawa kwenye shambulizi la Hizbullah

    Wanajeshi zaidi ya 8 wa Israel wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa baada ya ambush ya kushutukiza ya wapiganaji wa hizbullah wakati wa jaribio la wanajeshi hao kuingia kwenye kijiji cha mpakani cha Odaisseh nchini Lebanon ,wanajeshi wa Israel walirazimika kurudi nyuma baada ya shambulizi hilo...
  8. U

    Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Antonio Guterres apigwa marufuku kukanyaga Israel kwa kushindwa kulaani shambulizi la Iran na kuunga mkono magaidi

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Israel imempiga marufuku personal non grata Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa Antonio guterres kwa kushindwa kulaani shambulizi la makombora ya masafa marefu ya Iran dhidi ya Israel. Israel pia inamtuhumu kuwa na sera zenye uelekeo wa kutetea na kuunga...
  9. enzo1988

    Hizi ndizo sehemu zilizopigwa na makombora ya Iran huko Israel siku ya jana!

    Ukitumia akili na siyo mahaba, haya makombora yalileta madhara coz mbinu iliyotumika ni kuupa mzigo mkubwa huo mtambo wa kuyazuia! Yaani ni kutumia hesabu za kawaida tu, mzigo una uwezo wa kuzuia kombora moja kwa dakika (huu ni mfano), ili kuuzidi unatuma makombora kumi kwa dakika! Hatimaye...
  10. E

    Umewahi jiuliza kama Israel akirusha Mabovu 200 kwenda Irani nini kitatokea ?

    Kama moja tu lilichimba mpaka handaki
  11. U

    Rais wa Iran asema mfumo wa ulinzi dhidi ya makombora wa Israel wa iron dome wa Israel ni mwepesi na laini kama glasi

    Wadau hamjamboni nyote? Mfumo wa ulinzi dhidi ya makombora wa Israel wa iron dome ni laini mno na upo sawa tu na glasi ya maji au juice Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: . October 02, 2024 at 08:45 Pezeshkian calls Iron Dome 'fragile,' warns of stronger response if Israel retaliates...
  12. M

    Baada ya kuzima mashambulizi ya Irani Israel imeendelea na mshambulizi huko Lebanon

    CNN, wanarepoti kuwa Israel imeendelea kufanya mashambulizi makali ya anga usiku wa kuamkia Leo. Haya yanajili baada ya jana Iran kufanya mashambulizi kama sehemu ya onyo kwa Israel kuacha kuendelea kushambulia Lebanon na Gaza na kuua viongozi wa ngazi za juu wa vikundi hivyo. Source: CNN
  13. G

    Nafikiri Israel Itapotezea kulipa Kisasi kwa Iran mpaka imalizane na Hizbola kwanza. Iran itawekwa kiporo kama Hizbola wakati wanashambulia Hamas

    Wakati Israel inashambulia magaidi wa Hamas na Hizbola ilianza kushambulia Israel ili ipoteze lengo Lakini wakaawacha tangu October 7 Hadi juzi zamu yao ilipofika Ayatollah akae Kwa kutulia asubiri zamu yake INGAwa Nia na nguvu ya kupigwa ilikuwepo sababu ndo ilikuwa inatafutwa Kwa Sasa sababu...
  14. G

    Iran ijipange upya. Walichoweza ni kuua Mpalestina moja wakati Israel inalipua viongozi, maghala ya silaha, pagers zikiwa mifukoni n.k

    Seriously !! Iran walichoweza hadi sasa ni kuua mplestina 1, Kupania kote kule kurusha makombora 200+ wameua mpalestina moja ? Israel Helikopta ya Rais wa Iran iliopotezwa mawinguni asubuhi, wataalam wabobezi wa Iran na Uturuki walihangaika sana kuitafuta siku nzima wakaja kuipata usiku wa...
  15. M

    Kwa wale ambao hawakuona "vimondo" vya Iran vikikung'uta Israel basi ushahidi mzuri uko katika video hizi.

    https://www.youtube.com/watch?v=O1isnJKJtVQ&ab_channel=Bobby%27sPerspective
  16. Allen Kilewella

    CCM mmejiandaeje soko la mafuta likitikiswa na vita za Israel?

    Tunajua mko bize kuwaza mnashindaje kwa kishindo cha furushi la mwizi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa. Ingawa tangu muanze "kushinda kwa kishindo" sisi watanzania hatuoni kishindo chochote cha kimaendeleo kwenye maisha yetu. Israel kaanzisha vita huko Mashariki ya kati, na kwa mtazamo tu...
  17. green rajab

    Iran yasema Israel ikijibu, itaitwanga mara 1,000 zaidi

    BREAKING: Iran yasema Israel ikithubutu kurusha hata jiwe itapata kipigo zaidi ya kile cha Jana..Netanyahoo alizoea kupigana na Wanamgambo amekutana na Jeshi kamili. 🇮🇷 Statement by the IRGC: "if Israel responds, we will hit them a thousand times harder" 'In the name of God almighty; as a...
  18. M

    Jenerali wa Iran asema tulilenga Kambi za Jeshi za Israel zinazohusika kufanya uharamia wa kuua watu wasio na hatia!

    Jeneral Mkuu wa vikosi vya IRGC vya Iran amesema kuwa Iran ilijaribu kuwa wavumilivu baada ya Israel kubreach sovereignity yao kwa kuingia ndani na kumuua mgeni wao Ismail Hanniyeh aliyekuwa amekwenda kuhudhuria kuapishwa kwa rais mpya wa Iran. Akasema kuwa baada ya Israel kumuua Jeneral wa Iran...
  19. Kingsmann

    Israel vs Iran: Inaenda kutokea "Holly War" ambayo itasababisha "WW III" ambayo italeta "New World Order"

    Haya mambo hayatokei hivihivi tu, kuna injinia wako nyuma yake wanasuka mipango yao waijuayo wao. Sisi huku duniani tupotupo tu tunashangilia na ku take sides bila kufanya uchambuzi yakinifu wa "Reason Behind" ya yanayoendelea. Mwaka 2025 huenda ukawa mgumu sana kwa dunia nzima, tujipange kwa...
  20. Nehemia Kilave

    Kwa mara ya kwanza Marekani na Urusi wanaweza kuungana kumpa nguvu Israel dhidi ya Iran

    Israel na Russia walikuwa maadui tangu zamani sana ,uadui wao ulijulikana sana miaka ya 1947 kipindi cha Cold War mpaka miaka ya 2000. Miaka ya 2000 mpaka sasa Israel na Russia wakaanza kuwa Marafiki hiyo ni kutokana na sababu kuu 3 :- 1. Kuingia katika uongozi wa Russia Pro-Israel Vladimir...
Back
Top Bottom