Hezbollah imeripoti kuwa imefanikiwa kubamiza vituo muhimu vya kijeshi vya Israel, ikiwa ni pamoja na makao makuu ya upelelezi ya Mossad na kambi muhimu ya IDF, wakati wa mgogoro unaoendelea kufuatia uvamizi wa ardhi wa mazayuni kusini mwa Lebanon. Jionee...
Mliimba akbar akbar kila mara pale magaidi wa waislamu, Hezbollah walipochokoza Israel, mkaambiwa msitishe maana mkijibiwa msije mkalia, sasa imekua kilio Lebanon, watu milioni moja wakimbia makwao, na isisahaulike humo Lebanon kulikua wakimbizi wengi sana waliotoroka Syria wakitegemea Lebanon...
Wadau hamjamboni nyote?
Hassan nasrallah aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Hezbollah amezikwa kwa muda eneo lisilojulikana wakihofia mazishi makubwa ya wazi upo uwezekano mkubwa wa Mossad na IDF kutumia hiyo fursa hiyo kufanya yao!
Hivyo wanasubiri siku za usoni mazingira yakiwa sawa basi watamfanyia...
Picha za satalait zinazo onesha uharibifu kwenye base 2 za anga za Israel.
shirika la habari la AP lilionesha picha za setalait za Ovde air base na Nevatim air base zikiwa zimeharibiwa vibaya sana.
Ayatollah na wadau wake walisema sababu ya kurusha makombora ni
1: Kisasi kwa kiongozi wa Hamas aliyeuwawa ndani ya ardhi yake na watu wanaodhaniwa ni waisrael.
2: Kuuwawa kwa kiongozi wa Hesbullah huko Lebanoni.
Ukiangalia sababu hizo zote hazina mashiko ukilinganisha sababu za mashambulizi...
Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE.
Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa...
Ni ujinga mkubwa sana kwa watanzani kushadadia vuta ya israel na palestina nakuacha kuzungumzia matatizo yanayoikabili nchi yao.
Huo ni ukichaa huwezi kuyajua ya israel na palestina yakwako yakakushinda ni ushabiki wa kijinga.
Chambueni yenu kwaajili ya maendeleo ya nchi yenu.
Wanajeshi wa Israel wanakabiliwa na shubiri chungu sana kwenye uvamizi wao huko nchini Lebanon.
Hapo kwenye video ni kikosi maalum cha makomando cha Israel kilicho angamizwa na wapiganaji wa Hizbullah.
Kwa mujibu wa tovuti mbali mbali za kimataifa zimesema kuwa kuna uwezekano wa Israel KUISHAMBULIA IRAN leo usiku kama Kujibu shambulio la Iran la apo juzi.
Inasemekana Israel tayari umeanza mipango ya kuishambulia Iran leo huku kukiwa na hofu ya Israel KUISHAMBULIA visima vya mafuta vya Iran...
Benyamin Netanyaho sasa amelikoroga kagusa pumbu za Putin ngoja akutane na figisu za Red Army
BREAKING:
🇷🇺🇮🇱 Russia has just ordered its citizens to immediately leave Israel after Israeli airstrikes attacked the vicinity of Russia's Khmeimim base in Syria.
In light of the extremely tense...
Shambulio la Iran dhidi ya Israel hapo majuzi lilikuwa la kushangaza. Usikose. Shambulio linalokuja la Israel dhidi ya Iran litakuwa mshangao mkubwa kwa ulimwengu pia.
Baraza la mawaziri la usalama la Israeli na wakuu wa ulinzi wanajadili chaguzi kadhaa za kulipiza kisasi dhidi ya Iran 🇮🇷 kwani...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Iranian Jews compelled to mourn Nasrallah's death amid oppressive climate
Oct 1, 2024, 16:43 GMT+1
Updated Oct 2, 2024, 08:01 GMT+1
Jews in Iran are being pressured by the authorities to publicly mourn the death of Hezbollah...
🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨
Kambi ya jeshi ya Israel ilikuwa na ndege za F 35 ilichakazwa na makombora tiifu ya Iran kuangamiza ndege hizo. Kwa aibu kubwa IDF wameamua kuziba kabisa eneo la kambi hiyo kupitia picha za satellite ili kuficha magofu.
🚨🇮🇱🇮🇷 ISRAEL has CENSORED satellite images of their military...
Katibu wa UN Kama kiongozi wa umoja wa mataifa yote alipaswa akemea hadharani uvamizi wa Iran nchini Israel. Ila naamini Israel wanaweka rekodi sawa ili siku akivamia Iran katibu wa UN usiingize mdomo
Pia Israel inaendelea kutengeneza ushahidi wa kuonyesha anavyochokozwa na mataifa mengine na...
Mods msiunganishe huu Uzi tafadhali ili kuweka mizani sawa ya kile kilichojiri kwenye mashambulizi ya Iran ndani ya Israel, hii ni kuonyesha uhalisia baada ya Israel na vyombo vya habari vya magharibi kudai kua 90% ya makombora yalidunguliwa.
Tutazame dakika 5 za maeneo yaliyopigwa,yakijumuisha...
Washirika muhimu wa haya mataifa mawili hasimu[ Israel na Iran ] hapo mashariki ya kati ambao wapo bega kwa bega nao katika ushirika muhimu wa kiuchumi, kiulinzi na kiushawishi leo tuwafahamu kidogo in case huu uhasimu ukizaa vita kubwa tegemea kuona kishindo kikubwa sana mashariki ya kati...
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limethibitisha kuwa askari wake wanane wa wameua katika makabiliano na wapiganaji wa Hezbillah kusini mwa Lebanon
IDF inasema watatu walikuwa wa kitengo cha Egoz,
Awali ilitangaza katika taarifa kwamba Kapteni Eitan Yitzhak Oster, 22, aliuawa ndani ya Lebanon...
Picha: hawa ndo Wanamagambo wa Israel walioangamizwa leo na Jeshi la Hezbollah
Hawa ndo magaidi na wanamgambo walioangamizwa na Hezbollah leo
Captain Eitan Itzhak Oster, Captain Harel Etinger, Captain Itai Ariel Giat, Sergeant First Class Noam Barzilay, Sergeant First Class Or Mantzur...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.