Katika hali inayoonekana kama njia ya kupunguza na kuondoa taharuki huko mashariki ya kati, serikali ya Marekani imesema ipo tayari kulipa fidia kutokana na madhara ya mashambulizi ya makombora kutoka Iran wiki iliyopita!
On Sunday, Israeli TV channel Kan11 claimed that Washington had offered...
Kisa cha kwanza.
May 20, 1948 UN ilimteua Count Folke Bernadotte kuwa mpatanishi mkuu katika mgogoro wa Israel na Palestina.
Mapendekezo ya Count Folke Bernadotte
1. Kurejesha wakimbizi wa Kipalestina: wakimbizi wa Kipalestina waruhusiwe kurejea kwenye makazi yao au kulipwa fidia kwa mali zao...
Amini kuna miujiza hapa Duniani, kanchi kadogo kapo vitani lakini kanakimbiza nafasi ya pili huko Middle east
N:B: Ule msaada wa dola bilioni 3 wanaopewa na Marekani kila mwaka haufikii asilimia 1 %
https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_Middle_Eastern_countries_by_GDP
Israel inajilinda na umasikini kwa kuwekeza kwenye elimu ya ubunifu wa teknolojia, hawana madini ardhi yao sehemu kubwa ni jangwa lakini kupitia Teknolojia wana uchumi wa dola bilioni 500 (Trilioni elf 1 na 500) kusanya nchi zote za Afrika Mashariki hatufikii. Kampuni yenye teknolojia kubwa ya...
07 October 23 ndio kipigo Cha kuwafurusha kilianza rasmi kwa Wavamizi wa Kiyahudi toka Nchini Poland na bara Ulaya waliovamia Palestine kwa ajili ya kulinda maslahi ya mabeberu wa Ulaya.
Israel imekua ikitajwa kama taifa Lenye Silaha na Tech za kisasa lkn kipigo kimekuja kuwaumbua baada...
Waziri wa ulinzi wa Israel bwana Gallant ameeleza kuwa mashambulizi ya Israel dhidi ya Hezbollah, yamepunguza sana uwezo wa Hezbollah wa kupigana, na Hezbollah kwa sasa hawana mfumo wa kusimamia uendeshaji wa vita.
Galant ameeleza kuwa Israel imefanikiwa kutengeneza mwanya utakaowezesha...
Jeshi la Israel limekiri kuwa mifumo ya ulinzi wa anga ilishindwa kuzuia shambulio kubwa la roketi na kombora la Hezbollah. IDF ilisema kwamba inachunguza athari za roketi, hasara na uharibifu kwa Israeli kaskazini.
Hezbollah ilifanya mashambulizi 18 dhidi ya wanajeshi wa Israel na vituo...
Israel kuonyesha kuchanganyikiwa washambulia Total Energies za mfaransa.
Katika kuonyesha kuchanganyikiwa Israel wameshambilia ofisi, maghala, na Sheli za kampuni ya Total Energies za mfaransa huko Beirut Lebanon.
Hii inajiri baada ya Macron kutangaza hawatowapa Israel silaha tena na kuzitaka...
Wadau hamjamboni nyote?
Waziri wa ulinzi wa Israel komandoo yoav galant na Waziri mwenzake Lloyd Austin watafanya kikao kizito makao makuu ya wizara ya ulinzi ya Marekani pentagon siku ya jumatano Oktoba 8, 2024.
Taarifa kamili hapo chini:
Defense Minister Yoav Gallant will travel to the...
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekucha huko Tehran!
Israel kazi anayo kwani mashiha hawataki mchezo wanazidi kupongezana
Jenerali Amir Ali Hajizadeh Kamanda Mkuu kikosi Cha wanaanga wa Jeshi la Mapinduzi la Iran amepewa nishani ya juu ya heshima kwa kufanikisha vema shambulizi la makombora ya...
MWANZO 32:28
... Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila ISRAEL, maana umeshindana na Mungu na Watu, nawe umeshinda.
Israel yupo vitani na pande Saba hivi Sasa, Magaidi ya Hesbollah, Magaidi ya Hamas, Magaidi ya Houth, Mfadhili wa Magaidi Iran, Wanamgambo wa Iraq, na wengine wawili...
Kwa mujibu wa vyombo mbali mbali vya habari vimesema kwamba Israel inajiandaa KUISHAMBULIA Iran apo kesho Oct 07
Kama kumbukizi ya shambulio la Oct 07 lililofanywa na hamas Kule Israel,
Tayari wakuu wa kijeshi wa Israel walikutana na kupanga mipango ya kuishambulia Iran kesho tar 07...
Mpaka kufikia siku ya Jana jeshi la Israel lilishatokomeza magaidi wa HEZBOLLAH 560 tunaendelea kuwaombea wakristo wenzetu Israel waendelee kufuta magaidi kwenye uso wa dunia kifuatacho ni kuifanya Iran iwe majivu sababu ndio nchi inayoongozwa na magaidi endapo ikitokea gaidi kajificha Kwa raia...
Natamani nimjue alie mpa elimu ya ujasusi netanyau maana ana akili kubwa sana.
Kweny ujasusi kuna kitu kinaitwa False flag.
FALSE FLAG;a political or military action that is made to appear to have been carried out by a group that is not actually responsible:
Credit definition Geogle
Walicho...
Wanaukumbi.
BREAKING🚨 Emmanuel Macron amezitaka nchi zisitishe kupeleka silaha kwa Israel ili zitumike Gaza.
"Nadhani leo, kipaumbele ni kwamba turudi kwenye suluhisho la kisiasa, kwamba tuache kupeleka silaha kupigana huko Gaza"…🇫🇷🇵🇸...
Wakristo ma million ulimwenguni kote wako kwenye maombi ya kuliombea taifa LA Israel🇮🇱
Kuna vikundi vingine vimeenda mbali na kutangaza Mifungo ya siku kadhaa na kuomba kwa ajili ya Israel
Cha ajabu hadi huko Iran, wakristo Wanaliombea taifa LA Israel🇮🇱.
Nini maana yake? Israel ni taifa ni...
My take;
Just take the Islamic republic out, weaken them enough for the people of Iran to take care of the rest. When the people get rid of the Islamic republic and the Ayatollah goverment nobody needs to worry about any nuclear wars.
Leo ndege ya kivita ya Iran jet ya kivita imeonekana ikiwa imeingia katika nchi ya Lebanon kwaajili ya kuwapelekea silaha na kuisaidia Hezbollah dhidi ya Israel.
Rada za Israel zimeinasa ndege hiyo ya kivita ya Iran kitu kilicho pelekea kuzuka Kwa tension kubwa kwamba iran ameanza rasmi...
Wanaukumbi.
BREAKING: Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah.
https://x.com/iriran_military/status/1842370522643886275?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
UP DATE…..
========================...
Zikiwa zimebaki siku 30 kuelekea uchaguzi wa Rais wa Marekani, Upepo wa ushindi unavuma zaidi kwenye kambi ya Trump, Ikiwa atashinda hali inaweza kuwa mbaya sana kwa Iran.
Aliyekuwa kiongozi mzito mwenye ushawishi zaidi kwenye jeshi la Iran, Qasem Soleimani aliuawa 2020 kufuatia agizo la Trump...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.