Wadau hamjamboni nyote?
Nimeweka nukuu za aya mbili kwa lugha ya kiswahili na kiingereza kwa ajili ya rejea yenu.
✓Tulimbariki kwa Isaka kama mwana na Yakobo kama mjukuu, kama fadhila ya ziada, tukiwafanya wote kuwa waadilifu. Na tukawafanya viongozi kwa kuongoa kwa amri yetu, na tukawapa...
Nikiangalia vyanzo mbali mbali vya milengo yote nimegundua kuwa, Israel hana presha kama ile aliyo kuwa nayo gaza. Nimegundua sababu zifuatazo:
1. Pre-emptive strike iliyopelekea kumuua Nasrallah iliwavunja moyo(nitampiga mchungaji na kondoo watatawnyika)
2. Uzoefu walio upata gaza. Ikumbukwe...
Tayari Israel inaitandika Iran inalipua maeneo nyeti
https://www.youtube.com/live/GggsAxvY4Q0?si=sKjzE7_DpA2gYIxe
---
At least one person was killed in a fire at the small Pars Petro Shushtar refinery in Iran’s Khuzestan province. According to Al Arabiya, a local authority attributed the cause...
Sisi wayahudi wa Matosa, Chamwino, Goba na kijichi hatuamini kama kweli umeogopa kulipa kisasi kama ulivyoahidi. Mkwala wote ule tukajua kesho mapema tu F 35 zinakwenda kuisawazisha Iran.
Aaaaaah !! Jamani Yahudi tunavyokujua kuwa hauguswi . Imekuaje sasa.
UNAJUA UKIMYA WAKO UMEMPAISHA SANA...
Wadau hamjamboni nyote?
Waziri wa Ulinzi Yoav Gallant amesema mazungumzo yoyote ya kumaliza mapigano nchini Lebanon lazima yafanyike "chini ya moto" wakati wa tathmini ya hali ya eneo la kaskazini.
Akikutana na makamanda wa Kitengo cha 146 cha akiba, Gallant amesema kukamatwa kwa wapiganaji wa...
Mwambieni Yericko Nyerere Israeli siyo Tanzania eti wataendelea kumchekea anavyowachambua huku akionyesha dhahili anawatweza.
Mwambieni Yericko Nyerere alipo hata wa Israeli wapo, wakimwangalia tu.
Mwambieni Yericko Nyerere Israeli hawacheki na huwa si wavumilivu kwa yeyote wanayehisi ni...
Wadau hamjamboni nyote?
IDF imesema kuwa imewakamata wapiganaji watatu wa kundi la Hezbollah wakati wa operesheni zake kusini mwa Lebanon.
Wapiganaji hao watatu wa kikosi cha Radwan walipatikana wakiwa kwenye shimoni chini ya jengo, kwa mujibu wa taarifa ya IDF.
Walihojiwa mara moja baada ya...
Wanakumbi.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken na Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin waliifahamisha Israel kwamba ikiwa misaada ya kibinadamu haitaingia Gaza ndani ya siku 30, utawala wa Marekani utalazimika kuamsha "Mkataba wa Usalama wa Taifa" na kuzuia uhamisho wa silaha kwa Israeli...
Naona Rais Emmanuel macron kaamua kumpa makavu live maana jamaa anabwatuka hovyo.
Nchi yenyewe imepatikana kwa kura za Umoja wa mataifa na kura ya veto ya Marekani Leo hii anawaletea kiburi UN na kupuuza kazi na maamuzi ya UN. Huyu jamaa ajiangalie sana.
Tafadhali naomba wale wazee wa miaka...
Wadau hamjamboni nyote?
Mkuu wa majeshi Israel aibuka na kutinga kibabe kwenye kambi ya Jeshi la Israel huko milima ya Golan Leo
---
October 14, 2024
IDF chief visits base hit in ‘serious and painful’ drone strike
IDF Chief of Staff Herzi Halevi talks to soldiers at a Golani base in northern...
Wadau hamjamboni nyote?
Netanyau atembelea kambi ya Jeshi la Israel huko milima ya Golan. Ni kambi ile ilotandikwa Kwa drone za Hezbollah na kuleta maafa Kwa Jeshi la Israel.
Netanyau amesema watahakikisha wanawasaka magaidi wa Hezbollah kila sehemu waliyojificha huko Lebanon ikiwemo mji Mkuu...
Ki ukweli, kama ipo Nchi Duniani inapambana na hali yake kwa kiwango kisichoelezeka, ni Israel.
Kuanzia Kusini, Magharibi, Kaskazini na hata Mashariki, Israel kila uchwao anapambania uhai wa Taifa lao pasi na kujali wanasaidiwa na nani.
Honestly wa Israel ndiyo binadamu wasio na hakika ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekucha! Mayahudi wamecharuka!
Kufuatia shambulizi baya kabisa kwenye kituo cha mafunzo cha Jeshi la Israel huko milima ya Golani jana usiku, Jeshi la Wanahewa la Israeli limeweka lengo la kusambaratisha kabisa kitengo cha 127 cha Hezbollah almaarufu unit 127...
At least 18 people have been killed in an Israeli air attack on northern Lebanon, the Lebanese Red Cross says.
Israel air attack on northern Lebanon kills at least 18
At least 18 people have been killed in an Israeli air attack on northern Lebanon, the Lebanese Red Cross says.
At least...
Tumeonya Sana, tumehubiri Sana, tumeshuhudia sana kuhusu Vita zinazoendelea ya middle East.
Viongozi na watu mbalimbali wameonywa Sana kuhusu taifa LA Israel. Mpango wa Mungu kuhusu Israel lazima ukamilike.
Ahadi ya Mungu kuhusu Israel lazima ikamilike. Biblia imesema waziwazi kwamba wa Israel...
Wanaukumbi
Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa imesema kuwa UNIFIL, kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Lebanon, lazima kiruhusiwe kuendelea na kazi yake, na kukataa ombi la Netanyahu la kuondoa vikosi vya UNIFIL.
Ufaransa ilisisitiza umuhimu wa kuwepo kwa UNIFIL katika...
Binafsi nachokiamini vita vya ideologia kamwe huwezi kushinda kwa Mabavu.., Hususan watu ambao wanaona kwamba wanaonewa na kunyanyaswa, kuwaondoa kwa mabavu na kuwauwa tena kwa waziwazi kunakoonekana kila kona, ni kwamba unawapa njia rahisi magaidi wa kesho au magaidi wa leo kuweza kufanya...
Mfumo wa Arrow 1,2,3 na Iron dome kushindwa kuzuia makombora ya Ballistic ya Iran kwenye anga la Israel na mwishowe baadhi kupenya na kufikia ardhi ya Israel kamati ya vita ya IDF ilikubalina na washirika wake kufunga THAAD ndio kujibu mashambulizi makubwa ndani ya Iran.
Jana Rais Joe Biden...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
BBCIsraeli strikes killed 51 on Sunday, Lebanese health ministry says published at 07:46 British Summer Time
07:46 BST
The Lebanese health ministry says 51 people were killed across the country on Sunday by Israeli air strikes...
Hezbollah wamefanya shambulio la drone kutokea Lebanon na kupiga kambi ya jeshi ya Golan Brigade Base katika Jiji la Haifa ambapo wanajeshi zaidi ya 40 wamejeruhiwa na wengi wakiwa kwenye hali mbaya huku kukiripotiwa vifaa kadhaa pia.
Tofauti ya Israel na Hezbollah na HAMAS ni kua wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.