Niaje waungwana
Baada ya Israel, Marekani, Uingereza na washirika wao wengine kujipanga kwa zaidi ya mwezi mmoja na kitu ili kufanya shambulizi la kuiangamiza Iran kushindwa.
Sasa tumeona wenyewe jinsi Iran ilivyo imara kwa air defence yao hadi kupelekea shambulio la ndege 100 za Israel...
Jeshi la Iran limesema,Wanajeshi wake 2 wameuawa na wengine 16 kujeruhiwa baada ya Israel kufanya mashambulizi ya kijeshi Tehran leo asubuhi. Mashambulizi hayp ni jibu la Israel kulipiza kisasi mashambulizi ya Iran nchini Israel Oktoba Mosi mwaka huu.
Source: Aljazeera English.
Wanaukumbi.
Maisha ya kawaida yanaendelea katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bandari ya Imam Khomeini huko Khuzestan huku Israel ikidai mashambulizi dhidi ya malengo ya jeshi la Iran.
https://x.com/haiderali099/status/1850040504513163449?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Najua wengi watabisha tu kutokana na ushabiki wao juu ya imani fulani
Ila mimi ninasema ninachokiamini
According to the bible
Kurudi kwa israel ni mpango wa Mungu
Na hakuna wakuzuia sio mrusi,mchina,mkorea, au nani mpango unabii ukamilike
Kumbukumbu la Torati 30:3-5
[3]ndipo BWANA, Mungu wako...
Israeli ilifanya mashambulizi makubwa dhidi ya Iran Jumamosi asubuhi, kama sehemu ya kisasi chake dhidi ya shambulio la kombora kutoka Tehran mapema mwezi huu.
Shambulizi hilo kutoka kwa Iran linaibua hofu kwamba mzozo wa muda mrefu kati ya majeshi haya yenye nguvu unaweza kugeuka na kuwa vita...
Magaidi wa Hezbollah Wameamua kukimbia na kuyaacha maeneo yao baada ya kupata ki pigo kikali kutoka majeshi ya Israel.
Huko Lebanon kusini. Kitendo hicho cha Israel kimesababisha kilio huko Tehran maana hawakupenda kipenzi chao kuchakazwa hivyo.
Russia kwa nini isiitumie BRICS kuipinga Israel na kutumia nguvu ya kijeshi waliyonayo kuiunga mkono ama Hezbollah au Hamas dhidi ya Israel?
Maana Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya na washirika wao wanaiunga mkono Israel.
wapalestina wanalia njaa, chakula chote cha misaada kinaenda kwenye magodauni ya Hamas kwajili yao na familia zao, wapalestina wa kawaida huuziwa kwa bei ya juu mno.
Palestina kuna njaa inayosababishwa na Hamas kujichukulia kimabavu misaada halafu wanaanza kuidanganya dunia kwamba ni Israel...
Ninayo huzuni kutangaza kifo cha Mazen Ahmad ambaye ni Mkuu wa Polisi wa Hamas. Mina la faadhina Rajuun.
Tumwombee asipunjwe thwawabu zake peponi. Amina.
Webabu Ritz FaizaFoxy Adiosamigo na kimsboy
Pole kwa wahanga wa ugaidi huu nchini Turkey ulioacha baadhi ya watu kufariki.
Several killed in a terrorist attack against Turkish Aerospace Industries (TAI) in Kahramankazan, Ankara
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limetangaza kumuua Hashem Safieddine, kiongozi wa kidini aliyekuwa anatajwa kuwa mrithi wa Hassan Nasrallah, kiongozi wa Hezbollah. Kifo chake kilitokea kwenye shambulio la anga lililofanyika karibu na Beirut, Lebanon, takriban wiki tatu zilizopita.
IDF...
Wadau hamjamboni nyote?
Hezbollah yaanza kujibu mapigo kibabe
Taarifa kamili hapo chini:
Two Israeli reservists were killed and three others were wounded on Tuesday, as the Israeli military battled Hezbollah in Lebanon and the Iran-backed terror group fired dozens of projectiles at north...
May all souls find enlightment.
Aise mwaka huu waarabu maji wataita mma. Yani ni bampa to bampa Mayahudi wachafukwa wameamua kuonyesha nani ni baba na mtoto ni nani adabu ifuate mkondo wake.
Naona waarabu na hata hawa wasuasi wa waarabu huku Kolomije kimoyo moyoni wametambua Israel sio size...
Arianna Katatabai, mwanazuoni wa siasa na mtaalamu wa Iran, ameibua utata kuhusu tuhuma za kuwa "double agent" kwa sababu ya madai ya kushirikiana na kundi la ushawishi wa Iran. Madai hayo yalizushwa na vyombo vya habari vya mrengo wa kulia nchini Marekani, yakidai kwamba Katatabai amekuwa...
Kuna hoja ipo kuwa pale ilipo Israel kwa Sasa si Ardhi ya waisrael bali wapalestina.
Binafsi nakubaliana na hoja hiyo. Lakini swali la kujiuliza ni kwamba, kama ilipo Israel kwa Sasa siyo nchi ya waisrael, jee pale Mashariki ya kati, waisrael wanastahili kuwepo kwenye nchi Gani?
Quran na...
jeshi la israel waingia mitaa ya Gaza kusaidia wenye njaa misaada na pesa za umoja wa mataifa inaishia kwa magaidi na family zao raia wanaopinga hufyatuliwa
Misaada ya umoja wa mataifa inaingia Gaza lakini ni kwajili ya Hamas na familia zao, Wapalestina wa Kawaida wanalalamika njaa, Hamas...
Baada ya ngome kadhaa za kijeshi za Israel kutandikwa na makombora ya balistiki ya Iran, Israel imefanya uchunguzi na kukamata raia wake saba waliofanya ujasusi kwa ajili ya Iran ktk maeneo nyeti ya Israel zikiwo ngome za kijeshi. Waisraeli hao wanalalamikiwa kwa kutekeleza na kukamilisha...
Israel iliwashikilia raia wake zaidi ya sita, akiwemo askari muasi wa jeshi,kwa tuhuma za kufanya ujasusi ndani ya israel kwa ajili ya Iran.
Watuhumiwa hao walipiga picha kambi za jeshi, taarifa za watu mahsusi kwa ajili ya mauaji na kuzituma Iran kwa njia ya siri(code) waliyopewa na Iran
NB...
Wakuu Salaam,
Naomba kuuliza kuhusu Taifa la Israel, hiv hawa jamaa pesa za kuendesha vita vyote hivyo wanapata wapi? Hamas, Hizbolah, Houthi, Iran ,makundi mengine Syria, Iraq kama tu vita ya 78 dhidi ya Nduli tuliyumba mpk leo. Wao wanaendesha vipi nchi?
Sioni wako na resources za maana kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.