Baraza la vita la Israel limepitisha azimio la kuishambulia Iran kutokana na shambulio la mauaji kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.
Haya yanajili baada ya picha za satellite zilizoonesha kushambuliwa kwa ulinzi na mifumo ya ulinzi ya Iran
Je kwa sasa Israel itafanya kile ambacho...
Wadau hamjamboni nyote?
Hotuba nzito mbele ya bunge la Israel
Waziri Mkuu Benjamin Netanyau
Iran kamwe haitoruhusiwa kumiliki silaha za nyuklia
Israel itaendelea kusaini mikataba ya amani na nchi za kiarabu
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Netanyahu says Israel’s strikes on Iran...
Hiyo mifumo ilidukuliwa wakapoteana, ndege za Israel zikawa zinajipigia tu, sema tatizo ni kwamba walipiga kwa malengo, hakuna rubani aliyepiga sehemu hakupangiwa, ila ingekua lile agizo la kijeshi inaloitwa "fire at will",
Tehran ingewaka moto, maana hilo agizo humaanisha kwamba mwanajeshi...
Vipaumbele vyangu nikipewa Kitengo cha ku Recruit Watu mahiri wa Idara za Usalama wa Taifa Barani Afrika vitakuwa...
1. Atokee kwa Wazazi wenye Akili Timamu na Koo za Watu Werevu
2. Ufaulu wa Kitaaluma ni ziada ila Akili ya Kuzaliwa ndiyo kitakuwa Kipaumbele changu
3. Awe na uwezo wa...
Wadau hamjamboni nyote?
Kikao cha Baraza la mawaziri Israel hakitofanya kwenye ofisi ya Waziri Mkuu Yerusalemu wala kwenye makao makuu ya IDF Tel Aviv kama ilivyo desturi kwa sababu za Usalama
Mawaziri wamearifiwa leo asubuhi kuwa kikao hicho kitafanyika eneo Salama
Hawaruhusiwa kuja na...
Nlisema siku ile kuwa kile kimya cha Israel ni kibaya kuliko kujibu kwake kwa haraka.nikamwambia mtu mmoja humu Ritz na ile ID yake nyingine na madogo Adiosamigo na Webabu kuwa waombee Israel ajibu kwa haraka. Itakuwa afadhali.
Nliwaambia kukaa kimya kwa Israel baada ya kuchokozwa ni kubaya...
Jeshi la Israel limesema kuwa katika shambulio lake la Jumamosi dhidi ya vituo vya kijeshi vya Iran, ilitumia sehemu ndogo ya uwezo wake wa kijeshi, kuionya Iran, lakini uwezo wake kamili itautumia kama endapo Iran itajibu shambulio hilo:
"Israel’s chief of the general staff, Herzi Halevi...
Wanaukumbi.
Mambo yamekuwa magumu kwa Israel, sasa wanataka makubaliano hamna tena habari za malengo ya Netanyahu.
Nguvu sio kiini cha kila kitu
Kutambua wajibu wetu wa kimaadili na kimaadili kuwaleta mateka wetu nyumbani
itabidi kufanya makubaliano yenye uchungu
"Sio malengo yote
inaweza...
kwa kile tunachosema on the Israeli air raids into Iran day before yesterday. This was more than a precision strike, it was a clear demonstration of capability, intent and will.
Hii ilikuwa zaidi ya historia ilofanyika kwa usahihi, ilikuwa onyesho wazi la uwezo, nia na mapenzi ya nchi yao...
Nchi ndogo yenye ukubwa wa 21, 600+ sq.k lakini inapambana na manchi makubwa na sio moja. Kwa sasa Israel inachapa Palestine, Iran, Lebanon, kambi za kijeshi zilizopo Syria na Iraq.
Huu ni uwezo usio wa kawaida na hii inaonesha kila hatua Israel inavyopambana na adui zake ni kwa msaada wa...
wiki kadhaa zilizopira Iran ilirusha makombora 200 kuelekea Israel, Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia lakini kuna kombora moja halikufika Israel lilimdondokea mpalestine moja na kumuua.
Israel iliwaambia Iran itajibu na kuwapa taarifa mapema ni wapi watapiga, Siku ya ijumaa 24- 10-2024...
Dini ya kiyahudi inakataza kufanya kazi siku ya sabato, lakini Zayuni akaamua kabisa siku hiyo ndo akashambulie Irani. Maana yake maofisa wake walifanya kazi siku hiyo ambayo ni kinyume na dini ya kiyahudi.
Cha ajabu operation hiyo wakaiita jina la "Days of Repentance", maana yake ni siku za...
Mi’ huwa nikisikiaga watu wanatwangana huko ulaya, Asia na kwingineko huwa nafurahi tu, acha watwangane tu na hata wamalizane, kwangu haina shida.
Kwa nini?
Wao wanatusababishia vita huku, wanachukua madini na vinginevyo na kusepa, so how come leo nikisikia watu wanatwangana nihuzunike? Je...
Watu wengi wanachukulia kuwa Iran na Israel ni maadui wakati wote, na wengine kwa kutoelewa wanadhani uhasama wa Israel na Iran umechangiwa na utofauti wa imani za kidini. Kama unafikiria hivyo, umepotea kabisa.
Kabla ya mwaka 1979, Iran ilikuwa mnunuzi mkubwa wa silaha toka Israel (Before the...
Israel na Iran, zote zimekiri kuwa Israel, kabla ya kufanya shambulio dhidi ya Iran, kwanza iliitaarifu Iran juu ya muda na maeneo ambayo ingeyashambulia. U aweza kushangaa na kujiuliza, lengo lilikuwa ni nini? Maana ni sawa sawa mtu akuvizie ukapige kwenye mguu, ukaa kimya, halafu siku nyingine...
Kutokana na mashambulizi ya Israel nchini Iran ambayo yalilenga maeneo ya kijeshi pekee, asubuhi ya leo Iran ilitangaza kuwa askari wake 2 waliuawa.
Iran ilisema kuwa mifumo yake ya ulinzi wa anga ilifanya kazi vizuri, lakini ikakiri kuwa kuna baadhi ya makombora yalifanikiwa kuzipiga bases...
Nimeona kuna movements za ku boycott / kugomea bidhaa zenye uhusiano na Israel, nimepata wazo nije kuwasapoti wadau kwenye huu mgomo kwa kuwashauri muweke mkazo zaidi kukaa mbali kwenye simu na computer kwasababu bidhaa na huduma hizi nyingi wanaozibuni ni wayahudi wa Israel.
China ndipo vilipo...
Nimeona kuna movements za ku boycott / kugomea bidhaa zenye uhusiano na Israel, nimepata wazo nije kuwasapoti wadau kwenye huu mgomo kwa kuwashauri muweke mkazo zaidi kukaa mbali kwenye simu na computer kwasababu bidhaa na huduma hizi nyingi wanaozibuni ni wayahudi wa Israel.
China ndipo vilipo...
Maafisa wawili wa Iran waliuawa katika mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran; wote wawili walikuwa askari wa jeshi la Iran, sio Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
Tofauti na IRGC, jeshi la Iran - linalojulikana kama Artesh - kwa ujumla haliogopi wala kuchukiwa na Wairan wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.