israel

  1. py thon

    Mitambo ya THAAD ishaanza kufanya kazi Israel ,huku Hezbollah wakisema wataanza kushambulia kwa makombola ya kisasa zaidi

    leo ndio mtambo wa ulinzi wa anga wa THAAD unaanza kufanya kazi Israel. Huku kundi la Hezbollah wakijibu kauli ya msemaji wa Idf aliyesema watashambulia benki na mali zinazohusiana na Hezbollah,, Kundi la Hezbollah wamesema watarusha makombola ambayo hawajaanza kuyatumia Tel Aviv huku...
  2. Cecil J

    Bila kuleta udini na uhafidhina, kati ya Israel na Palestina nani aliyevamia eneo la mwingine?

    Japo katika kujibu swali hili kutahitaji historia, naomba tujitahidi tusilete udini bali chanzo halisi cha mgogoro huu wa Palestina na Israel. Ninachokijua kime-base kwenye dini na ndio maana nashindwa kukiweka hapa, nawaomba wataalamu wa Historia ya Israel na Palestina watusaidie, pia mtu...
  3. Sir John Roberts

    Maariv Media Israel : Iran yapokea SU 35 fighter jets, S-400 Air defense System kutoka Russia na laser Anti - drone system silent Hunter" kutoka China

    Chombo cha habari Maariv kutoka Israel kinaripoti kuwa tayari Iran imepokea silaha za kisasa ikiwemo ndege vita Chapa SU 35 kutoka Russia na air defense system S-400 , Hali kadhalika Iran imepokea kutoka China Laser Anti -drone system. Habari hii pia imeripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari...
  4. Allen Kilewella

    Haya maelezo yanaonesha uimara wa Israel au udhaifu wa Iran?

    Nimeisikiliza mara mbilimbili hii Clip, imenifikirisha Sana. Imenifikirisha kwa kuwa hivi karibuni aliyekuwa Rais wa Iran, Mahmoud Ahmedinejad, alisema kuwa, kuna wakati walianzisha kitengo Cha kuipeleleza Israel, lakini mwisho wa siku wakaja gundua kuwa kiongozi wa kitengo hicho ni mtu wa...
  5. Komeo Lachuma

    Je, ni kweli kuwa Kamanda Basel Mustafa Shukr wa Hezbollah ameuawa?

    Daaaaaaaah...... Nakosa la kusema kabisa. Sielewi. Nadhani Hezbollah na Hamas sasa wabadilishe mbinu. Nani anakuwa anavujisha uwepo wao? Hii wadau imekaaje kitaalamu,kimbinu na kimedani? Adiosamigo Ritz na wenzetu wengine. Sasa hapa tunafanyaje? Sisi mpaka sasa tumemuua Mkuu wa Majeshi wa...
  6. MALCOM LUMUMBA

    Umoja wa Israel na Marekani uko sawa na ule wa Ujerumani na Austria 1914

    "History doesn't repeat itself but it often ryhmes" Mark Twain Kabla ya mwaka 1914, Ujerumani na Austro-Hungary walikuwa ni mataifa ambayo hayawezi kutenganishwa kwa lolote lile. Mkubwa alikuwa Ujerumani na mdogo alikuwa ni Austria. Austro-Hungary lilikuwa ni taifa linalotawaliwa na familia...
  7. C

    Uwezo wa Israel unakuzwa sana

    Ndani ya wiki moja tumeshuhudia makombola ya Hezbollah yakitwanga kambi ya jeshi ya Israel na kusababisha vifo vya wanajeshi kadhaa na majeruhi wengi. Leo kumeripotiwa shambolio jingine lililolenga makazi ya Netanyahu. Haya makombora yanapita wapi ikiwa taifa hili linasemwa kuwa na mifumo...
  8. A

    Ayatollah Khomen Anasena Israel ni Mtoto Mdogo Sana Mbele Ya Hezbullah

    https://youtube.com/shorts/ieBLRTPg-xE?si=Mf1qykB9kyqh8kt3 Ujumbe ndio huo leo kutoka kwa Ayatollah Khomen, asema Israel ni watoto sana mbele ya Hezbulla. Hawaiwezi Hezbullah. Hivi kuna kuna dharau kama hi tena. Ayatollah anasema Israel lazima wakuze akili zao wasifikirie hata siku moja...
  9. Nyendo

    LGE2024 Mchungaji Israel Ernest Ngatunga aelezea sababu ya kupigwa tofali, asema CCM walikuwa wanawalaghai watu kuwaandikisha kwenye daftari lisilo rasmi

    Haya anayoeleza Huyu Mchungaji Mchungaji Israel Ernest Ngatunga kama ni kweli basi CCM hawataaci madaraka kamwe kwa njia ya amani kupitia boksi la kura Pia soma: LGE2024 - Vijana wa CCM wamshambulia Mjumbe wa Kamati Tendaji ya CHADEMA katika Kituo cha Uandikishaji
  10. enzo1988

    Angalia jinsi ndege isiyotumia rubani (drone) ikikatiza kwenye anga la Israel mpaka kwa Netanyahu!

    Vipi waliiacha makusudi?? Helikopta ilishindwa kuitungua?? Nyumbani kwa Netanyahu Nb:Muda utasema!
  11. U

    IDF yamuua Nasser Abd Elaziz Rashid naibu kamanda wa magaidi ya Hezbollah huko Lebanon , alihusikana kurusha maroketi nchini Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel halipoi hata kidogo na muda tayari yule Naibu kamanda alihusika na kurusha roketi Israel keshaliwa kichwa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: 3min ago IDF says deputy commander of Hezbollah’s Bint Jbeil district killed in airstrike yesterday The...
  12. MK254

    Israel kuweka kambi ya kijeshi Somaliland ili itumie kushambulia Houthi

    Hii ni kwa ajili ya kupambana na magaidi wa Houthi wenye mlengo wa uislamu. Japo sijajua imekaa vipi maana huko Somaliland si ndio wale wale ambao wameathirika na uzombi pia..... ================================= Israel is interested in establishing a military base in northern Somalia in...
  13. Li ngunda ngali

    Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

    Kiongozi wa kundi la Hamas Yahya Sinwar, ameuawa na Israel. Duru za habari zinatabanaisha Sinwar aliuawa mapema usiku wa leo huko Gaza. --- Senior U.S. Officials, including President Joe Biden, have been notified by Israeli Officials that Yahya Sinwar, the Leader of Hamas, was likely...
  14. U

    Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh Ndugu zetu hao wameishi kwa mateso na...
  15. U

    Kamanda wa Hezbollah huko Lebanon ya kusini, Mohamed Hussein Ramal auawa kwa shambulizi la ndege za Jeshi la Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Mjisomee wenyewe hapo chini: October 18, 2024 IDF says Hezbollah commander in Taybeh area of southern Lebanon killed in airstrike Today, 8:12 am 2 The military says that it killed the commander of Hezbollah’s Taybeh compound Mohammad Hussein Ramal in an...
  16. Eli Cohen

    UTANI: Wanajeshi wa Iran wakijiandaa dhidi ya Israel

    Wako tayari.
  17. hamis77

    Ni huzuni kuu kwa Hamas na washirika wake na ni furaha kwa Israeli na washirika wake

    Ni huzuni kuu kwa Hamas na washirika wake na ni furaha kwa Israeli na washirika wake Siku 5 zilozipita Netanyahu alitangaza mauaji (assasination) ya viongozi wa Hamas na Hezbollah. Leo IDF wamemuua kiongozi mkuu wa Hamas pamoja na majenerali kadha wa kadha wa Hamas. Yahya Sanwar ameongoza...
  18. U

    Waziri wa ulinzi wa Israel awataka wapiganaji wa Hamas kunyoosha mikono juu na kujisalimisha na kuwaachia huru Mateka

    Wadau hamjamboni nyote? Hamas nyoosheni mikono mjisalimishe! Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: --- Gallant calls on Hamas fighters to surrender, release hostages following Sinwar killing Defense Minister Yoav Gallant calls on Hamas fighters to release the hostages and surrender following...
  19. green rajab

    Urusi yaionya Israel isithubutu kugusa nyuklia site ya Iran

    Urusi imerudia kutoa onyo kwa Israel isithubutu kushambulia nuclear facilities ya Iran ⚡️BREAKING Russia warned Israel against striking Iranian nuclear facilities We have repeatedly warned and will continue to warn Israel against even hypothetically considering the possibility of a strike on...
  20. Ritz

    Hezbollah yawateka askari wa Israel

    Wanakumbi. 🚨🇱🇧VYA HABARI VYA LEBANE: HEZBOLLAH YADAI KUTEKWA KWA ASKARI WA ISRAELI Kulingana na ripoti kutoka LBC Lebanon Kitengo Maalum cha Al-Radwan cha Hezbollah kilikamata kundi la maafisa na wanajeshi wa Israeli. Katika taarifa ya awali kitengo hicho kilionya kuwa huo ni mwanzo tu wa...
Back
Top Bottom