Kwa Wayahudi, Nchi waloahidiwa, kihistoria inaenda mpaka kuchukua sehem za Syria,Jordan, Uturuki ,Misiri, Lebanoni.
Mnaweza msiamini, ila Israel tayari ndo kaifuta Palestina, Baada ya Trump kuanza kazi Rasimi, Israel anaenda kuchukua WEST BANK, NA GAZA.
Kwa mara ya kwanza Ndani ya miaka 50...