israel

  1. Lupweko

    Israel yasambaratisha kituo kikubwa zaidi cha kutengeneza makombora cha Hezbollah

    Jeshi la Israel limesema limeharibu kituo kikubwa zaidi cha kutengeneza makombora cha Hezbollah huku ikiwa wameingia makubaliano ya usitishwaji wa mapigano kati yao Hii hapa animation ya kituo hicho chenye eneo la upana wa kilomita 1.4 na kina cha mita 70 kwenda ardhini: SOURCE...
  2. G

    Haya ni makampuni makubwa miongoni mwa 400 yanayowekeza mabilioni ya dola nchini Israel kwajili ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design)

    Update: Nimeleta habari za kisomi nashangaa kuna watu wameanza kuingiza mihemko ya kidini, Tatizo nini ? Katika kampuni za teknolojia, idara ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design) inahusika na kubuni na kuendeleza bidhaa, huduma, au teknolojia mpya kwa kutumia maarifa ya kisayansi...
  3. Mtu Asiyejulikana

    Al Jazeera: Israel haitaki kusitisha mapigano yaendelea kushambulia Lebanon

    Marekani inataka sana Israel isimamishe mapigano huku juu juu. Lakini kwa ndani ni kama inawaambia endeleeni kushikilia hapo hapo. Israel inaendeleza kipigo huko Lebanon ni kama haitaki mapigano yasimame. Huu ni ushahidi toka Al Jazeera siyo websites za vichochoroni za kinazi.
  4. G

    Netanyahu: Hakujawahi kuwa na rafiki mkubwa wa Israel kutoka ikulu ya Marekani wa kumzidi Donald Trump

    Na kweli ukiangalia kipindi chake Iran ilifulia vibaya mno, walibanwa kisawa sawa kwenye uchumi, Ni kipindi ambacho Iran na vikundi vyake walikuwa wanajifikiria mara nne nne kuishambulia Israel. Kwa upande mwengine, Biden alikuwa kinyuma pengine kuzidi marais wote, Kawalegezea vikwazo Iran...
  5. Mlaleo

    Madam Nderitu Mama Mkenya Ofisa wa UN Afukuzwa kazi kwa kulazimisha kusema Israel inafanya mauaji ya Kimbari - Inawezekana amekuwa kilaza

    Umoja wa Mataifa(UN) yamfukuza Nderitu(Faizafoxy wa Kenya) kwa kukataa kuainisha tabia ya Israel huko Gaza kama 'mauaji ya halaiki,' WSJ inahoji. Upinzani wa Nderitu kutaja vitendo vya Israel huko Gaza wakati wa Vita vya Israel-Hamas kuwa mauaji ya halaiki, ulisababisha Umoja wa Mataifa kukataa...
  6. Uhuru24

    Wadau tuliangalie hili la Israel na vita vyao

    Kuna mambo yanashangaza na kustajabisha, Israel inapopigana vita na upande mwingine sikumbuki ni lini aliomba mazungumzo ya kusitisha vita. Ila ikitokea mapambano yanahamia upande wao ni wepesi sana kuomba kusitisha vita, sijaelewa kwanini wanakuwa wepesi kuomba mazungumzo?? Mfano turudi...
  7. G

    Tuweka mihemko pembeni, Hezbollah kapigwa kachakaa, pona yao ni Biden kuinyima Israel silaha kulazimisha cease fire

    Wiki iliyopita Bunge la marekani lilipiga kura kwa ushindi mkubwa kufuta katazo la kuiuzia Israel Silaha lakini haikuwa hivyo kwa Rais, Biden ana presha kubwa sana ya kutafuta chochote cha kujisifia kwa siku 60 alizobakiza, Alimwambia Netanyahu akubali kustop mashambulizi lasivyo hamuuzii...
  8. 5523

    Hezbollah yathibitisha 'ushindi' dhidi ya Israel baada ya usitishwaji mapigano

    Hezbollah ilithibitisha "kupata ushindi" dhidi ya Israel, ambayo iliitaja kuwa "adui wa kufikirika", kwa zaidi ya miezi 13, baada ya usitishaji mapigano kuanza kutekelezwa na maelfu ya watu waliokimbia makazi yao kurejea katika miji na vijiji vyao, hasa kusini mwa Lebanon. Hayo yamejiri katika...
  9. Yoda

    Kwanini Wapalestina hawadai kuwa raia wa Israel tu na Itakuaje siku Wapelestina wakitaka kuwa taifa moja na Israel?

    Katika mgogoro wa Israel na Wapelestina ni wazi mpango wa mataifa mawili kama umeshakufa kimya kimya. Fursa moja kubwa iliyobaki ni uwepo wa taifa moja lenye kujumuisha jamii zote mbili za Wayahudi na Wapalestina kama raia walio sawa katika taifa moja. Inawezekana Siku moja Wapestina wakakubali...
  10. G

    Biden kainyima Israel silaha wakubali ku "pause" vita, zimebaki siku 60 Trump kipenzi cha Israel kuapishwa, Vikundi vya Iran vitapata taabu sana

    Kinachoendelea white house Biden kabakiza siku 60, anafanya kila namna kumsagia kunguni Trump na kulazimisha apewe sifa kwa mabavu. Kairuhusu Ukraine itumie makombora ya masafa marefu kwa lengo la kuchochea vita, Trump aingie madarakani vita ikiwa ngumu sana kuisuluhisha, Mpango huu kwa kiasi...
  11. Ritz

    Kiongozi wa upinzani wa Israel Yair Lapid amshambulia Netanyahu

    Wanaukumbi. Kiongozi wa upinzani wa Israel Yair Lapid amshambulia Netanyahu: "Maafa makubwa zaidi katika historia yetu yalitokea wakati wa utawala wa Netanyahu. Hakuna makubaliano na Hezbollah yanayoweza kufuta uzembe huu. Mkataba lazima uhitimishwe haraka kuwarudisha wafungwa na kuwarudisha...
  12. Father of All

    Kati ya Marekani na Israel nani bosi na nani anamtumia nani na kwanini?

    Bila fedha na silaha za Marekani, Israel ingekuwa marehemu. Huwa najiuliza. Nani anamtumia nani na kwanini? Je hapa tatizo ni uzawa wa Israel uliotengenezwa kijambazi na wazungu kupitia Biblia au wese la waarabu? Ukiangalia misaada inayotolewa na marekani kwa Israel unachanganyikiwa. Ni mingi...
  13. Ritz

    Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah unakaribia kukamilika

    Wanaukumbi. Yerusalemu CNN - Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na kundi la wanamgambo wa Lebanon Hezbollah "uko karibu sana," chanzo cha kikanda kiliiambia CNN siku ya Jumapili, hata kama ongezeko la mashambulizi ya Israel lilishuhudia vifo vya Lebanon tangu katikati ya Septemba...
  14. ward41

    Israel inalindwa na maombi ya watakatifu ulimwenguni wakiwemo wa pPalestine na Wairan

    Dua, maombi, mifungo ya Mara kwa Mara ndiyo Siri ya mafaniko ya Israel. Taifa la Israel linaombewa Sana duniani na mataifa yote. Jambo la kushangaza hata wa Palestina na wairan wakristo wanaomba kwa ajili ya Israel. Moseb Hassan Yosep, mtoto wa muasisi wa HAMAS ni miongoni mwa wa Palestina...
  15. U

    Tuungane pamoja na tusome bila kuchoka Zaburi ya 109:8-14 dhidi ya wanaotaka kuliangamiza taifa teule la Israel

    Kichwa cha habari chahusika hapo juu Tuungane na tusome bila kuchoka zaburi ya 109:8-14 dhidi ya magaidi na ndugu zao wote wanataka kuliangamiza taifa teule la Mungu. ✓"Siku zake na ziwe chache, Usimamizi wake na atwae mtu mwingine. 9 Wanawe na wawe yatima, Na mkewe na awe mjane. 10...
  16. Ziroseventytwo

    Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

    Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu? Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo...
  17. Ritz

    Takwimu za gazeti Kiebrania mauaji ya Wanajeshi wa Israel

    Wanaukumbi. ⚡️INGIA TU: Takwimu za Ekari za Masuala ya Kiebrania: Vifo 31 kati ya wanajeshi na walowezi wa Israel vimeripotiwa tangu mwanzoni mwa Novemba, kama ifuatavyo: •Novemba 1: Afisa mmoja wa Israel alikufa kutokana na majeraha mabaya aliyopata kwenye mlipuko wa nyumba iliyonaswa na...
  18. Eli Cohen

    Tukiwaambia itikadi kali kuwa Israel ni ya wayahudi tangu miaka 3k wanasema ni "mambo ya kufikirika" ila cha kushangaza wao wana yakufikirika mengi

    Haijalishi wewe ni msalaba, nyota na mwezi, au unaamini katika manyoya ya kuku, etc How sure are you kwamba unachoamini ndicho cha ukweli na uhalisia. Kisa ulikipokea kwa baba yako mpendwa, ukafundwa na mwalimu wako wa kiroho na kukumbushwa kuhuzulia kila siku na mama yako mpendwa. Kwa fikra...
  19. ward41

    Ni taifa la Israel tu raia wake 24 wako mbele kabisa katika utawala wa Mungu Mbinguni

    Leo nataka nikupe haya maarifa hadimu Sana, tena Sana. Wenye hekima Watanielewa. Kule nchi ya mbinguni au peponi, kuna itawala wa KIMUNGU. Wale wenye neema ya kuingia mbinguni watauona huu utawala. Utawala huu Mungu ameandaa kwa ajili ya Wanadamu. Sasa basi, kwa sehemu, Mungu ametufunulia...
  20. jmushi1

    US Admiral: Kutoa silaha kwa Ukraine na Israel, kunapunguza uwezo wa kupambana na China!

    Admiral anasema silaha zinatolewa nyingi kiasi kwamba watashindwa kukabiliana na Mchina… Adm. Sam Paparo ana wasiwasi kwamba Marekani inatoa na kumaliza ulinzi muhimu unaohitajika kukabiliana na China. "Sasa inakula katika hifadhi," alisema Jumanne ya usafirishaji wa silaha za hali ya juu...
Back
Top Bottom