Wahindi wengi wanaikubali Sana Israel.
Wahindi huwambii kitu kuhusu Israel. Wanaikubali Sana Israel.
Kumbuka India ina watu 1.4 billion na Israel 10 million lakini wako obsessed Sana na Israel.
Cha ajabu tena wahindi wengi sio wakristo. Wengi ni Hinduism.
Jamani tuacheni shobo (Ushauri na si kwa ubaya).
Kama tunakutwa na janga, acha tupambane nalo, tuone wapi tumekosea na tujirekebishe. Haya mambo mengine ya kutaka watu wakuposti, wala hayasaidii.
Watu wamepata matatizo, acha wapray wao kwa wao, kama sisi tunavyoachwa tupray sisi kwa sisi...
Wakati ambao Israel wako tayari kugharimika ili kupata watu wake kwa hali na mali kuna jamaa fulani wa itikadi ya kitapeli wanaruhusu watu kuoa watoto hadi wa miaka 9.
===
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema malipo ya dola milioni 5 (TSh. 13,232,176,000) yatatolewa kwa mtu...
Msafara wa magari 109 ya Shirika la Umoja wa Mataifa la msaada kwa wakimbizi, ulivamiwa, madereva walitishiwa bunduki washuke, misaada yote imeibiwa, magari 97 hayaonekani.
Baadhi ya magari yalibeba ngano iliyotakiwa kupelekwa kwenye viwanda vya ngano vya umoja wa matafa Gaza, viwanda hivi...
Rais wa Taifa la Kigaidi la Israel amepigwa marufuku kukatiza katika anga ya Uturuki baada ya kualikwa kwenye mkutano wa COP 29 summit huko Baku Azbaijan.
Turkey effectively blocked Israeli President Isaac Herzog from attending the COP29 summit in Baku earlier this week by refusing to allow his...
Tangu mwaka jana October 7 Palestina ilipoivamia Israel na kuua watu zaidi ya 1,200 kuna baadhi ya contacys zangu wamekuwa wakiweka status za kulipukwa na furaha Israel inaposhambuliwa na status za kuonyesha huruma Israel inapotoa dozi.
Napenda sana kutazama status, lakini huwa nashangaa sana...
Sijui inflation rates, sijui GDP, sijui unemployment rates, sijui exchange rates,
hayo yote they mean katika uhalisia wa maisha ya ukweli yaliyopo mtaani.
Mara nyingi hizi rates zinakuwa propaganda za wavaa suit ku-prove wamefanya jambo au kuwa challenge wengine kwamba wameshindwa mambo.
Salim Ayyash, gaidi wa Hezbollah, alietiwa hatiani kwa mauaji ya waziri mkuu wa zamani, Rafik Hariri, ambaye alikuwa mzalendo wa Lebanon anayejulikana kwa kujenga upya Beirut baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe. Ripoti zinadai kuwa aliuawa katika shambulizi la Israel nchini Syria...
Axios
Axios
4 hours ago -World
Scoop: Israel destroyed active nuclear weapons research facility in Iran, officials say
Barak Ravid
A Maxar closeup satellite imagery of the Parchin Military Complex in Iran from Nov. 2022. Photo: Satellite image (c) 2022 Maxar Technologies.
The Israeli...
Mchungaji wa Kanisa la Baptist aliyekuwa Gavana wa Jimbo la Arkansas kwa miaka 11. Rafiki wa Netanyahu na mtu aliyewahi kusema hakuna kitu cha Mpalestina. Mike Huckabee ameteuliwa na Trump kuwa Balozi wa Marekani nchini Israel.Trump amesema Mike anaipenda Israel na watu wa Israel
Huyu Mzee ni...
Iran imetangaza ratiba ya mgao wa umeme wa nchi nzima kuanzia Jumapili, ya juzi kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya gesi asilia huku kukiwa na baridi kali, ambayo imesababisha uhaba wa mafuta katika vituo vya umeme...
Wanaukumbi.
⚡️Habari za asubuhi, wote hawa wamuliwa huko Kaskazini mwa Gaza.
🔻Sajini Orr Katz, umri wa miaka 20.
🔻Sgt. Nave Yair Asulin, umri wa miaka 21.
🔻Sajini Gary Lalhruaikima Zolat, umri wa miaka 21.
🔻Sajini Ofir Eliyahu, umri wa miaka 20...
Wadau hamjamboni nyote?
Hali ni tete vijana wa kiyahudi hawataki Tena kwenda vitani!
Kumekuwa na kupungua kwa kiwango cha askari wa akiba wanaojitokeza kazini katika wiki za hivi karibuni ikilinganishwa na kuanza kwa vita, The Times of Israel limebaini.
Mwanzoni mwa vita, IDF iliripoti kwamba...
Wadau hamjamboni nyote?
Magaidi ya Hezbollah wamecharuka na kufanya shambulizi la nguvu huko Israel
Mayahudi hawaamini kilichotokewa
Jumuiya za kimataifa tunaomba kuingilia kati kuokoa uhai watu wasio na hatia
Taarifa zaidi hapo chini kwa kimombo:
Mungu ibariki Israel.
Soma Pia: Hezbollah...
Upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya hekima ya mwanadamu na udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko nguvu ya mwanadamu (wenye akili na hekima ya ki Mungu wamenielewa)
Kama huna super natural brain, sio rahisi kuelewa haya mambo. Yanayoendelea ulimwenguni ni mengi na kila mmoja wetu tunayafahamu...
Habari ndio hio Israel wanasingizia watasimamisha vita North kwa mda kutokana na UN itatoa Resolution kuhusu Gaza. Swali toka lini Israel ilifata sheria za UN. Hakuna zaidi ya moto wa Hezbullah unatisha wameona wakimbia kijanja huko Lebanon
Habari ndio hio Al Arab TV inasema hio ni Breaking...
Kumekuchaaa
Aliyekuwa Waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant amepingana waziwazi na Waziri Mkuu Benjamin Netanyau
Anasema kuwa hakuna uhalali wowote majeshi ya Israel kuendelea kuwepo Gaza kwani malengo makuu tayari yametimizwa kikamilifu
Kwamba wanajeshi wa Israel haifai kuwepo Gaza kwani...
Waajemi wasitumie nguvu kubwa sana wakati wa kuidhibu Israel ambayo ni dhaifu sana imetepeta vibaya makombora ya Hizbollah yameiharibu kabisa na mifumo yao ya ulinzi imeparalaizi haina uwezo wa kupangua zaidi kulipuliwa ikiwa na air defence missile. Na tayari wameshaanza kufarakana ni jukumu la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.