Juzi zilitoka habari kwenye mitandao kuwa jaji mkuu wa Tanzania anawalaumu wapelelezi wa kesi mbalimbali kuwa ndio wakutupiwa lawama kwa mlundikano wa wafungwa na kuahirishwa kwa kesi mbalimbali na mahakama.
Tena alienda mbali na kuwalaumu kuwa huwa wanaotoa sababu za Hovyo na zisizo na...
Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limemfungia aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kujihusisha na soka kwa Muda wa Miaka kumi kwa tuhuma za kughushi na ubadhirifu wa fedha. hukumu hiyo inamtaka Malinzi kutojihusisha na shughuli zote za kimichezo kuanzia kwenye...
Mlipuko uliotokea ardhini katika machimbo ya madini huko Teutschenthal katikati ya nchi hiyo, umejeruhi watu wawili na kusababisha wengine 30 kukwama ardhini
Uokoaji unaendelea huku ikielezwa kuwa waliokwama ardhini wapo salama ndani ya chumba kimoja ndani ya mgodi huo kilicho katika kina cha...
Jaji Mkuu wa Kenya David Maraga ametishia kususia majukumu yake ya kikazi kufuatia kukatwa kwa bajeti ya mahakama
Hivi karibuni serikali ya Kenya ilipunguza zaidi ya dola milioni 30 kutoka kenye bajeti ya mwaka ya sekta ya mahakama , hatua ambayo Bwana Maraga anadai inalenga kudhibiti...
Mwanabodi Pascal Mayalla alileta uzi hapa akituelezea Uwezo wa CAG kikatiba ni sawa kabisa na Jaji Mkuu na kwamba agizo lake ni sawa na bill.
Leo Rais Magufuli amesema CAG siyo muhimili na mihimili ni mitatu tu Serikali, Bunge na Mahakama
Na kwamba CAG kwa kiswahili ni Mkaguzi na Mdhibiti mkuu...
JIUNGE NAMI KUSEMA HAPANA KWA UDHALILISHAJI NA UBAGUZI ANAOUFANYA MMLIKI WA CLOCK TOWER CAFÉ IRINGA.
#SAYNOTOCLOCKTOWERCAFEIRINGAMISTREATMENTOFCLIENTS#
Nimekuwa mteja wa mgahawa wa Clock Tower Café uliopo barabara ya Dodoma/Uhuru Avenue katika Manispaa ya Iringa tangu uanzishwe mwaka jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.