Kauli iliyotolewa jana na Jaji Kaijage ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ya kuvitaka vyama kuteua Wagombea makini ili baadaye Tume isilaumiwe siyo ya bahati mbaya.
Taarifa za uhakika nilizopata toka ndani ya NEC ni kuwaengua Lissu na Membe kwa technicalities. CHADEMA NA...
Amani iwekwenu.
Jana tumemlaza mzee wetu kaburini. Ni bwana BWM.
Huyu ni raisi wa awamu ya tatu wa Tanzania. mengi yalisemwa ya kweli na ya uongo. ni hulka ya mtu mweusi.mfanowe ni musiba, huyu alimwita marehemu mwizi lakini juzi aliibukia msibani hata kupiga magoti mbele ya mjane. mnafiki...
Kamishna wa Tume ya uchaguzi NEC Mhe. Jaji Mihayo amewataka Wasimamizi wa Uchaguzi kuwashirikisha Viongozi wa Vyama vya Siasa pale inapostahili kufanya hivyo ili uchaguzi uweze kuwa Huru na Haki.
Kadhalika Jaji Mihayo amewaasa wasimamizi hao kutopokea maagizo kutoka kwa Viongozi wa Serikali...
Jamiiforums is where we dare to talk openly!
Kwa mwananchi yeyote ambaye hajafungwa kimawazo na kifikra, angalia vizuri hii video kwenye dakika ya 1:18 ili yale uliyoambiwa uchanganye naya kwako kuhusu tuhuma zinazoelekezwa kwa Paulo Makonda!.
Mtoa mada katika mdahalo wa kujadili Katiba...
Jaji Mkuu wa Tanzania aliyewekwa kwenye uangalizi kabla ya kuwa confirmed baada ya mwaka mzima, yaani kwa mara ya kwanza duniani kusikia kitu kinaitwa "kaimu jaji mkuu" Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma anasikitika kutangaza kifo cha Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora Mhe...
Kwanini sherehe nyingi za kitaifa Jaji Warioba huwa haonekani? Je, huwa haalikwi, hapendi kuhudhuria au ameamua kuishi kama raia wa kawaida?
Wastaafu wenzake akina Lowassa, Sumaye, Pinda na wengine huwa hawakosekani kwenye sherehe za kitaifa/kichama.
Rastafarian ateuliwa na Raisi mpya Mchungaji Chikwera kuwa mwanashria mkuu wa serikali ya Malawi aapishwa kwa Biblia watu wamshangaa huyo Rasta akiapa kwa Biblia.
Maneno mengine kwenye kiapo anayeapa agoma kuyatamka Jaji muapishaji ajikausha na kupotezea ni kituko fulani hivi
Wanasheria...
Jambo hili limeleta mshangao mkubwa kwa wananchi, viongozi wa serikali na Bunge, je Jaji Mkuu anaamini corona imesambaa sana Dar es salaam hivyo kaamua kuzuia mawakili wa mikoani wasije Dar es salaam?
Je, Jaji Mkuu haamini taarifa za Rais kwamba hakuna corona? Kama haamini,katumia vyanzo gani...
Wakuu naomba tujadili suala hili kwa kina.
Huyu Mjane alikua anaishi kwenye nyumba ya serekali. Baada ya mumewe kufariki alipewa notisi ya kuhama.
Alifanya jitihada kubwa ya kuiomba Serikali imfikirie na imuachie akae katika nyumba hio ambayo inaonekana walitumia gharama kubwa kuiremba na...
MUSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA NAMBA 3(2020): UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI WA UMMA
Watumishi wa Mahakama na Viongozi wa juu wa nchi wanapopewa kinga dhidi ya mashtaka hata kwa makosa ya uvunjifu wa #Katiba, wanapewa mwanya wa kukiuka viapo vyao vya kuilinda Katiba.
Hii inatengeneza tabaka la...
MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamepinga muswada wa sheria wa marekebiaho ya sheria mbalimbali nchini namba 3 wa mwaka 2020.
THRDC na LHRC wametoa tamko la kupinga muswada huo leo Alhamisi tarehe 4 Juni 2020 mbele...
Katika Kuonyesha kuwa Mahakama za Wenzetu hasa huko Marekani ( Mamtoni ) na Ulaya ( Majuu ) kuwa linapokuja Suala la Maadili kwa Watendaji wake pindi wawapo Kazini hawana Mzaha ( Masihara ) kabisa ni kwamba Jaji Mmoja aliyekuwa akisikiliza Kesi ya ' Ubakaji ' kwa Mwanamke Mmoja amejikuta...
Wakuu, ile dhana ya uwepo wa Mihimili Mitatu inayojitegemea ni DANGANYA TOTO TU. Magufuli amedhihirisha hilo leo kwa kuagiza Ndugai asilipe posho za Wabunge walioamua kujiweka "karantini".
Kama Rais ana mamlaka ya kuliingilia Bunge, vipi kuhusu Mahakama? Atashindwaje kutoa maagizo yanayofanana...
Marais wasitaafu wote leo wameuaga Mwili Wa Jaji mstaafu Augustine Ramadhani
Tayari Kwenda Kuzikwa Marais Hao Wakiongozwa Na Mzee Mwinyi, Mkapa na Kikwete Wameuaga Mwili Wa Jaji Huyo Mstaafu.
Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu amen.
Jaji Mstaafu Mussa Kwikima amefariki leo Aprili 27, 2020 katika Hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam
Alikuwa Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini na Mwenyekiti wa Kamati ya Rufaa ya chama cha ACT Wazalendo na amewahi kushika nafasi mbalimbali katika chama hicho ikiwemo Mjumbe wa Kamati Kuu na...
Wanabodi
Samahani. Naomba kuanza na kuomba msamaha kwa kutumia maneno ambayo sio ya lugha ya Kiswahili wala lugha ya Kiingereza bali ni maneno ya lugha ya Kilatini kwasababu sikijui Kiswahili chake, wala Kiingereza chake, ni maneno ambayo yanafundishwa hivyo hivyo.
Imani Kubwa na Jaji Mkuu wa...
Mwanaharakati Stella Nyanzi aliyefungwa akielezwa kuwa alimtukana Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ameachiwa huru huku Jaji akieleza kuwa alifungwa kimakosa
Msemaji wa Magereza, Frank Baine amesema Stella alirudishwa katika gereza alilokuwemo lenye ulinzi mkali kwenda kuchukua vitu vyake baada...
Jaji Mstaafu Elias E. Kazimoto wa Mahakama Kuu ya Tanzania amefariki leo Februari 17, 2020 katika Hospital ya St.Bernard Dar es Salaam.
Kabla ya kuteuliwa kuwa jaji wa Mahakama kuu mwaka 1986 aliwahi kuwa Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia mwaka 1978 mpaka 1985
Mzuqa!
Hizi sankshen za Marekani dhidi ya Iran balaa na zina effect kubwa sana.
Pia ukitazama kwa makini utamuona Qassim Solemani kwenye mstari wa mbele akilia sana enzi za uhai wake huku kafunika uso wake kwa kiganja.
Inaonekana hii ni kama bongo star sech yao ama X Factor yao. Nimecheka...
Kichwa cha uzi kinajieleza chenyewe.
Humu JF nako tume join bandwagon ya walalamikaji tu (yes, you are right....hata mimi hapa hivi niandikapo sasa - huu ni ulalamishi tu!).
Ukienda twitter huko ndiyo usiseme kabisa - ni kulialia tu!
Kinachosikitisha kuliko vyote ni ni kumsikia kiongozi mkuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.