Mitandao yote na kila kona watu wanalia au tunalia kifo cha Jaji Regina Reyemamu.
Hutokea kwa nadra sana jaji akifariki halafu umma wote usikitike kw sauti moja kama inavyotokea leo kwa Jaji Rweyemamu.
Hii ni uhibitisho kwama Jaji Rweyemamu alitenda haki. Tena wanaomlilia wengi ni wale wenye...
Jaji Imani D. Aboud ambaye ni jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania aligombea nafasi ya kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu
Katia Mkutano wa 38 wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje ya Umoja wa Afrika, Jaji Imani amechaguliwa kuwa jaji kwa muhula wa pili wa miaka 6, ambapo...
Nimeisoma hukumu hii na kwa maoni yangu JPM ametenda haki kumpandisha cheo.
Aidha nitoe rai kwa vyuo vyetu vikuu vione namna ya kutambua mchango wa Jaji Galeba wafikirie kumpa Udaktari wa heshima.
Jaji wa Mahakama Kuu wa Kanda ya Musoma, Zephrine Galeba alietuliwa kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Rufaa kutokana na kuandika Kiswahili katika moja ya hukumu alizowahi kuzitoa.
Leo Rais Magufuli anamuapisha rasmi Dodoma, kuwa nami kukujuza yanayojiri.
===
10:22 Asubuhi: Jaji Galeba anatia saini...
Kwanza sielewi kiitifaki imekaaje pale mteule wa Rais anapoamua kujibu kwa niaba ya Rais pasipo kuagizwa tena Rais mwenyewe akiwepo mahali hapo.
Pili, Prof Lipumba alitoa ombi/ kumbusho na siyo swali kwamba ikimpendeza Rais Magufuli atuachie katiba mpya.
Tatu, Jaji Mutungi amemtaka Prof...
Rais Magufuli amefurahishwa na kitendo cha Jaji wa mkoa wa Mara mhe. Jaji Galeba kwa kuandika hukumu kwa lugha ya Kiswahili badala ya Kiingereza kama ilivyozoeleka.
Na kwa maana hiyo Rais Magufuli amemteua Jaji Galeba kuwa Jaji wa mahakama ya Rufaa kuanzia leo.
Maendeleo hayana vyama!
FUNGUA...
Siku ya sheria imekaribia na Rais Magufuli atahutubia na jaji Mkuu atahutubia.
Hatujui Rais atasema nini lakini ni wazi hotuba ya Jaji Mkuu itasheheni historia ya Mahakama Kuu (High Court) kwa miaka hii 100. Hongera sana Mahakama Kuu.
Hakuna majaji watenda haki kama Mahakama ya Rufani. Ukiwa...
Utanuaji wa magari ya Serikali sasa yameanza kusababisha maafa.
Leo jioni gari Kilimo Kwanza la Jaji mmoja, pale Mwenge limesababisa ajali na kupelekea daladala lililouwa linamkwepa huyo mkubwa kugonga wajenzi wa barabara Mwenge-Morocco.
Vijana kadhaa wajenzi wamegongwa na kukimbizwa...
Hafla hiyo itafanyika Ikulu , Chamwino jijini Dodoma saa 4 kamili asubuhi.
Tukio litarushwa mubashara TBC, Channel ten na ITV.
Updates;
======
Rais Magufuli ameingia ukumbini na zoezi la kiapo limeanza.
Kiapo kimekamilipa na sasa Naibu waziri wa Utumishi mh Ndejembi anatoa salamu za wizara...
Kiukweli nimeamini na nimekubali kuwa katika ulimwengu wa siasa Tanzania inafuata utawala wa sheria.
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema ataongea na Jaji mkuu wa nchi hiyo ili kufuta dhamana kwa washtakiwa wote waliotenda kosa la kuandamana bila kibali.
Museveni amesisitiza kuwa kama Jaji...
Akiwa mwalikwa kwenye kongamano la haki za binadamu lililoandaliwa kwa ajili ya viongozi wa dini, lililofanyika jijini Dar tarehe 14 mwezi huu, Jaji Warioba alizitaja kasoro kuu 4 zilizojitokeza katika uchaguzi mkuu uliopita.
Alizitaja kasoro hizo kama ifuatavyo:-
1. Wagombea wengi wa upinzani...
Jaji Joseph Sinde Warioba ameishangaa tume ya uchaguzi ya Tanzania kwa kitendo chake cha kuengua wagombea wa vyama mbalimbali vya upinzani bila kufwata utaratibu.
Ameishangaa kuengua wagombea wa vyama mbalimbali bila kuzingatia katiba badala yake kutumia vigezo dhaifu ktk kumuengua mgombea...
Kutoka Zanzibar, maandalizi yameshakamilika kwa ajili ya kumuapisha Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif Shariff Hamad kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Kuwa nami kukujuza yatakayojiri kutoka visiwa hivi vya karafuu punde kutoka sasa.
PIA, SOMA=> Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu...
Wengi wetu tulitegemea mawaziri wataapishwa kesho lakini kwa bahati mbaya Kamishna wa Tume ya Maadili Jaji Mstaafu Halord Nsekela amefariki dunia leo.
Kwa ratiba niliyonayo marehemu Nsekela aliyefia jijini Dodoma mwili wake utasafirishwa siku ya Jumanne kuelekea Tukuyu Mbeya ambako atazikwa...
Kwenye nchi yoyote duniani, inayoweza kusema inaendesha utawala bora, ni lazima iruhusu mfumo wa mihimili 3 mikuu ya nchi, ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama kujiendesha katika kutoingiliana katika uendeshaji wa shughuli zao, katika kile kinachoitwa "checks and balance"
Hali ni tofauti kubwa...
Wanaofanyia Kampeni Mgombea Urais wa Marekani, Donald Trump walifungua kesi kupinga matokea kwa jimbo la Georgia.
Wafuasi hao wa Republican walidai kuwa maboksi 53 ya kura yaliingizwa kwa kuchelewa hali iliyowafanya waone udanganyifu katika kituo cha kupigia kura.
Kesi hiyo ilifunguliwa katika...
Jaji Msataafu Thomas Mihayo ambaye ni Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) amesema kuwa mpiga kura aliyehama sehemu aliyojiandikisha kupiga kura atatakiwa kusafiri kwa muda ili apate haki ya kupiga kura kinyume na hapo hatoweza kupiga kura
====
Nimemsikia Jaji Mstaafu Mihayo akiwaomba viongozi wa dini wasimame kuilinda na kuitetea amani ya Tanzania. Naamini Jaji anajua tatizo lipo kwa watawala na si viongozi wa dini. Yeye akiwakemea na viongozi wa dini wakawakemea wataona aibu na wataanza kukataliwa na mwisho watajirekebisha...
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amewataka viongozi wa vyama vya siasa na wadau wote kuheshimu Sheria na Taratibu za Uchaguzi kama zilivyoainishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), ili kuepuka migogoro isiyo ya lazima.
Akizungumza Jijini Dar es Salaam, katika kikao kati ya...
Salaam Wakuu,
Muda wowote kuanzia sasa, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa anaongea na Waandishi wa Habari Nyumbani kwake Tegeta.
Nitawaletea kila kinachojiri Kutokea hapa Tegeta.
Agenda kubwa ni kusimamishwa kufanya Kampeni
======
UPDATES:
16:54HRS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.