Kwamba Jaji Tiganga kalitupilia mbali pingamizi kesi ya Mbowe na aliwahi kutoa hukumu hii:
Kuna nini kilichobakia?
Pamoja na kumshtakia Mungu, huyu Jaji aombwe kujitoa.
IN THE HIGH COURT OF TANZANIA
IN THE DISTRICT REGISTRY AT MWANZA
MISCELLANEOUS CIVIL APPLICATION NO. 152 OF 2019
(Arising from PC Civil Appeal No. 37 of 2018 which originated from Bupandwa Primary Court, Civil Case No. 27 of 2017)
WILFRED JOHN...
Leo kumejitokeza utata mwingine tena mahakamani kwa shahidi No. 8 wa Jamhuri Askari Polisi aitwaye Jumanne.
Kwamba, alipowakamata watuhumiwa na kuwapekua aka - seize [akachukua] mali za watuhumiwa kinyume cha sheria inayoongoza tendo hilo.
Sasa upande wa utetezi ume - OBJECT tendo hilo na...
Jaji ni mtu mkubwa na mwenye hadhi ya juu Sana katika mfumo wa Mahakama. Majaji pamoja na kuwa na hadhi ya juu pia ni watu ambao wanamajukumu mahususi na wanapaswa kufuatilia mambo nyeti kwenye kesi zinazofikishwa mbele yao. Hili kuweka heshima ya Mahakama na kuzuia Mahakama kuchezewa Jaji...
Je wajua?
Jaji Luvanda, aliyekataliwa na Mbowe, Jaji Siyani aliyejitoa, na Jaji Tiganga, anayeendesha shauri sasa, wote walianza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2000, na kumaliza 2004. Na pia walisoma na Naibu Mwendesha Mashtaka wa Nchi ya Tanzania JP
Tunajua wajua lakini tutaendelea kukujuza
Friends and Our Enemies...
Hivi karibun baada ya Mh RAIS Samia Hassan alipofanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la mawazir alisikika akikemea tabia ya baadhi yetu kusimama na kulalama kuwa waliondolewa kwa kuwa wao hawakuwa kabila Fulani,kama kwamba wao wameondolewa kwa Kosa la kuwa ni...
Wanajukwaa,
Sina maneno mengi. Wanasema kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza. Nchi hii inahitaji wazee wa aina hii ili kupona. Mimi sina cha kuongeza. Sikiliza mwenyewe hapa:
Jaji Mustapha Siyani katishwa akatishika na kuamua kuisigina haki hadharani mchana kweupe....
Amejitoa kuisikiliza kesi hii kwa maumivu makali katika nafsi yake kwa kuisigina haki mchana kweupe akidhani kwa kuwa yeye ni JAJI, wengine wote ni "wajinga" hatutaona upuuzi wake. Amekosea sana...
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, leo Jumatano Oktoba 20, 2021 inatarajiwa kutoa uamuzi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu.
Uamuzi huo ambao utatolewa na Jaji Mustapha Siyani (Jaji Kiongozi...
Uteuzi wa Jaji Siyani kuwa Jaji Kiongozi una sura tatu tata sana.
1) Ikiwa Jaji Kiongozi Mh Siyani atalazimika kuachia Jaji mwingine hii kesi ya Mh Mbowe, Athari za kuteuliwa jaji mwingine kwenye kesi hii ni kwamba ajaye anaweza kutoa maamuzi kwaniaba ya mamlaka za uteuzi ili nae apendelewe...
Kibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine.
Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo anakunywa maji, mmewapa wengine? Wapeni Maji wanywe, Askari Magereza Myakague ni haya tunayokunywa wote.
Jaji: Mawakili wa Serikali kuna lolote kwa ajili ya Re: examination?
Leo kesi imechelewa kuanza na pamoja na kuchelewa kuanza Jaji anaomba dakika 15 akajiridhishe na kutoa maamuzi baada ya utetezi kukataa kuhojiana na shahidi wa kwanza, lakini pia watuhumiwa kusema hawana cha kumhoji shahidi wa kwanza. Je, nilazima kuhojiana hata kama mtuhumiwa haoni sababu? Je...
Katiba ya JMT ibara ya 109 (2) inampa Rais mamlaka ya kuteua Jaji Kiongozi na Majaji wengine wa Mahakama kuu, Muhimili huu wa utoaji haki unatakiwa kuwa huru katika kutekeleza shughuli zake hiyo ibara ya 107B imetamka bayana kuwa mahakama zote zitakuwa huru pasipo kuingiliwa na muhimili wowote...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dr. Hussein Ali Mwinyi leo ameongoza mazishi ya Jaji Haji Omar Haji huko mkoa wa Mjini Magharib Unguja Zanzibar.
Jaji Omar Haji
Mazishi yalihudhuria halaiki kubwa ya watu pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali, mahakama na vyama vya...
Upande wa mlalamikaji ulieleza mahakama kwa ushahidi na facts kwamba mashtaka yaliyowasilishwa na Jamuhuri hayapo au hayana nguvu na msingi wa kisheria. Jaji alinaza baada ya kusikiliza pande zote mbili alikubali kuwa hati ya mashtaka ina makosa lakini pamoja na kubaini makosa kwenye hati ya...
Kwa ufupi sana Jaji huyu Mustapha Mohamed Siyani aliapishwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu kanda ya Dodoma siku ya Ijumaa tarehe 20 April 2018, na Aliyekuwa Rais wa Tanzania wa awamu ya 5 Dr John Magufuli, Baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo tarehe 15 April 2018 .
Pia amewahi kuwa Jaji Mfawidhi...
Kesi Na.16/2021, Makosa ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya Ugaidi ndani yake inayomkabili mwenyekiti @freemanmbowetz na wenzake 3, itaanza kusikilizwa Ijumaa ya wiki hii, katika Mahakama Kuu, Division ya Uhujumu Uchumi na Rushwa. Kesi hiyo, itasikilizwa na Jaji Mustapha Siyani.
Shida zenyewe ni hizi:
1. Yana Mwenyekiti mmoja ambaye anaweza kuwa anahandle kesi za wilaya kama 3 mfano Tanga DLHT kama sikosei (stand to be corrected) ana cater for, Korogwe, Pangani, Kilindi kuna Mwenyekiti mmoja.
Backlog ni kubwa kiasi mtu case inapigwa kalenda/tarehe miezi sita!/mitatu...
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania Jaji Francis Mutungi amesema kauli yake aliyoitoa wali katika mkutano wake na waandishi wa habari Dodoma ilipotoshwa
Amesema hajazuia mikutano ya ndani ya vyama vya siasa bali ameshauri vyama vya siasa kujizuia kufanya mikutano ya ndani kwa wakati huu...
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe inaendelea leo kwenye mahakama ya mafisadi.
Pia soma > Mahakama ya Uhujumu Uchumi: Mvutano mkali kesi ya Mbowe na wenzake. Hatma ya kesi kujulikana Septemba 6
Mungu ampe wepesi mwanasiasa huyu nguli, amen
Freeman Mbowe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.