jaji

  1. J

    AG Jaji Werema: Kafulila aliniita mwizi nikamwita "tumbili"

    AG Mstaafu Mhe Jaji Warema azungumzia sakata la kumwita RC David Kafulila "tumbili" Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema amezungumzia sakata la kumuita tumbili aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila. Jaji Warema amezungumzia sakata...
  2. M

    OMBI: Rais Samia mteue Wakili msomi Peter Kibatala kuwa Jaji

    Nchi yetu ina wasomi wengi ila wasomi wanaotendea haki taaluma zao ni wachache sana. Peter Kibatala ni mmoja wao Hii nchi ni yetu sote kama asali kila mtu anataka kulamba. Kuna viongozi lukuki sana wapo serikalini na walikuwa upinzani na majority wanafanya vizuri sana Sifa ya kuwa Jaji ni...
  3. chiembe

    Baada ya Rais Samia kumaliza teuzi katika vyombo vya dola, Sasa macho yote Mahakamani. Nani kuwa Jaji Mkuu?

    Naona Mh. Rais SSH kamaliza kupanga safi ya viongozi wa vyombo vya dola. Macho yetu yote ni kwa Mahakama. Je, nani atakalia kiti Cha Jaji Mkuu?
  4. chiembe

    Jaji Mkuu, kulikoni mpaka Sasa una majaji wamestaafu wanafanya kazi kwa mkataba? Nchi haina wajuzi wa sheria?

    Namuuliza tu Jaji Mkuu, kulikoni mpaka Leo ana majaji wamestaafu wanapewa mkataba waendelee kuhudumu? Hawa si ndio watakuwa na utii kwa mtu anayewaongezea mkataba? Waende kupumzika SSH ateue watu, wako wengi, na mama anajua kuchagua
  5. Roving Journalist

    Jaji Mkuu atoa angalizo kwa Mahakimu kutojihusisha na siasa na kuhusu makundi ya WhatsApp

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amewaapisha Mahakimu Wakazi wapya 20 na kuwapa angalizo kuhusu matumizi ya mitandao na marafiki wanaowazunguka Prof. Juma ametoa wito huo leo Jumamosi, tarehe 16 Julai 2022, akiwaapisha mahakimu wakazi wapya 20 Jijini Dar es Salaam. Amesema: “Ni wakati...
  6. Kufa c mwiko

    Jaji Dkt. Adam Mambi aheshimu ratiba na majukumu yake, tunaoteseka ni wenye mashauri kwake

    Nianze kwa kukupa pole na majukumu mazito ya kulijenga taifa letu. Mimi kama mwananchi nina maoni au ushauri kuhusu Jaji Dkt. Adam Mambi wa Mahakama Kanda ya Kati DODOMA. Sina shaka hata chembe na utendaji wake nikili wazi tatizo lipo kupanga ratiba za kazi zake, mtu unasafiri kilomita 500...
  7. JanguKamaJangu

    Jaji Mkuu Kenya ataka Kenyatta aondolewe madarakani kwa kukiuka Katiba

    Martha Koome ambaye ni Jaji Mkuu Nchini Kenya anataka Mahakama ya Rufaa ya Kenya kuangiza Rais Uhuru Kenyatta kuondolewa madarakani kwa kukiuka Katiba baada ya kukataa kuwateua majaji sita miongoni mwa 40 walioidhinishwa na Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) miaka mitatu iliyopita Pamoja na...
  8. Stroke

    Jaji Mkuu anapaswa akemee matumizi mabaya ya Mhimili wa mahakama kukomoa wananchi wasiokuwa na hatia

    Kumekuwepo na kesi za kisiasa ambazo kimsingi hazina ushahidi wa kuthibitisha madai husika. Raia wamekua wakikaa mahabusu muda mrefu kwa kesi za kubumba kabisa. Ushahidi wa hayo ni kesi za sabaya ambazo zilifunguliwa kisiasa tu na imethibitika hivyo baada ya mahakama kuona katika kesi zote...
  9. Championship

    Rasimu ya Jaji Warioba ipelekwe kwenye kura ya maoni tupate katiba mpya

    Kwako Mhe Raisi Naomba mswada upelekwe bungeni ili sheria itungwe kuwapa nafasi watanzania wapige kura ya maoni kwenye Ile rasimu ya katiba iliyoletwa na Jaji warioba. Hakuna sababu ya kupoteza tena muda. Hakuna kikundi kingine chenye nguvu au mamlaka ya kubadilisha maoni ya wananchi. Pia hii...
  10. Wababa13

    Kwanini Jaji Mkuu anatumia hii sehemu ambayo Rais ndo huwa anatumia wakati wa hotuba?

    Habari za leo ndugu, jamaa na marafiki. Leo nimewaza nimeona ni vema niwashirikishe na nyie.. hapo aliposimama Jaji Mkuu binafsi huwa namuonaga Rais wa nchi peke yake, hata Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge na Katibu Mkuu kiongozi kwa upande wangu sijawahi kuwaona hapo (sijui...
  11. K

    Tanzania tunahitaji Jaji Mkuu mpya kutokana na yanayoendelea kwenye Mhimili wa Mahakama?

    Hatuwezi kuwa na Mahakama ambayo kazi yake inasikilizia Serikali badala ya kufuata sheria. Kesi za msingi zinachukuwa miaka mingi pasipo ulazima. Ni wakati wa huyu Professor kurudi kufundisha na kuokoa huu Muhimili muhumu kwa taifa letu. Lakini ni wakati wa kuwa na Jaji Mkuu ambaye katokana na...
  12. chiembe

    Ili kupunguza tetesi za rushwa, Jaji Mkuu na Mahakama iwaondoe au iwalipe vizuri wasaidizi wa Majaji

    Kiuhalisia, wasaidizi wa Majaji ndio huandika hukumu, mishahara yao midogo, na inabidi waendelee kuishi. Kuna tetesi kwamba wananchi wamefahamu kwamba hawa ndio huandika hukumu, zikiwemo za kesi za mauaji, na wanaishi mitaani na wananchi wa kawaida. Katika kuishi huko, basi Kuna tetesi kwamba...
  13. K

    Jaji aliyetoa hukumu ya Sabaya tutapataje CV yake? Anasifika Kwa uadilifu ofisini kwake na machoni pa jamii?

    Mataifa mengi hupinga dhuruma Kwa kuwafichua wadhulumati, hupinga Rushwa Kwa kuwafichua Wala Rushwa na kufichua wasio waadilifu Kwa kufichua historia yao ya utendaji Haitoshi kuheshimu hukumu ya Mahakama inatosha kuitafsiri hukumu hiyo kulingana na matendo ya Mtuhumiwa yaliyoonekana Kwa macho...
  14. Naipendatz

    Jaji Warioba: Miaka yote watu wanaelewa kujaza fomu, lakini 2020 ghafla hawajui. Siasa inataka kuingia kwenye Dini

    Jaji Warioba akichangia kwenye mkutano wa TCD leo Dodoma, amenena haya Miaka yote watu wanaelewa na wanajaza fomu vizuri lakini Mwaka 2020, ghafla watu hawajui kujaza fomu (wanaenguliwa). Hapa lazima kuna namna Msitazame Wajumbe wa Tume pekee, angalieni Mfumo mzima wa Uchaguzi. Wizi wa kura...
  15. Dr Matola PhD

    Hebu tuwekane sawa, ndio kusema Rasimu ya Jaji Warioba imezikwa?

    Wanasiasa hebu twende taratibu maana mnatuchanganya, hivi ndio kusema kazi nzuri iliyofanywa na tume/kamati ya Jaji Warioba ndio dead and burried na sasa tunaletewa usanii wa kikosi kazi kilichojaa wahuni na walafi? Hebu tuelimishane hapa wengine tunashindwa hata kuelewa kinachoendelea, maana...
  16. Ileje

    Jaji Joachim Tiganga ameikosesha Mahakama point tatu muhimu dhidi ya Serikali

    Kitendo cha Jaji Joachim Tiganga aliyekuwa anasikiliza kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe na wenzake watatu kuamua kuwa wana kesi ya kujibu na baadaye serikali kupitia kwa DPP kusema hawana nia ya kuendelea na kesi kimeidhalilisha sana mahakama. Endapo Jaji Tiganga angemaliza kesi hii mara baada ya...
  17. M

    Hukumu ya Jaji Tiganga inaweza kupatikana?

    Pamoja na Mhe Mbowe na wenzake Kia chi wa guru baada ya DPP kueleza nia ya kutoendelea na kesi, je ile hukumu ya Jaji Tiganga iliyowakuta ya washtakiwa wana kesi ya kujibu inaweza kupatikana? Tunataka tuichambue hukumu hiyo kwenye vijiwe vyetu, kwenye vyama vya kitaaluma ya sheria, kwenye law...
  18. John Haramba

    Marekani: Rais Biden amteua Jaji mwanamke mweusi katika Mahakama ya Juu

    Rais wa Marekani, Joe Biden mnamo amemteua Jaji wa Shirikisho Ketanji Brown Jackson kuwa Jaji katika Mahakama Mkuu ya Marekani ambapo atakuwa mwanamke wa kwanza mweusi kujiunga katika mahakama hiyo. Iwapo ataidhinishwa na Bunge la Seneti, mwanasheria huyu mahiri mwenye umri wa miaka 51 atakuwa...
  19. K

    Kumsujudia Jaji au Hakimu Mahakamani ni kumchukiza Mwenyenzi MUNGU; hakuna sheria inayolazimisha kusujudu

    Mahakamani pamekuwa kama kwenye nyumba za Ibada; watu wakifika mahakamani lazima wasujudu Sijui huu utamaduni wa kimiungu ulitokana na Nani. Mahakimu na Majaji siyo watu wa kuabudiwa ni Watumishi wa Umma. Mahakama siyo nyumba ya ibada NDIYO maana kila mtu uapa Kwa Imani yake. Mfano kwa Wakristo...
  20. B

    Wangapi zamani waliamini Majaji ni watu wenye uwezo mkubwa lakini Sasa wanaanza kuamini kila mtu anaweza kuwa Jaji?

    Naona watu wengi mitandaoni wanajadili namna majaji wanavyopatikana. Watu wanahoji 1. Jaji anapatikana Kwa kupanda vyeo serikalini? 2. Wanapatikana Kwa UMAHIRI? 3. Wanatokana na perminmance nzuri kwenye private sector? 4. Wanatoakana na ukubwa wa GPA? 5. Wanatokana na mahusiano Yao na wanasiasa...
Back
Top Bottom