jaji

  1. chiembe

    Mawakili wamkataa Jaji Biswalo, wamuandikia barua Rais Samia

    Waanika tuhuma dhidi yake, wataka zichunguzwe.
  2. chiembe

    Hivi Jaji Biswalo ana mamlaka ya kimaadili kutoa hukumu? Yaani na yeye huko aliko anafunga wezi na wanaotumia mamlaka vibaya?

    Sipati majibu. Hivi kweli Sasa hivi ninapoandika hii post JF, Jaji Biswalo anaenda mahakamani, anapigiwa saluti, anasikiliza kesi za wezi, wanaotumia mamlaka vibaya, halafu anawafunga? Kweli kabisa? Mtu ambaye ametapakaa Kila aina ya tuhuma, anaenda kuwafunga watu ambao alitakiwa awe nao...
  3. R

    Jaji Mkuu: Toeni taarifa dosari za mahakama zitatuliwe

    Ameyasema juzi katia ufunguzi wa majengo ya Mahakama huko Same/Mwanga. Kweli Mh. Jaji Mkuu, hujui dosari za mahakama zako? Hilo ulilolisema linatoka rohoni au unajikosha? watu wanaozea jela kwa kuonewa hasa wafuasi wa Chadema, nalo hulijui? La "wabunge" 19 wa mchongo nalo hulijui? Unaona...
  4. Roving Journalist

    Jaji Mkuu wa Tanzania awashukuru wananchi kwa fedha za kukamilisha majengo ya Mahakama Mwanga na Same

    Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma anazungumza kwenye Uzinduzi wa Majengo ya Mahakama za Wilaya ya Mwanga na Same leo Novemba 15, 2022 Nurdin Hassan Babu - Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Haki siyo lazima upate wewe tu, hata mwenzako akipata haki na wewe unapaswa kukubali. Mwenyekiti...
  5. Ngongo

    Kesi ya ‘COVID 19’ Jaji anazingua sana

    Baada ya baadhi ya wabunge waliojiteua kuanza kuhojiwa na kubanwa kisawa sawa na Wakili Msomi Kibatala,Jaji kama kawaida yake kuipeleka kesi hadi Mwezi December 6 2022. Ikiwa wenzetu Kenya waliweza kumaliza kesi kwa muda mfupi,kinachomshinda Jaji kusikiliza kesi kwa haraka na kuimaliza nini ?.
  6. BARD AI

    Rais wa Afrika ya Kati amfuta kazi Jaji Mkuu aliyekataa kubadili Katiba kuruhusu agombee muhula wa 3

    Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati amemfuta kazi Jaji Mkuu wa Mahakama ya Katiba, Danielle Darlan, na kumuwekea "kizuizi cha kudumu". Agizo la Faustin Archange Touadera linakuja baada ya jaji huyo mwenye umri wa miaka 70 mwezi uliopita kutupilia mbali ombi la chama tawala la kufanyia marekebisho...
  7. BARD AI

    Wahanga wa 'Plea Bargain' waomba Jaji Biswalo asimamishwe kupisha uchunguzi

    Ni baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuthibitisha kuwa ofisi yake imeanza uchunguzi wa jambo hilo na ripoti yake itatoka March 2023. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Ofisi ya CAG imeanza kuwahoji waathirika wa utaratibu huo kuanzia ngazi ya Kata, huku kukiwa na madai...
  8. BARD AI

    Kabendera: Nimeombwa kuwasilisha vielelezo kuhusu vitisho vya Jaji Biswalo

    Kupitia Twitter mwandishi wa habari mkongwe Eric Kabendera amesema ameitwa kuwasilisha vielelezo vyake baada ya kutishiwa na aliyekuwa DPP wa Serikali Dr. Biswalo Mganga Binafsi nimeombwa kuwasilisha maelezo ya maandishi kwa mamlaka husika kuhusu vitisho alivyovitoa Ndugu Biswalo dhidi yangu...
  9. Mystery

    Maoni kuhusu Katiba mpya ya Jakaya Kikwete, kwanini hayajawa ya uwazi kama ya Jaji Othman Chande?

    Jakaya Kikwete alikuwa kiongozi wa waangalizi, kwa upande huu wa Afrika Mashariki, Katika uchaguzi mkuu, uliomazika hivi Katibuni nchini Kenya. Tulimsikia pia Rais huyo mstaafu, akiwasihi viongozi wawili wakuu, waliochuana vikali Katika uchaguzi huo, William Ruto na Raila Odinga, waliokabana...
  10. BARD AI

    Jaji Othman Chande: Hakuna sababu ya Matokeo ya Urais kutopingwa Mahakamani

    Jaji amesema nchi haitapungukiwa chochote ikiwa itaruhusu watu binafsi na wagombea kupinga matokeo ya Urais Mahakamani. Ameongeza kuwa "ukishasema kwenye Katiba kwamba Mahakama ndiyo Mamlaka ya mwisho ya Kisheria, basi mzozo wowote unapaswa kufika kwenye Mamlaka hiyo ya mwisho ya kisheria"...
  11. M

    Jaji mmoja wa Kenya kati ya wale saba ana Jina la kwanza la ajabu

    Mzuka wanajamvi! Wakenya bana sometimes wanachekeshaga Sana. Kuna Jaji mmoja kati ya wale saba anaitwa Smokin Wanjala unajiuliza what's this? Hata kama kuiga huku ni kuvuka mpaka. Afadhali bongo tunaiga lakini siyo kivileee, mfano Dodoma kuna msela flan anaitwa Wolfgang Mponeja angalau. Kuna...
  12. J

    Kenya 2022 Jaji amuumbua Raila Odinga kwa swali gumu

    Kwa mnaofuatilia mnakumbuka wale makamishna 4 wa IEBC walivyotoka saa ya mwisho matokeo yakitaka kutangazwa na kusema hawayatambui Jaji anawauliza mawakili wa Odinga kwa nini muda wote walikuwepo na kuonekana kusoma matokeo kwenye Tv ila baada ya kuona Raila anashindwa wakasema hawayatambui?
  13. BARD AI

    Kenya 2022 Jaji Mkuu ataja Hoja 9 zitakazoamua mustakabali wa Urais wa Ruto

    Hoja hizo zilizotajwa na Martha Koome, zitaamua Uhalali au Ubatili wa Matokeo ya Urais ni:- 1. Iwapo Teknolojia iliyotumiwa na Tume ya Uchaguzi (IEBC) kwenye Uchaguzi Mkuu ilifikia viwango vya Uadilifu, Uthibitisho, Usalama na Uwazi ili kuhakikisha matokeo sahihi na yanayoweza kuthibitishwa...
  14. BARD AI

    Kenya 2022 Jaji Othman Chande kuongoza Majaji waangalizi wa Pingamizi la Urais

    Kundi la Majaji na Wanasheria mashuhuri ambao ni wanachama wa Jukwaa la Majaji na Wanasheria wa Afrika limewasili nchini Kenya kwa ajili ya kuangalia na kisha kutoa taarifa ya mchakato wa kesi ya Pingamizi la Urais katika Mahakama Kuu. Ujumbe huo unaongozwa na Mohammed Chande Othman, Jaji Mkuu...
  15. BARD AI

    NCCR Mageuzi wamuomba Rais Samia kumfukuza kazi Jaji Mutungi

    Chama cha NCCR-Mageuzi, upande wa Mwenyekiti James Mbatia umemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumfuta kazi Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi wakidai inashindwa kutekeleza majukumu yake kwa weledi ikiwamo kusuluhisha mgogoro unaoendelea ndani ya chama hicho. Chama hicho...
  16. BARD AI

    Marekani: Jaji aagiza hati ya kiapo iliyoruhusu FBI kumpekua Donald Trump kuwekwa hadharani

    Jaji Bruce Reinhart kutoka Mahakama inayosikiliza kesi hiyo, ameiamuru Idara ya Haki kufikia saa 1:00 jioni leo Agosti 26, 2022 iwe imeweka hadharani Hati ya Kiapo ambayo iliruhusu upekuzi wa FBI kwenye nyumba ya Rais wa zamani, Donald Trump. Reinhart amesema Idara ya Haki ina haki ya kuficha...
  17. JanguKamaJangu

    Lebanon: Jaji aamuru aliyevamia benki akiwa na bunduki aachiwe huru bila masharti

    Jaji Nchini Lebanon ameamuru Bassam al-Sheikh Hussein (42) ambaye alikamatwa na kuweka kizuizini kutokana na kuvamia benki akiwa na bunduki akitaka apewe fedha zake, aameachiwa huru bila masharti. Hussein alivamia Benki ya FBL Jijini Beirut akitaka apewe Dola 35,000 (Tsh. Milioni 81) kati ya...
  18. Mwanamayu

    Jaji wa Mahakama Kuu au Mahakama ya Rufaa Tanzania ku-overtake kwenye mstari ulionyooka au alama za wavuka kwa miguu sio maajabu kweli?

    Mara kadhaa nimeona magari yenye utambulisho Jaji wa Mahakama kuu ya Tanzania na ule wa jaji wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania kuzipita gari nyingine wakati alama ya barabarani hairuhusu. Pia, kuzipita gari nyingine kwenye alama ya kuvuka barabara watembea kwa miguu. Je, kama majaji hawa...
  19. JanguKamaJangu

    Jaji Mkuu apata dawa mlundikano mashauri, ashauri majaji wapangiwe idadi ya kesi za kumaliza kwa mwaka

    JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahimu Juma, amesema kuna haja ya kuweka utaratibu wa kila Jaji wa Mahakama ya Rufani kumaliza idadi fulani ya mashauri kwa mwaka ili kuondoa mlundikano wa mashauri mahakamani. Alitoa kauli hiyo jana wakati wa mkutano wa nusu mwaka wa Majaji wa Mahakama ya Rufani...
  20. JanguKamaJangu

    Jaji Mahakama Kuu ashauri Mahakimu watumie sheria ya kifungo cha nje

    Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu, Kanda ya Kigoma, Lameck Mlacha amewataka Mahakimu kutumia sheria ya kifungo cha nje kwa makosa chini ya miaka mitatu kama ilivyoanishwa katika sheria ili kupunguza mrundikano wa wafungwa gerezani. Ametoa mfano baadhi ya makosa hayo ni yale madogo na ambayo sio...
Back
Top Bottom