jaji

  1. Poppy Hatonn

    Leo tunatumaini Jaji atatoa uamuzi ambao utaondoa jakamoyo ya Mwabukusi na wenzake

    Watu wamekuwa very hysterical kuhusu hili suala la Bandari: wanasema nchi itaangamia, nchi itakufa. Lakini leo Jaji anakwenda kuwaondoa watu wasiwasi. Tuna imani na Samia. Twende na Samia katika hili. Rais huyu ana nia njema. Binadamu anatakiwa kuwa na imani; na siyo kuogopa kila jani kavu...
  2. Mshana Jr

    Kutoka maktaba: Hakimu aliyechunwa ngozi kwa ufisadi

    Mchoro wa karne ya 16 unaoonyesha kuchunwa ngozi akiwa hai kwa hakimu fisadi, Sisamnes, katika mwaka wa 500BC. Sisamnes alikuwa hakimu wa kifalme fisadi wakati wa Cambyses ll katika taifa la Uajemi. Iligundulika kuwa alichukua hongo/rushwa mahakamani na akatoa hukumu isiyo ya haki. Kwa sababu...
  3. Li ngunda ngali

    Kwanini Erick Hamissi alifutwa kazi bandarini?

    Duru za kweli zinatabanaisha aliyekuwa boss wa Mamlaka ya BANDARI alifutwa kazi kwa sababu zilizodaiwa kutoonyesha ushirikiano na wawekezaji kule Dubai alipokuwa ameambatana na ujumbe wa Rais. Jamaa walidai hawaonyeshwi ushirikiano wa haja na boss wa TPA kwa waziri na hazikupita siku mbili...
  4. BARD AI

    Mwanasheria afungua kesi kupinga Jaji Mkuu kubaki kazini baada ya muda wa kustaafu kupita

    Kesi hiyo ya kikatiba imefunguliwa na Wakili wa kujitegemea, Humphrey S. Malenga katika Mahakama Kuu Masjala ya Dar es Salaam ikiwa ni siku chache tangu Rais Samia amuongeze muda Prof. Ibrahim Juma Profesa Juma, ambaye alizaliwa Juni 15, 1958, amekuwa Jaji Mkuu wa Tanzania tangu Septemba 10...
  5. benzemah

    Wakili Mgongolwa: Katiba inamruhusu Rais kumuongezea muda Jaji Mkuu

    Kupitia kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa kupitia Clouds FM, Mwanasheria wa kujitegemea Alex Mgongolwa ameeleza kuwa Rais anayo Mamlaka na hajavunja Katiba kwa kumuongezea muda wa kuhudumu Jaji Mkuu wa Tanzania Msikilize hapa, kisha tujadili nini maoni yako? Pia soma > Profesa Ibrahim...
  6. Msanii

    Mwenye CV ya Jaji Stella Mugasha atuwekee

    Jaji wa Mahakama ya Rufani, Stella Mugasha Mhe. Jaji Stela Mugasha ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania. Siku mbili hizi ameteka headline kwa barua aliyoandika kukosoa kuongezewa muda Jaji Mkuu. Naomba mwenye CV ya Jani Mugasha pls ashare nasi hapa Pia soma Profesa Ibrahim Juma...
  7. TODAYS

    Jaji Stela Esther Augustine Mugasha kama kajitoa mhanga, kwa mifumo yetu atadumu?

    Namuona mama (pichani chini) anatrend sana, nadhani ni kutokana na barua yake ya kukataa kuungana na walio wachache juu ya 'anachosema' dhuluma kwa watanzania. Nimesoma sehemu ndogo sana ya barua yake hapo chini, mama yetu huyu sijui ni Msabato kaona liwalo na liwe, hataki hukumu ije mbele...
  8. lord atkin

    Profesa Ibrahim Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu, Rais Samia anavunja Katiba ya JMT?

    Waungwana salaam Ni bayana kwa mujibu wa katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 ibara ya 118 Ikisomwa pamoja na ibara ya 120 zinaweka wazi kuwa Jaji Mkuu atastaafu punde atakapotimiza umri wa miaka 65. Na kwa kuwa Jaji Mkuu wetu Profesa Ibrahim Juma ametimiza umri wa miaka 65 tarehe 15/06/2023 hivyo...
  9. Li ngunda ngali

    Jaji Warioba: Tujifunze kwenye mikataba iliyopita

    Mwananchi. Mzee Warioba ana maanisha nini anaposema waziwazi kwamba kwenye huo mkataba haitoshi kusema haya ni makubaliano na bila kupepesa macho AMESEMA WATAWALA WAANGALIE YASIYO FAA WAYAONDOE?!
  10. B

    Jaji Mihayo azungumza kuhusu Twiga Cement kununua hisa za Tanga Cement, akemea uvunjaji wa sheria

    HATIMAYE Jaji Mstaafu Thomas Mihayo ameamua kuvunja ukimya kwa kueleza kuwa wanasheria waliipotosha Serikali na Mawaziri kuhusu kuendelea na mchakato wa kampuni ya Saruji ya Twiga kununua hisa za Tanga Cement wakati mahakama ilizuia kuwapo kwa muunganiko wa kampuni hizo. Pia amesema tayari...
  11. Librarian 105

    Jaji Mutungi: ni kweli bila shaka katiba mpya haitatekwa na wanasiasa?!

    Alitoa kauli hiyo baada ya ofisi yake ya msajili wa vyama vya siasa kuelekea kukutana na baraza la vyama vya siasa nchini (bila ushiriki wa Chadema). Kujadili hatua za mwanzo za utekelezaji wa agizo la Rais la kuagiza kuanza kwa mchakato wa katiba mpya. Rais Samia alimtaka kuitisha mkutano...
  12. Deogratias Mutungi

    USHAURI: WanaJF tuwe na sehemu ya kuwasilisha maoni yetu ya Katiba pendekezwa kwa Jaji Mutungi?

    Salaam, Wana JamiiForums, Kwa kuwa Jamii Forums ni Jukwaa lenye wasomi, wanazuoni na nguli wabobevu katika sheria na Katiba na mambo mengi ya Kijamii, kisiasa na kiutamaduni. Napendekeza uwepo utaratibu maalumu wa Jukwaa hili kuwasilisha maoni yetu kuhusiana na Katiba pendekezwa, na hatimaye...
  13. Ngungenge

    Jaji Warioba nakutuma kwa kadinali na askofu waulize juu ya mpendwa wetu Membe

    Kutokana na kifo cha ndugu yetu Benard Membe maswali ni Mengi hatakama utawala wa mama umeamua kukalia kimya Nakutuma kwa Kadinali aliyetuma ujumbe kumsihi Membe amsamehe Musiba baada ya hukumu ya mahakama kutoka Pia nakutuma kwa askofu aliyetuma ujumbe kwa Membe siku chache kabla ya kifo...
  14. benzemah

    Uteuzi: Rais Samia amemtua Jaji Mstaafu Rose Teemba kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili, ambapo amemteua Jaji Mstaafu Rose Teemba kuwa Mwenyekiti wa Baraza hilo kuanzia tarehe 24 Aprili, 2023. Jaji Mstaafu Teemba anachukua nafasi ya Jaji Mstaafu Ibrahim Mipawa...
  15. benzemah

    Jaji Manento: Rais apunguziwe mamlaka uteuzi wa Majaji

    Jaji Kiongozi mstaafu, Amir Manento amependekeza Katiba iweke udhibiti kwa Rais asiwe na mamlaka ya kuteua majaji nje ya mapendekezo ya Tume ya Utumishi wa Mahakama. Manento alitoa mapendekezo hayo jana kwa kwa Tume ya Haki Jinai, iliyoundwa па Rais Samia Suluhu Hassan, kuangalia jinsi ya...
  16. Mmawia

    CAG amaliza kazi kwa aliyekuwa DPP Biswalo Mganga, ataka achunguzwe

    Asante sana CAG kwa angalau kazi ya kuwataja mafisadi papa katika nchi hii. CAG kwa uchunguzi huu Mungu atakulinda maana huna baya bali wabaya watakuandama. Kwanini kila ufisadi unaibuliwa kupitia kwa kundi lililokuwa chini ya Jiwe? Ebu tujiulizeni jamani inakuwaje? Alafu kuna watu...
  17. BARD AI

    Jaji aonya wazazi kuwatumia watoto kutoa ushahidi wa uongo

    Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Morogoro, Jaji Paul Ngwembe amekemea tabia ya baadhi ya wazazi na walezi wanaowatumia watoto kutoa ushahidi wa uongo mahakamani. Jaji Ngwembe amesema hayo wakati akitoa elimu ya msingi ya sheria kwa wananchi mkoani Morogoro wanaofika katika...
  18. B

    Rais wa Mahakama ya Afrika: Nchi wanachama ziheshimu Hukumu za Mahakama ya Afrika bila Visingizio

    20 February 2023 Arusha, Tanzania Jaji Imani Daudi Aboud Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yenye makao yake Arusha. Leo ameziasa nchi wanachama kutekeleza hukumu zinazotolewa na mahakama hiyo ya Afrika bila visingizio kuwa hukumu hizo haziendani na sera za nchi zao husika...
  19. R

    Ushauri kwa Jaji Mkuu Tanzania

    Ukipitia kesi nyingi za migogoro ya ardhi zinazoanzia kwenye ward tribunal (kwa sasa hazipo tena bali ni wasuluhishi) mpaka Court of Appeal na mwishowe kutupwa/kurudishwa kuanza upya either kwenye Mahakama ya nyumba na ardhi ya wilaya (DLHT) au kwenye Ward Tribunal (sasa haipo ni washauri)...
  20. BARD AI

    Jaji Chande: Wananchi hawana imani na taasisi zinazotoa haki

    Siku tatu baada ya Tume ya Kutathmini Mfumo wa Haki Jinai ianze kazi yake, imesema Tanzania kuna mmomonyoko na upungufu wa imani za wananchi kwa taasisi zinazotoa haki. Tume hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti, Jaji mstaafu Mohammed Chande na Makamu wake, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni...
Back
Top Bottom