jaji

  1. M

    Uchaguzi 2020 Barua ya wazi kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Kaijage

    YAH: Upendeleo wa wazi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika uchaguzi mkuu huu na kutumika kuwanyima wananchi haki yao ya kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa Ndugu Mwenyekiti, wakati Taifa lingali likiendelea na mchakato wa uchaguzi kuelekea katika tarehe yenyewe ya tukio la kupiga kura tarehe...
  2. Cannabis

    Jaji Samatta: Tumeshuhudia ongezeko la uvunjifu wa Haki za Binadamu hivi sasa kuliko vipindi vingine vyote

    Jaji Mkuu mstaafu Mh. Barnabas Albert Samatta ameongelea ongezeko la uvunjifu wa haki za msingi za binadamu nchini Tanzania kuliko kipindi kingine chochote. Amesema kuwa hivi sasa imekuwa ni kawaida kuona mtu akikamatwa na vyombo vya ulinzi na kuhukumiwa kwa tuhuma zisizokuwa na hoja yoyote ya...
  3. PAZIA 3

    Uchaguzi 2020 Upinzani waitumie rasimu ya Jaji Warioba kuisoma hadharani ili kutoa mawazo hasi kwamba mapendekezo ya ilani zao ni mawazo yao binafsi

    Nimeipitia kwa mhutasali rasimu ya jaji warioba, Ni nzuri na imebeba mawazo halisi ya wananchi, nikagundua, ila za vyama makini vya upinzani vimekopy KUTOKA rasimu ya Jaji Warioba. Nashauri wapinzani kuisoma Tena hadharani ili wananchi wakumbushwe tu kuwa, rasmu ya katiba mpya ni nzuri kiasi...
  4. B

    Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yatoa Tathmini ya Mchakato wa Uchaguzi 2020

    Jaji Mstaafu Mathew Pauwa Mhina Mwaimu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora - THE COMMISSION FOR HUMAN RIGHTS AND GOOD GOVERNANCE (CHRAGG) anazungumza kuhusu uchaguzi huu wa 2020. Jaji Mstaafu Mathew Pauwa Mhina Mwaimu aliteuliwa na Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli mwezi Oktoba 2019...
  5. Subira the princess

    Uchaguzi 2020 Sera ya majimbo sio ya CHADEMA, ilipendekezwa kwenye rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba

    Wasalaam, Huwa inashangaza kwa mtu msomi mwenye akili timamu anapoamua kwa makusudi kupotosha jambo lenye maslahi kwa umma, ambalo linatambulika vema kwa jamii husika. CCM wameparamia kujibu hoja Lissu kuhusu sera ya majimbo eti tutarudi enzi za ukoloni, ukiisoma rasimu ya katiba ya Warioba...
  6. StingRay

    Siwaelewi Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu, TLS, Tume ya Haki za Binadamu

    NEC hii inawahusu sana.....!!!!! Hivi kabisa kabisa kabisa watanzania pamoja na tunu zetu zooooote tunakubali hili kwa gharama sifuri? Mgombea yupo kwenye kampeni za kiti cha uongozi wa juu kabisa katika nchi hii anaahidi wapiga kura watarajiwa na wananchi kwamba, "Mkichagua upinzani sitaleta...
  7. Roving Journalist

    TANZIA Mwanasheria Mkuu wa Kwanza Mzalendo na Jaji Mstaafu Mark Bomani afariki dunia

    Habari zilizotufikia ni kwamba Mwanasheria Mkuu wa Tanzania, Jaji Mark Bomani amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Septemba 11, 2020, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Mtoto wake amethibitisha kifo hiki. Shughuli za msiba zipo nyumbani kwa Marehemu Mikocheni jijini Dar es Salaam. Jaji...
  8. Lord denning

    Hii ndo sababu Mahakama kuonekana kichaka cha Wanasiasa hasa CCM

    Amani iwe nanyi wana Tanzania! Moderators naomba msiunganishe wala kufuta huu uzi! Maana ni wa kipekee Leo nimemsikia Jaji Mkuu akiongea na majaji na mahakimu huko Morogoro. Kilichonishangaza ni maneno aliyosema Eti wajaji na Mahakimu hasa kwenye kutoa haki wawe makini ili mahakama isionekane...
  9. J

    Jaji Mkuu Profesa Juma awataka Majaji na Mahakimu kutendea haki Kesi za Uchaguzi ili Mahakama isigeuzwe kichaka cha Wanasiasa

    Akizungumza kwenye kikao cha kutoa elimu ya namna ya kushughulikia kesi za uchaguzi kwa majaji na mahakimu, JM Prof Juma amewataka watendaji hao kutoa haki kwa wakati. Profesa Juma amesema mahakama inapaswa kutoa haki ili isionekane kama tawi linaloweza kutumiwa na Wanasiasa. Semina hiyo...
  10. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania Updates ---- Tayari Mheshimiwa Tundu Lissu ambaye ni mgombea Urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form UPDATE:-...
  11. BAVICHA Taifa

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
  12. Dam55

    Uchaguzi 2020 Hoja binafsi: Jaji Kaijage apongezwe kwa busara zake zilizombeba Tundu Lissu, busara zaidi itumike kuepuka sintofahamu za makusudi kwenye Uchaguzi

    Jaji Kaijage na team yake ya Tume ya uchaguzi kama si busara zao za kukubali kufanya uhakiki wa wadhamini wa mgombea urais Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Tundu Lissu jambo ambalo kikanuni lilipaswa kufanyika kwenye ofisi za majimbo za Tume ya Uchaguzi basi ni dhahiri Lissu...
  13. lee Vladimir cleef

    Uchaguzi 2020 Ewe Jaji Mkuu wa Mahakama na Enyi TAKUKURU

    Nikiwa Kama Mtanzania, naomba kutoa ombi na ushauri wangu kwako Jaji Mkuu wa Tanzania. Mahakama Ni Taasisi takatifu mahali popote Duniani. Kuna habari zinaandikwa humu mitandaoni kuwa Kuna njama kutoka watu wa CCM kumhujumu Lissu akiwa mahakamani ili asifaulu kuendelea na harakati zake za...
  14. Duniahadaa

    Amsterdam and partners LLP wamlima barua Rais Magufuli na Jaji Mkuu, wabainisha njama zote zinazosukwa

    Barua yenyewe ndio hiyo, jisomee mwenyewe. ======
  15. J

    Uchaguzi 2020 Jaji Kaijage: Baada ya uhakiki, sasa tuna jumla ya wapiga kura 29,188,347. Vyombo vya Habari vitende haki kwa vyama vyote

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ( NEC) mh Jaji Kaijage amesema baada ya kuhakiki daftari na kuondoa majina yanayojirudia sasa wamebakia wapiga kura 29,188,347 Source East africa radio My take; Kumbe nyomi ya Tundu Lisu si chochote si lolote. Maendeleo hayana vyama! ====== Daftari la wapiga...
  16. J

    Uchaguzi 2020 Jaji Mkuu: Ni marufuku kwa Jaji, Msajili wa Mahakama na Hakimu kujiunga na Chama cha Siasa

    Jaji mkuu Profesa Ibrahim Juma amesema ni marufuku kwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jaji wa Mahakama Kuu, Msajili wa Mahakama na Mahakimu kujiunga na Chama cha Siasa. Profesa Ibrahim Juma amesema watumishi hao wa Mahakama wanabaki na haki moja tu ya kupiga kura waliyopewa katika Ibara namba 5 ya...
  17. B

    Aliyehukumiwa miaka 30 jela bila kosa aokolewa na Jaji

    ALIYEHUKUMIWA MIAKA 30 JELA BILA KOSA AOKOLEWA NA JAJI. Na Bashir Yakub, WAKILI. +255 714 047 241 Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam Jaji L.M. MLACHA anasema kuwa katika pitia pitia yake katika mafaili mbalimbali ya kesi akakutana na faili moja ambalo hakulielewa...
  18. J

    Uchaguzi 2020 Mwenyekiti NEC: Uteuzi wa wagombea Urais utafanyika tarehe 25/08/2020 kwa wale wenye Sifa!

    Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020. Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba. Chanzo: ITV habari!
  19. J

    Jaji Mutungi ni Mlezi wa CCM au Vyama vyote vya Siasa? Maana kwenye Mikutano Mikuu ya Wapinzani haonekani

    Nauliza tu kwa nia njema kwa sababu malezi yana maana pana. Mara ya mwisho nilimuona msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi kwenye mkutano mkuu wa CCM. Baada ya hapo amekuwa akiwakilishwa na msaidizi wake mh Nyahoza katika Mikutano yote ya Vyama vya Upinzani iliyofuatia huku akitoa udhuru...
  20. Jaji Mfawidhi

    Jaji Mkuu wa Kwanza Mwanasiasa: "Alikaa Probation Miezi 6, kaufyata"

    Katika hali ya kushangaza kilaza mmoja, GABRIEL MALATA[solicitor General] anatokea kwenye vyombo vya habari na kukemea mawakili wanaobeza hukumu ya kipumbavu kabisa kuwahi kutolewa katika mahakama ya rufaa, Mawakili wakiwa vijuweni mwao wakauliza, who is Malata, anatoka Kanda ilee, ya nanii ...
Back
Top Bottom