Kwa siku 29 jamaa amezunguka kila kona ya Nchi, Mi nimeangalia hadi nusu bado naendelea, lakini imenitia motisha sana, pia mimi nataka kufanya hivi one of these days, Hua napenda sana kutembea kuona maeneo tofauti ya Kenya. Lengo langu kuu hata si mbuga za Wanyama, mi nataka kuona tu maendeleo...