Wakati wengine wanaangalia tu matokeo ya uwanjani na timu inavyocheza, wengine tumekuwa tunaangalia mazoezi ya Simba na kuanza kuona mapungufu ya kitimu kuanzia huko.
Nakumbuka kuleta uzi nikikumbushia umuhimu wa "Rondo" katika kutengeneza wachezaji wenye uwezo wa kumiliki mpira. Hilo ni zoezi...