janga

Rangelo Maria Janga (born 16 April 1992) is a Curaçaoan professional footballer, who plays for NEC Nijmegen, on loan from Astana, and the Curaçao national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Sheffer95

    Suala la nishati ya mafuta nchini lishakuwa janga la Taifa

    Habarini za asubuhi, nikiwa na masikitiko makubwa naomba ni address hili suala la mafuta kiukweli limekuwa zaidi ya changamoto Sikudhani hali ingefikia huku yaani leo nikiwa safarini mkoani nikipita huku maeneo ya Chunya Mbeya mji mzima ni shell moja tu ndio inayouza mafuta Na hiyo foleni ya...
  2. M

    Utitiri wa Malori umekithiri barabara ya Morogoro, hatua za haraka zahitaji kuchukuliwa, tusisubiri hadi janga litokee

    Ile wikiendi ya sikukuu ya Nane Nane niliendesha gari kutoka Dar hadi Morogoro na kugeuza baada ya siku kadhaa, na Jumamosi ya juzi pia niliendesha kutoka Dar hadi Chalinze, nilichokiona barabarani nyakati zote, wakati wa kwenda na hata wakati wa kurudi, kilinishtua na kunishangaza sana, idadi...
  3. Supercomputer

    Janga gani lilikukuta baada ya kuexpose mafanikio yako public?

    Vipi wakuu; Katika harakati za maisha, wengi wetu tuna ile kasumba kutaka kuwaprove wrong ndugu jamaa na jamii inayotuzunguka kwamba wasikuchukulie poa kwa kuonyesha progress zako, bila kujua kwamba watu hawafurahii positive changes especially watu wa uswahilini. Binafsi baada ya kustruggle...
  4. W

    Elimu yetu ni Janga

    Matatizo mengi makubwa ya Tanzania ni elimu. Hivi ukila chakula wakati mwili hauna digestive system kutakuwa na faida ya wewe kula? (Reading without reflection is like eating without digestion). Tuondoe so called mitihani ya Taifa kuanzia ngazi ya chini, badala yake mfumo wa GPA wa vyuo...
  5. kavulata

    Polisi ni janga la kitaifa

    Ukweli askari polisi ni kero kubwa kwa wananchi. Ni kero kubwa kwa wakulima, wafugaji, wasafirishaji, wafanyabiashara na hata madereva barabarani. Kila jambo na kila kitendo wanachokifanya ni kwaajili ya kupata hela kwa njia ya rushwa au unyang'anyi kunakosababisha Wananchi wanakata tamaa ndani...
  6. thanks again and have you

    Wanaume wanaotelekeza watoto ni janga kubwa nchini kwa sasa

    Habari!? Kumekuwepo na ongezeko la wadada wengi ambao hawako kwenye ndoa ila tayari wana watoto, wengine wanaishi nao na wengine wamewapeleka vijijini kwa wazazi, unakuta anayehusika kwa malezi ya mtoto ni Dada peke yake (single mom) unakuta mdada hana kipato Cha maana Matokeo yake anaamua...
  7. Mary Abely

    SoC03 Kijiji kilichogubikwa na janga la udhalimu na rushwa

    Katika kijiji kiitwacho Utawala Bora, watu walikuwa wakiishi katika hali iliojawa na machafuko, utata, na kutoridhika. Rushwa ilitawala, hali ya kutokuwa na usawa ilikithiri na sauti za watu hazikusikika (wananchi). Hatahivyo, katikati ya machafuko hayo, mwangaza wa matumaini ulijitokeza...
  8. Clepatina

    Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
  9. O

    Ripoti Maalumu: Upatu, ‘smart phone’ janga jipya kwa wanafunzi wa sekondari

    Je, umewahi kuona wanafunzi wakiwa wamerundikana katika kituo cha daladala huku wakiyaacha mabasi ya abiria hata kama ni matupu? Unajua siri iliyojificha miongoni mwao kama sio wengi wao? Mwananchi Digital imefanya uchunguzi wa kina na kubaini chanzo. Uchunguzi wa takribani mwezi mzima...
  10. Teslarati

    Stori ya huyu kijana imeniumiza sana, ama kweli wanawake legezeni kamba kuwanusuru vijana waliobakia dhidi ya hili janga la wanawake toleo jipya

    Nina muda kidogo sipo active humu, ila hii story imefanya nirudi sababu naamini JF inawafikia watu wengi. Huyu dogo anafanya kazi ofisini kwetu, alipata scandal za kutoka kimapenzi na kijana fln hv shoga hivyo ikaleta vulumati sana pale kazini. Mimi ndie msimamizi wake wa kazi hivyo dogo...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    Hamis Kigwangalla inakuwaje unashindwa kudhibiti hasira zako? Ona sasa umepatwa na janga

    Yaani doc, nimesikitika sana, umeshindwaje kudhibiti hasira zako hadharani? Kwanini uwe gumzo kwa migogoro na wafanyakazi wako, hasa kwenye kuwanyima haki zao? Haya yetu macho
  12. Pang Fung Mi

    Je, ni namna gani ongezeko la elimu, anguko la malezi, na matumizi ya simu janga yanacchochea ufuska kwenye jamii?

    Hello JF, 👇👇👇 Naomba nichokoze kidogo kuhusu eneo la maarifa, matokeo ya utandawazi kwenye tabia na hulka za jamii aidha kuendeleza ama kasi ya ongezeko. Ni kwa namna gani ongezeko la watu wanaopata elimu, anguko la malezi na matumizi ya simu janja yanachochea ufuska kwenye jamii zetu hapa...
  13. BARD AI

    WHO yatangaza kumalizika kwa Dharula ya janga la COVID-19 duniani

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa ugonjwa wa UVIKO-19 sio tena "dharura ya afya duniani". Taarifa hiyo inawakilisha hatua kubwa kuelekea kumaliza janga hili na inakuja miaka mitatu baada ya kutangaza kiwango chake cha juu zaidi cha tahadhari juu ya virusi. ============= The World...
  14. M

    Maombi yenu jamani, nafasi za ualimu ni janga.

    Mwezi huu tangazo la nafasi za kazi lilitolewa na dirisha kufungiliwa. Nilichangamkia. Lakini Leo wakati tukielekea mwishoni mwa zoezi nimetembelea account yangu. Shule yenye ushindani mkubwa tupo 1500+ na nafasi inayotakiwa ni Moja!. Shule yenye ushindani mdogo tupo 200+ nafasi inayotakiwa ni...
  15. M

    Mikopo ya watumishi ni janga la uchumi

    Leo nikiwa na mbwembwe zangu nimejisogeza hapo bank nikitaka kuchukua mkopo hapo ili niongeze nguvu kwenye mradi wangu wa mifugo. Basi nilivyofika bank nikampatia afisa mikopo salary slip yangu baada ya kuikagua akanijibu hivi “unadaiwa mkopo na sisi na nimefanya hesabu hapa ili upate pesa...
  16. Pang Fung Mi

    Ndoa za fasheni ni janga la kitaifa na kijamii tuzikatae kwa nguvu zote

    Hello , Ndoa nyingi hasa hizi za fasheni zimekuwa chanzo Cha umaskiini, ufukara, watoto fedhuli wa mitaani, ndoa hazina maadili, ndoa ni dhuluma yq nafsi za watu wanaochapiwa wanakesha bar, wenye magomvi yq kuchapiwa na kushare hali ni mbaya. Tuzipinge ndoa hazina afya kwa dira ya taifa...
  17. D

    Msishangilie Sakata la Feitoto bali litumieni kama shule; waajili wengi hawapendi maendeleo ya wafanyakazi

    Elimu haina mwisho! Kila jambo halitokei pasipo sababu! Ili kuweka misingi ya kisheria ya makubaliano yoyote huwa kuna mkataba! Iko aina mbali mbali ya makubaliano! Kuna ile ya kimaandishi na ile ya kimaneno! (Recorded contract) Lakini pamoja na mambo yote mkataba huwa siyo msaafu wala...
  18. Landrover 109

    Majibu ya Juma Lokole kwa Baba Levo

    ====== Watangazaji wa kituo cha wasafi Baba Levo na Juma Lokole wamezua sintofahamu baada ya kurushiana maneno yanayo hashiria kuhusika na vitendo vya kishoga na ufiraji ambavyo ni kinyume na maadili ya kitanzania! Baada ya picha za mtoto wa Kajala kusambaa kwenye mitandao ikidhaniwa kuwa...
  19. Makonde plateu

    Wivu wa mapenzi ni janga kubwa mno, tuchague wa kumove nao sio hawa feminists! Au ma slay queen! Tiririka

    MKASA WA DOKTA MELLUS TSHUBE... Alikuwa kawaida tu. Hakuonekana kuwa na msongo wa mawazo. Aliendelea na shughuli zake za kila siku kama kawaida. Hata, Feb 2 mwaka huu, alipost picha akiwa na mkewe katika hali ya mahaba. Alikuwa baba wa familia ya watoto wawili; kijana Isago Tshube (7) na...
  20. Hemedy Jr Junior

    Janga la UKIMWI haliwezi kuisha kama watu wasipokuwa makini na Saloon/hotel nk

    Huduma ya saloon/massage... daah huku ni balaa aisee janga la UKIMWI haliwezi kupotea kama hali itazidi kuwa hivi. Huduma zinazotelewa uko SALOON yenye huduma ya massage ni huduma ambazo zinatakiwa zipatikane nyumbani kwa mke wako. Sasa wewe hushapata hiyo huduma saloon nyumban unaenda kupata...
Back
Top Bottom