jangwani

Jangwani is an administrative ward in the Ilala district of the Dar es Salaam city in Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 15,722.

View More On Wikipedia.org
  1. Serbia paa la kituo cha Treni limeangua aliyekuwa Waziri kakamatwa na kushtakiwa, Tanzania kilijengwa kituo cha Mabasi Jangwani aliyekuwa Waziri kawa

    Uwajibikaji na kuwajibishana ni moja ya nguzo kubwa sana ya maendeleo. Huko Serbia aliyekuwa Waziri wa Ujenzi wakati wa Ujenzi wa Kituo cha Treni amekamatwa na kushtakiwa baada ya paa la kituo hicho kuanguka. Tanzania tunakumbuka aliyekuwa Waziri wa Ujenzi wakati wa Ujenzi wa kituo cha Mabasi...
  2. M

    Kurujuan ya mzee MAGOMA inaendelea kufanya kazi ndani ya mtaa wa Jangwani. Lini hii slow pacha itazibwa?

    Eng Hersi na boss wake GSM wakae chini wayamalize na mwanachama kindakindaki wa Yanga,maarufu kama mzee Magoma. Mzee huyu alisikika katika vyombo vya habari akitoa kauli ya kuwa yanga ina slow pacha na haya ni matokeo ya Kurujuan yake aliyoisoma kwa kila ambaye ana mpango wa kuidhulumu Yanga...
  3. Tetesi: Djigui Diara aomba kuondoka Yanga dirisha dogo, adai hana furaha Jangwani

    Yule mdaka mishale kipa mahiri kabisa barani Africa,Djigui Diara amemwandikia wakala wake akitaka kumtafutia timu haraka dirisha hili dogo. Lakini wanasheria wake pamoja na wakala waliguna maana gharama za kuvunja mkataba ni zaidi ya milioni 500. Diara anadai hana furaha jangwani sababu ya...
  4. T

    Pendekezo: Waliobuni, kujenga na kusimamia mradi wa mwendokasi jangwani wakamatwe haraka na kushtakiwa kwa kuhujumu uchumi!

    Inaniuma sana kuona mimi raia wa kawaida kabisa nisiye na taaluma yoyote ya mambo ya ujenzi ninaweza kufikiri hatari ya kujenga pale jangwani kwani inajulikana kabisa kuwa ule ni mkondo wa maji iweje watu waliosomeshwa na kuishi kwa kodi zetu wakaaminiwa kama wataalamu na viongozi wetu wakajenga...
  5. Daraja la Jangwani litajengwa kwa billion 300 au billion 97?

    Achana na kile kituko cha jana kwenye utambulisho wa mkandarasi wa kichina kupitia kampuni iitwayo CCC.. KItuko chenyewe ni kitu kipya nilichokisikia kwa mara ya kwanza pochi la mama/ pochi la mama limefunguka Tafsiri yake ilikuwa ni rahisi sana.. Kwamba hiyo ni pesa ya mtu binafsi toka kwenye...
  6. Serikali yasaini mkataba ujenzi Daraja la Jangwani, Sh Bilioni 97.1 kutumika

    Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na barabara za maungio zenye urefu wa mita 700 katika barabara ya Fire - Ubungo kwa gharama ya Shilingi Bilioni 97.1 ambapo kazi ya ujenzi itatekelezwa kwa miezi 24. Mkataba huo umesainiwa leo Oktoba 22, 2024...
  7. Serikali Yasaini Mkataba Ujenzi Daraja la Jangwani, Bilioni 97.1 Kutumika

    SERIKALI YASAINI MKATABA UJENZI DARAJA LA JANGWANI, BILIONI 97.1 KUTUMIKA Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na barabara za maungio zenye urefu wa mita 700 katika barabara ya Fire - Ubungo kwa gharama ya Shilingi Bilioni 97.1 ambapo kazi ya ujenzi...
  8. Mhe. Katimba: Daraja la Jangwani Suluhisho la Mafuriko Dar Es Salaam

    MHE. KATIMBA: DARAJA LA JANGWANI SULUHISHO LA MAFURIKO DAR ES SALAAM Naibu Waziri OR-TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba ametembelea eneo la Bonde la mto Msimbazi ambalo hivi karibuni Ofisi ya Rais TAMISEMi kwa kushirikiana na wizara ya Ujenzi kupitia TANROADS wanatarajia kusaini mkataba na...
  9. Eneo la Jangwani ni tishio kwa usalama kuanzia mida ya saa 5 usiku na kuendelea

    Kama ilivyokuaga Salenda pale darajani sasa uhalifu umehamia Jangwani ikifika usiku saa 5 na kuendelea si eneo salama kupita hasa ukiwa na pikipiki, kuna wezi na vibaka wenye silaha na wasio na huruma. Eneo lile pana giza zito na hakuna ulinzi wa aina yoyote mida hiyo hali inayopelekea wahalifu...
  10. Mkataba Ujenzi Daraja la Jangwani - Dar Kusainiwa Mwezi Septemba, 2024

    MKATABA UJENZI DARAJA LA JANGWANI - DAR KUSAINIWA MWEZI SEPTEMBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ipo katika hatua za mwisho za kusaini Mkataba wa Ujenzi wa Daraja katika eneo la Jangwani jijini Dar es salaam ambapo mkataba unatarajiwa kuwa umesainiwa mwezi...
  11. Mkataba Ujenzi Daraja la Jangwani - Dar Kusainiwa mwezi huu Septemba, 2024

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ipo katika hatua za mwisho za kusaini Mkataba wa Ujenzi wa Daraja katika eneo la Jangwani jijini Dar es salaam ambapo mkataba unatarajiwa kuwa umesainiwa mwezi Septemba, 2024. Bashungwa ameeleza hayo leo Septemba 02, 2024 jijini Dodoma...
  12. Maelfu wamlilia Ali Kamwe,ni vilio na simanzi jangwani asubuhi hii

    Furaha za ushindi wa yanga jana dhidi ya Kaizer Chief zimeingia dosari kufuatia sintofahamu ya afisa habari wa klabu hiyo kutoa chapisho lenye utata. Maelfu ya mashabiki na wanachama wamekusanyika nje ya klabu yao asubuhi hii mitaa ya Jangwani na Twiga,mazungumzo yanayotawala ni kuhusu Alli...
  13. Darasa la saba B awanyima usingizi wanaojiita wasomi pale jangwani

    Huyu ajiita injinia aliyesomea DIT ,huyu sijui wakili msomi huyu CPA,yule sijui nani sijui ila jana wamelala na viatu. Mzee Magoma weka namba ya mpesa tuanze kukuchangia,Wewe ni generation Z wa kizazi cha zamani,
  14. Karibu sana Jangwani Sekhwela Seroto, Mtaalam wa Tiba ya Viungo (Physiotherapist)

  15. Nani aliyeidhinisha ujenzi wa Makao Makuu ya Mabasi ya Mwendokasi (DART) pale Jangwani?

    Huwa najiuliza hivi aliyeidhinisha ujenzi wa makao makuu ya Mwendokasi pale jangwani, Kando ya mto Msimbazi ambapo mvua ikinyesha panageuka kuwa makao makuu ya vyura na kambare ndiye huyohuyo anayepiga marufuku wananchi kujenga 'mabondeni' Na ndiye huyuhuyu anayepanga kujenga karakana ya...
  16. Dar nzima inabidi tununue mchanga wa jangwani?

    tuna mchanga umekaa tu jangwani,kwanini wanaohusika wasiuze kwa wajengaji na wanunuaji. Mchanga mzuri na utaingiza pesa,pamoja kuufanya mto wetu pendwa wa Msimbazi uwe na kina kirefu wakati huu tunasubiria Daraja lijengwe.
  17. Hivi unaendaje kuweka karakana ya Mwendokasi katikati ya mji? Bado hamjajifunza kwa kilichotokea Jangwani?

    Bado hamjajifunza tu, mwanzo mlifosi mkaweka karakana pale Jangwani, kilichowapata kila mtu anajua. Mwaka huu tena mmeamka na akili zenu finyu mnataka kwenda kuweka karakana pale Simu 2000 a.k.a Mawasiliano. Hivi ni mnatumia akili kufikiri au mnatumia mgongo? Kwa sasa mradi wa mwendokasi...
  18. Murtaza Mangungu adai uwanja wa Jangwani ni mali ya Simba

    Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Sc Murtaza Mangungu anasema Uwanja ambao Wananchi Young Africans mnatamba nao sio mali yenu bali ni mali ya Mnyama Simba SC! "Wenzetu Wamepewa Uwanja ni haki yao kama wakipewa na Serikali na sisi hatuwezi kulalamika ila na sisi tumeiandikia Serikali kuwakumbusha...
  19. Pre GE2025 Chalamila: Waliojenga Stendi ya Mwendokasi Jangwani walitakiwa kuchapwa viboko

    Akiwa katika muendelezo wa kusikiliza kero za ananchi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ndg. Abert Chalamila akiwa Wilaya ya Ilala aliwaambia wananchi waliojenga stendi ya mwedokasi jangwani wanastahili kuchapwa viboko. Ikumbukwe pia Chalamila aliwahi kutoa kauli inayofanana na hii mapema mwaka...
  20. Waziri Bashungwa: TANROADS kuanza ujenzi wa Daraja la Jangwani

    TANROADS KUANZA UJENZI DARAJA LA JANGWANI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Wizara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) inatarajia kuanza kutekeleza mradi wa kimkakati wa Ujenzi wa Daraja la Jangwani. Bashungwa ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati wa kuwasilisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…