Jangwani is an administrative ward in the Ilala district of the Dar es Salaam city in Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 15,722.
Serikali kupitia Mfuko wa Barabara (Road fund) imesema ipo tayari kupitisha kiasi cha shilingi bilioni nne kwa ajili ya kumlipa mkandarasi atakaepatikana ili kuboresha miundombinu ya Jangwani mara baada ya uhakiki wa makisio hayo kukamilika na kujiridhisha.
Akizungumza kwa niaba ya wajumbe wa...
Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani limefunga kwa muda barabara ya Morogoro eneo la Faya hadi Magomeni jijini Dar es Salaam kutokana na maji kupita juu ya daraja la Jangwani.
Mvua kubwa zimenyesha Kisarawe na kusababisha mafuriko kwenye bonde la mto Msimbazi.
Meneja wa Wakala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ngusa Julius, alibainisha kuanza kwa mradi jana alipozungumza na Nipashe kuhusu suluhisho la adha inayoendelea kuwatesa watumiaji wa barabara hiyo hasa mvua inaponyesha kwa wingi na kusababisha Mto Msimbazi kukata mawasiliano ya barabara.
“Kuna...
Njia ya Jangwani imefungwa kuanzia saa 11:45 leo asubuhi kutokana na mafuriko kwa mvua inayoendelea kunyesha katika Jiji la Dar es Salaam. Hivyo, tunawashauri wasafiri wetu kutumia usafiri mbadala ikiwemo daladala mpaka Morocco kwa wale wanaotokea Posta kwenda Kimara.
Wakifika Morocco wanaweza...
Lengo la uzi halipo kisiasa wala kuegemea au kushambulia upande wa chama chochote cha kisiasa.
Leo nilikuwa nasikiliza redio stesheni ya Uhuru FM.
Walikuwa wanahoji wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 shule ya Secondary Jangwani kuhusu "kwanini Magufuli miaka mitano mingine"
Ila kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.