Jangwani is an administrative ward in the Ilala district of the Dar es Salaam city in Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 15,722.
Kama tunawaza sawa sawa na Kama miradi tunayojenga tunatambua thamani yake naamini leo tusingesikia kauli ya Rais kujenga soko Jangwani. Haya ni matumizi mabaya ya fedha. Uwepo wa machinga Karikoo unapaswa kufanyia utafiti na siyo kufanya- siasa. Koko bearch Kuna sunami, Jangwani Kuna mkondo wa...
"Njoo unisaidie kazi fulani, la sivyo hatutakula jioni hii." Nilimfuata. Aliingia ndani ya kibanda chake akatoka na ndoo yenye maji. Aliingia nayo mwenye zizi la mijusi akayamwaga hayo maji juu ya jiwe moja pana lililokuwa limebonyea kidogo katikati. Mijusi walikimbia haraka kunywa maji. Wakati...
Baada ya kuangukia pua mapema wavulana wa soka wa utopolo msione vibaya kuwashangilia na kuwapigia makofi wanaume wa soka la Tanzania kuanzia Biashara leo, Azam kesho na kisha baba lao wekundu wa msimbazi siku ya jumapili. Inabidi mfanye hivyo tu maana ushindi wao ndio mbeleko yenu ya...
Category: Environment
Image by the courtesy of Google
The President should disinherit the creek lands from the slum dwellers and cultivators and claim back...
Category: Environment
Images by the courtesy of Google.
For quite long time now, Jangwani creek among others in Dar es Salaam region has turned to be critical political agenda of the nation whereby activists have capitalized it for popularity of their businesses’ missions and visions. The...
Katika hali ya Kushangaza na iliyojaa Upuuzi kama si Uduni wa Akili Klabu ya Yanga imepanga kwenda nchini Nigeria na Msafara wa zaidi ya Watu 50 wenye Wachezaji, Waganga wa Kienyeji, Wapishi, Walinzi wa Chooni na Makomandoo.
Inadaiwa kuwa hao wengine ni Makomandoo wao ili wasifanyiwe Fujo kama...
"Kuna Wanaume wengine Wana tabia za Kike Kike za kupenda Kuwasema Watu vibaya ambao wameishi na kufanya nao Kazi kana kwamba hawakuwa na Mazuri yao au Yeye nae hana Mapungufu yake. Tafadhali ukiachika nyamaza tu kwani Kutajataja Watu kunaonyesha jinsi gani unavyowakubali na ulivyoumia kutokuwa...
Wanajanvi.
Sina shaka na uwezo wa Haji kwenye matumizi ya kimkakati ya Kimasoko. Ila kwa kutumia jicho la tatu ninaona kama ni kosa kubwa sana kumkaribisha huyu Mwamba pale Jangwani kwa sababu ya historia yake kwenye eneo la nidhamu na weledi.
Ni kweli kuwa ametokea kwenye familia yenye vina...
kwa mda mrefu jiji la Dar hukumbwa na mafuriko katika mto msimbazi yanayopelekea nyumba kadhaa kando kando ya mto msimbazi kuzingirwa na maji huku baadhi ya barabara kama magomeni eneo la jangwani kutopitika.
inashangaza kuona serikali inapanga kujenga daraja jangwani kama ndiyo suluhisho la...
1. Diblo Dibala (Soloist)
2. Bileku Mpasi (Rapper)
3. Allain Kounkou (Dancer)
Naamini wakisajiliwa tu na hawa Watatu basi Waimbaji maarufu wa Bendi yenu ya Jangwani Music FC Band kama akina Makambo, Mayele, Moloko, Mukoko, Bangane na Djuma watauza mno Albums zenu ambazo mnatarajia kuzitoa.
Siku zote watawala hawataki kugawana power na wengine wao wangependa kuhodhi power hiyo milele. Mungu fundi akaweka kifo na sisi wanadamu tukajiwekea katiba.
Rais aliyepita Magufuli alitufundisha vizuri sana umuhimu wa katiba Bora. Aliwaambia wazi wakurugenzi nikulipe mshahara nikupe gari...
Wanabodi,
Ni dhahiri kwamba ipo changamoto kubwa sana ya wafanyabiashara hawa wadogo pale Kariakoo. Wamekuwa wengi mno na kusababisha adha kubwa sana kwa wenye maduka na wateja waendapo kupata huduma.
Ninapendekeza eneo lote la jangwani painuliwe, pajengwe vizuri na kuwekewa vibanda modern...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Hamad Chande amesema ili kupunguza athari za mafuriko kwa sasa, kipande cha Mto Msimbazi cha Jangwani kinafanyiwa usafi wa mara kwa mara na Wakala wa Barabara TANROADS
Amesema Serikali imepanga kubadili eneo la Bonde la Mto...
Habari wakazi wa Dar es Salaam na viwanja vyake.
Nina safari ya kwenda mjini Posta leo. Hii mvua ilivyonyesha hii asubuhi Jangwani panapitika kweli? Kwa walioenda mjini kupitia njia ya Morogoro naomba mrejesho.
Shukrani.
Nataka tu Mshinde au Mtoke Sare tu, ila msikubali Kufungwa kabisa leo kwani mtanikera.
Hao Mabeki wenu waambie Wawagongegonge ( wapige Buti ) sana akina Kisinda na Ntibanzonkiza.
Tumeshamaliza Jukumu la Kimataifa ( CAF Champions League ) na tunarudi VPL.
Nawaonea mno Huruma watakaokutana na...
Baada ya jana mwenyekiti Msolla kufafanua kwa ufasaha issue zinavyoenda na jinsi maadui wa team hiyo walivyo hack simu yake na kumtukana Metacha Mnata kwamba ni duka na mchawi mambo yameendelea kuwa mazuri kwa wana yanga kwani baada ya mgogoro kumalizwa rasmi na Mwenyekiti leo wachezaji wao...
Wakazi wa Dar wanaoathirika na tatizo hili ni wengi sana. Pamoja na hayo Dar ni lango la nchi, kwa anga, na kwa bahari. Wageni wengi wanaingia Tanzania kupitia lango la Dar.
Daraja la juu la miguu na la magari lingeokoa muda mwingi watu wanaopoteza katika kadhia ya usafiri eneo hili wakati...
Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT Kimara amewataka watanzania waendelee kuwa wamoja kwani nchi yetu haina dini ila watu wake ndio wana dini.
Matsai amesema hayo mbele ya Waziri wa uwekezaji Prof Kitila Mkumbo na Naibu Spika Dr Tulia Ackson aliyeshiriki ibada Kanisani hapo.
Kadhalika mchungaji...
Wasalaam wana jamvi.
Bila shaka kila Mtanzania aliyepata wasaha wa kupita jangwani atakubaliana nami na Watanzania wengine kuwa Jangwani kunahitaji suluhu nyingine na si kila leo kutoa mchanga na kuchimba mitaro kwa sababu hivyo vyote havijawahi kuwa suluhu kabisa pale Jangwani kwani kila leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.