Jangwani is an administrative ward in the Ilala district of the Dar es Salaam city in Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 15,722.
Wananchiiiii 😃😃😃 nikisema nyie ni mazuzu nitakuwa nakosea? Eti uwanja mpaka siku mkiuchomoa huo mwiko ndio mtakuwa na akili.
Hivi uwanja wenu utakuwa unaingiza mashabiki wangapi?
Contractor tayari mmeshampata? Ameshafanya tathimi ya eneo ambalo uwanja utajengwa? Kwa geography ya eneo la...
Eneo la Jangwani ilipo Karakana ya Mwendokasi imekuwa ikipigiwa kelele muda mrefu na wadau wa mazingira kuwa ujenzi wake haukuzingiatia tathmini iliyofanywa na NEMC wala haukuzingatia sheria za mazingira.
Baadhi ya sheria zinazotajwa kukiukwa katika ujenzi wa karakana hiyo ni Sheria ya...
Kuna Stendi ya mwendokasi pale (Jangwani), mwendokasi ile imejengwa kwenye mkondo wa maji halafu maji yakijaa pale wanaanza kulia kwamba maji yameingia kwenye magari sio kweli bali magari yameingia kwenye maji na wale wote waliotengeneza ile Stendi akili hawakuwa nazo na nitashangaa kama bado...
Hizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea muda wapenzi, mashabiki na wanachama wa Deportivo de Utopolo.
Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa...
Nimeona Waziri wa TAMISEMI anasema kero ya mto msimbazi itatuliwa kwa miaka 100 ijayo! Ila iko hivi;
Eneo la Jangwani ni muhimu sana kwa muonekano wa Jiji la Dar Es Salaam, Pamoja na serikali ya Rais Samia kukosa maamzi, ni serikali isiyofanya maamzi kwa muda na yenye watendaji wavivu sana...
Nimefurahishwa sana kusikia Waholanzi ndo waliotoa fedha za ujenzi wa Daraja la Jangwani.
Nimefika Uholanzi. Na kwa waliofika Uholanzi watakubaliana na Mimi kule kuna hadi madaraja yanayojifungua na kujifungwa yenyewe.
Sio hivyo tu wale jamaa nadhani ndo namba moja duniani kwa uwezo wa kujenga...
Mradi wa kulipa fidia wananchi wa Jangwani kupisha mwekezaji una mambo ambayo sio ya kawaida, Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa ametangaza wananchi hao watalipwa sh. milioni 4 lakini kinachoendelea kwenye utekelezaji watu wamesainishwa fomu za kulipwa laki na 70 bila kujali ukubwa wa familia...
Viongozi wetu wakati mwingine huwa wanaongea kama vile wanaongea na watoto wadogo!
Tumesikia viongozi wetu wakihutubia kwamba eti eneo la Jangwani kipande kinachojaa maji kwamba wataalam waliojenga hapo Jangwani waliikosea!
Kwamba makosa ya ujenzi ule siyo ya Serikali Bali wataalam ndiyo...
Nimeona leo jinsi mvua ilivyoleta shida pale jangwani.
Sio leo tu bali ni miaka nenda rudi, miaka yote hali ni hiyohiyo. Tangu uhuru hadi leo tupo serikali awamu ya 6.
MUDA MWINGINE NAHISI NAWEZA KUKUFURU lakini MWENYEZI MUNGU ANISAMEHE. NAHISI UAFIRIKA NI LAANA.
Mwafrika ni jamii ya mwisho...
Ninawaamkua wote.
Hali hii inajiri Kimara, Kivukoni hata Gerezani.
Inapofikia peak hour magari ya mwendokasi yanakuwa bize kurudi depo Jangwani huku ikiwaacha abiria na sintofahamu ya kupata uhakika wa usafiri.
Pale Kimara unakuta gari nyingi zimepaki kama.mbovu na hakuna linaloendelea na...
Nawapa pole nyingi sana kwa Watanzania wote walioathirika na moto mkubwa uliozuka Kariakoo alfajiri tarehe ya leo.
Bado Tanzania ina tatizo kubwa kwenye sekta ya uokozi wa majanga. Ketengo hiki kipo chini ya ofisi ya Waziri Mkuu na huwa kinatengewa bajeti kupitia Bunge letu. Tanzania chini ya...
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) KATA YA JANGWANI IMESOMA KHITMA KUWAREHEMU WAPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
CCM Kata ya Jangwani leo wamesoma khitma kuwarehemu wapigania uhuru wa Tanganyika waliotangulia mbele ya haki.
Wana CCM wa KATA ya Jangwani kwa kuzingatia kuwa Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM...
Mida ya saa kumi jioni ya leo Septemba 4, 2023 nilipita maeneo haya ya Jangwani karibu na mto, nikaona kuna mwili wa mwanaume ukiwa umetupwa.
Mashuhuda wanadai itakuwa jamaa ameshambuliwa na kuuliwa kisha kutupwa eneo hilo.
Sijajua huo mwili ni wan ani hasa lakini nimeshuhudia Jeshi la Polisi...
Baadhi ya wakazi wa Jangwani, jijini Dar es Salaam wameandamana wakiwa na mabango tarehe 3 Septemba, 2023 wakishinikiza kulipwa fidia inayostahili badala ya ile waliyothaminishwa kwa kulazimishwa huku wakiwa chini ya usimamizi wa askari wenye bunduki.
============= =================
Baadhi ya...
MWANAMKE HAPASWI KUWA MGOMVI
Mithali 21:9, 19;
"Ni afadhali kukaa ktk pembe ya darini, kuliko ktk nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi."
"Ni afadhali kukaa ktk nchi ya nyika, kuliko na mwanamke mgomvi, mchokozi."
Leo nataka tuanze mfululizo wa somo hili, lengo likiwa ni kuboresha mahusiano...
Salaam wananchi,
Tetesi Zilizonifikia ni kuwa kocha maarufu Florent Ibenge, ambaye ashawahi ikoach RS Berkane na Al Hilal ndio mbadala wa kocha Nasredeen Nabi ambaye anatimkia South Africa.
Vipi ataweza ama atazingua?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.