Tanzania kuna vituko , tunaomba uelewa wa matokeo ya mitihani huu na idadi ya waliochaguliwa. PURA wamefanya vituko kupitia Tume ya Ajira, majina kujirudia na watu kulingana maksi.
Tume ya Ajira ifutwe tu.
INTERVIEW NO. Nyingi zimefanana na number moja kuchaguliwa Mara Tatu Tatu
BARUA YA WAZI KWA Mh.JANUARY MAKAMBA WAZIRI WA NISHATI .
Ninakusalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Pamoja na salam hizi , ninaomba tukufikishie ujumbe wa barua hii uupate ili uifanyie kazi kuilinda na kuiheshimu heshima ya Rais wetu Samia na kuenzi kauli yake ya kaxi...
Tuliambiwa na January kuwa miundo mbinu ya umeme ilikuwa imechakaa sana. Hivyo ilihitaji ukarabati wa nguvu.
Ukarabati ulifanyika na sasa tunaona hitilafu kibao.
Mbaya zaidi umeme unakatika na kurudi ghafla kiasi cha kuharibu vifaa vya umeme vya watu.
SASA ZIMEBAKI ASILIMIA 33 TU KUKAMILISHA BWAWA LA KUFUA UMEME LA NYERERE
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema ujenzi wa Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere umefikia asilimia 67 na kubaki asilimia 33 tu toka ujenzi huo uanze na kusema kazi iliyokuwa ikifanyika kwa miaka miwili na...
Wana Bodi Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Njombe ametuomba watanzania kumpatia orodha ya wateule wake ambao wanajikweza na hawatekelezi kikamilifu majukumu yao kwa mujibu wa viapo vyao ili aweze kuwachukua hatua.
Namba tutumie fursa hii tutaja majina ya viongozi ambao...
Ma-Ded waanza kushushiwa moto,Sasa kuwapisha wenye uwezo wa kukusanya Mapato,
Wakati halmashauri 85 zikikusanya mapato chini ya kiwango zilichopangiwa, Serikali imeanza kuchukua hatua dhidi ya wakurugenzi wake (DED), ikiwataka watoe maelezo ya kilichotokea.
Katika halmashauri hizo...
Kuna mambo Kwa sasa ukitumia akili kufikiri, utajiridhisha kwamba,
Kwa sasa utawalala huu hauhitaji watu wenye weledi katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi hii, isipokuwa ni kubebana tu ili mtoto wa aliyekuwa Fulani serikalini ale.
Na wakati mwingine ukitizama saaana kwa jicho la mwewe...
Habari wana Jf ,ninapata shida sana kuamini kwamba kabla ya kuteua mtu kuwa kiongozi tunafuatilia kwa kina sana .
Kwa J Makamba mbali na kwamba ana roho nzuri na ndicho kitu nacho kipenda kwake nimeona haya :-
1.Kutakuwa na Shida kwenye ufaulu wa darasani ,sidhani kama ufaulu wake unaonyesha...
Poleni na mihangaiko ya Dunia
Ila Mungu yu mwema siku zote.
Bila kuwachosha naomba niende kwenye topic moja kwa moja
Hili sawa la January Makamba kupita kila mkoa anagawa majiko ya Gas kwa Mama ntilie, Baba ntilie na Wakaanga samaki na Dagaa limekaa aje ?
Maswali ya kujiuliza
- Pesa za...
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kazi inafanyika na dhamira nzuri ipo na anachoomba uelewa na uwepo wa subira pamoja na kutiwa moyo.
"Kazi inafanyika na dhamira nzuri ipo tunachoomba ni uelewa na subira tunaomba kutiwa moyo kama hali imeboreka semeni kwamba Sasa hivi ni bora kuliko...
Nakumbuka Mwaka 1970 Wafanyakazi wa Shirika la reli waligoma kisa tu Viongozi walikuwa wanapata mkate wenye siagi na wao walikuwa wanakunywa chai na mkate. [emoji23][emoji23][emoji23] solution la dai lao walitaka Wafanyakazi wote wanywe chai na mkate bila siagi wawe sawa instead ya kuomba...
Sifa ya asali ni utamu, Ila katika Serikali ya Rais Samia Suluhu ni faida wanazopata wananchi kutokana na mambo mazuri yanayofanywa na serikali ya awamu ya sita. Katika moja ya hotuba zake Rais Samia alisema moja ya mipango ya Serikali ni kuendelea kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha utalii wa...
Nimefuatilia biashara anayoifanya Makamba kanda ya ziwa, kugawa mitungi ya gesi kwa wananchi na sijatambua kama biashara hiyo ni endelevu.
Iwapo mitungi hiyo gesi itaisha ni nini hatma ya mradi huo?
Je, mitungi anayoigawa fedha ni kodi ya wananchi au ni fedha za CCM?
Je, Makamba ametumwa au...
Habari wana JF... Hope mko safi kabisa
Bila kupoteza muda jina kama linavoonekana apo. Ni muhitimu wa diploma in Electrical and Hydropower Eng... kutoka chuo cha ufundi Arusha(Arusha technical college.)
Jaman wenye connection ya mradi wa umeme kule julius nyerere(Rufiji) naomba anisaidie maana...
Wana bodi siku ya jana kulizuka mjadala mkubwa wa kitaifa humu ndani kuhusiana na kauli nzito ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba ya kuwaita wabunge wajumbe wa Kamati ya Nishati ni wapuuzi kwa kuhoji suala la kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere na tatizo la kukatika kwa umeme mara...
January Makamba , Waziri wa Nishati. Tunakuomba usikie kilio cha wananchi na kauli ya Rais ya kazi iendelee.
Kuna fedha za kufanya miradi mipya ya umeme kwa kila mkoa ulizitenga na kuzipitisha kwenye bunge bajeti ya 2022/2023.
Tunakuomba tuko chini ya miguu yako tunasali ili fedha hizo zifike...
Jamaa ni mjivuni hasa na ni mtu wa nyodo!
Bahati mbaya sana kwa wasiomtambua kwa undani hu-fake kwao eti ni mtu asiye na mawaa na ni mtu wa watu jambo ambalo si kweli alivyo.
Kwa dharau zake sioni ni kwa namna ipi ataepuka nongwa na mashambulio kutoka kwa wawakilishi wenzake.
Wabunge wengi...
Ninavyoelewa majadiliano kuhusu uwekezaji wa kujenga kiwanda cha kuchakata gesi kupata NLG yalikua hayaendi haraka kwa sababu ya kuhakikisha uwekezaji unakua na faida kwa pande zote.
Tofauti na awamu zingine awamu ya 5 iliweka sheria mpya za uwekezaji ili kuhakikisha pande zote nchi na...
Contents za Mh. Waziri Makamba
1. Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia nchini ulianza mwanzoni mwa miaka ya 1950. Mafanikio makubwa yalipatikana yakiwemo ugunduzi wa gesi asilia katika kisiwa cha Songo Songo mwaka 1974 na Mnazi Bay mwaka 1982. Aidha, Katika miaka ya 2010 na 2012 utafiti...
Wakati mbunge wa viti maalumu mh Magige akichangia bajeti ya Nishati ghafla mwenyekiti ameahirisha bunge kwa nusu saa na ametoka ukumbimi
Tutawajuza yaliyojiri
Source TBC
======
Mwenyekiti wa Bunge wakati akiongoza kikao cha Bunge ameahirisha shughuli za Bunge kwa nusu saa baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.