Zile zama za makampuni ya nje kupiga hela kwa mgongo wa ushauri zimerudi.
TPDC imeingia mkataba ya kampuni ya Uingereza za Baker Botts kwa ajili ya ushauriwa kisheria kwenye mikataba ya gesi.
Hivi Tanzania bado hatuna kampuni zenye uwezo wa kutoa ushauri wa kisheria hadi tutoe Ulaya...
Mwandishi wetu, Arusha
Waziri wa Nishati, January Makamba ameagiza kuondolewa Mara moja Afisa Habari wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco) huku akiagiza kuvunjwa kwa idara ya uhusiano wa shirika hilo na kuwekwa watu wapya.
Mbali na agizo hilo pia amegiza hatua za haraka zichukuliwe kwa...
Ni ajabu sana kwamba kwa miaka 5 hatuwahi kuwa na tatizo la umeme kukatika mara kwa mara kama ilivyo sasa. Wote tunajua umeme ulikuwa ukikatika lakini sio kwa kasi hii iliyopo sasa hasa baada ya uteuzi wa January Makamba kama Waziri wa Nishati.
Uteuzi wako ulifuatiwa na uamuzi wa wewe kuvunja...
Niko tabata chama hapa natoa loki kwa kupiga double kick mbili zenye thamani ya 4000 pembeni yamekaa majamaa mawili yenye sura na matumbo ya kifisadi yanakunywa wine na kitimoto
Ghafla umeme umekatika wakati tunalalamika majamaa yakaanza kutuambia tumpe muda mr kipara anatuletea umeme wa uhakika...
Kila kona manug'uniko ya Watanzania ni juu ya dalili za wizara nyeti ya nishati na umeme kuwa na waziri ambae watu hawana imani nae. Tangu ateuliwe kuwa waziri basi taifa limekuwa na mauzauza tu juu ya upatikanaji wa umeme na hata uongozi na uendeshaji wa Tanesco.
Kitendo cha watanzania...
Baada ya kelele nyingi zilizotokana na kukatika kwa umeme mara kwa mara wakati tanesco wakifanya marekebisho kwenye mkongo wa taifa na kutokana na kupungua kwa maji katika mabwawa ya umeme hatimaye nchi imetulia baada ya wiki kadhaa kuwa na utengamano na kupungua kwa kiasi kikubwa kwa mgao wa...
Waziri siku ya Jumatatu ulitoa tamko na kutuahidi watanzania kuwa baada ya siku mbili utakuja na suluhu ya tatizo la umeme na ukame unaoikabili nchi yetu kwa sasa.
Waziri leo ni Jumamosi lakini tunaona uko kimya wala huna habari kabisa na umesahau kama ulitoa ahadi ya kutupatia muujiza ndani...
Kama taifa letu litapata Katiba mpya basi tatizo la umeme hapa nchini Tanzania litakwisha kabisa. Maana kama tutakuwa na mawaziri mizigo na wazembe wenye harufu za ufisadi basi itakuwa ni suala kuwaondoa kwa nguvu ya umma tu.
Rasimu ya Warioba ilipendekeza Mawaziri wasiwe wanateuliwa kati ya...
Kwa siku kadhaa sasa nikipitia humu JF naona jina la January Makamba linatajwa sana, hasa kwa mabaya. Lakini cha kushangaza watu hao wanaomsema kwa mabaya hawana ushahidi wowote.
Kitu kingine ambacho sikielewi ni kwamba huyu kijana amekuwa waziri kwa takribani miezi mitatu sasa lakini watu...
Kampuni ya Marekani inayojishughulisha na ufuaji wa umeme wa upepo iliyopigiwa debe mwaka 2013 na Rais Obama ili ije kufua umeme wa upepo kule Singida huenda ikapewa tenda hiyo mapema mwishoni mwa mwaka huu ama mapema mwakani.
Ikumbukwe ndugu Rashid Shamte ambaye ni boss wa hiyo kampuni hapa...
Kuna majungu na fitina yanapikwa dhidi ya Waziri wa Nishati mhe. January Makamba, nauliza nani au kikundi gani kipo ktk kupanga majungu hayo dhidi ya Makamba?
Hoja zinazo tolewa dhidi ya Makamaba ni za kipuuzi na zilizo jaa chuki dhidi ya Makamba binafsi.
Hii tabia ya watanzania kufitiniana na...
Mifuko ya plastic nchi hii iliondolewa bila hata Mende kuguswa kitu ambacho mwendazake na serikali nzima hawakuamini. Wananchi wa Tanzania walistaajabu uwezo na akili yake na mikakati yake kufanikisha suala la mifuko bila kutumia polisi wala vyombo vingine vya Usalama. Kila moja anakumbuka wivu...
Mbunge wa zamani wa Arusha mjini aliyetimkia Ulaya baada ya maisha kumpiga kwa kuzidiwa na madeni Godbless Lema amefichua mbinu chafu za kutaka kumsingizia kila kitu na kumtafutia lawama aliyekuwa Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli.
Lema amefunguka zaidi kwa kusema Rais Samia na waziri wake...
Sio siri tena kuwa kuna combination ya Zitto na January kwenye wizara ya nishati.
January aliteuliwa kuwa waziri wa nishati, zitto alisema ni teuzi nzuri na sasa tutashuhudia mabadiliko makubwa sana ya nishati nchini ambayo hatukuwahi kuyaona.
January aliunda bodi mpya ambayo wengi waliona...
Ni uongo na uzandiki mkubwa kusema au kutaka aminisha watu kuwa January Makamba yupo smart kuchwani. Uongo na uongo ni dhambi.
Hizi Kampeni zimepigwa miaka mingi na watu flani vilaza na walioamua kujitoa akili. Hawa huwa tu wanaenda na upepo wakiwa na stress wanatafuta hero hasa wanapokosa...
Leo Mh. Makamba kupitia account yake alikuwa akijibu suala la umeme kukatika. Lakini majibu yake yamejaa walakini.
Makamba anasema umeme zamani ulikuwa haukatiki kwa sababu watu walikuwa na hofu ya kufukuzwa hivyo walihakikisha umeme haukatiki, hali iliyopelekea kutofanya rapair.
Sasa hivi...
Hivi sasa nchi inapitia wakati mgumu kwa watumiaji wa umeme na mafuta. Kwa mtazamo wangu naona hizi changamoto zitakuwa zinamkosesha usingizi waziri husika.
Lakini kuna kitu kinaniambia kwamba huyu kijana hatokubali kushindwa kuzitatua hizi changamoto. Sababu kubwa ni kwamba yeye anajua fika...
Hivi huyo Makamba anatugeuza Watanzania wote mazwazwa eti?!
Yaani mambio yooote yale ya yule msukuma Kalemani kabla hajafutwa tulipokuwa tunamuona huko Rufiji huku kazi zikiendelea eti leo Makamba anatujuza mradi upo nyuma kwa siku zote zile?!
Yaani ukali wote wa Hayati JPM hasa alivyokuwa...
January Makamba, eleza watanzania halisi, hakuna umeme Kilimanjaro sasa ni masaa sita tangu ukatike.
Usitegemee wananchi waishi gizani wapige kura kuchagua chama Tawala na hakuna wizi wa kura tena .
Uswahili ulisahaulika enzi za JK sasa usitegemee uswahili tena.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.