Nliwahi waambia watu flani Nape wala Makamba hawajawahi kuwa smart. Ila waliokuwa wanadhani hao watu ni smart wao ndo hawakuwa smart.
Ilishangaza sana kuna watu kabisa wakaanza na kumpigia debe Makamba kuwa Rais....nikaona hii nchi mnadhani sisi sote ni MAZUZU so mnataka tuishi kwa akili zenu...
Kwa nini mambo yake mengi hayakubaliki na watu?!
Tuhuma za ujanja ujanja ili afanikiwe mambo yake zimetamalaki mno hali inayoelezwa huenda ni fisadi-pengine?!
Mbaya zaidi hakubaliki na kila analolifanya hali inayowapelekea watu kumuona ni mhuni wa kisasa ndani ya kazi ya siasa.
Huenda analo...
Pale Manchester United kuna mchezaji ambaye amekua akishutumiwa na kupewa lawama nyingi kutokana na ufanisi wake uwanjani Harry Maguire hivyo hivyo kwa Waziri January Makamba ambaye wizara yake iimepoa mithili ya mchuzi wa juzi usiokua na nyama.
Huu mkataba wa bil 70+ uligubikwa na utata mkubwa juu ulivyoingiwa na umuhimu wake kwa Tanesco.
Kwa ufupi hapa kuna harufu ya ufisadi mkubwa sana maana bil 70 ya kitanzania ni pesa nyingi.
Madhari umeanza kudili na ufisadi basi huu ndio wakati muafaka kuwalaani wanao wapiga madili na ufisadi.
Wananchi wa kila kada wamepiga kelele na kushauri mkuu wa nchi amfute kazi January Makamba maana tangu aingie Wizara ya Nishati kila kitu kimeenda mrama. Bwawa la Nyerere ambalo kama lingekamilika Juni 2022 lingekuwa msaada mkubwa kwa Watanzania na kuleta ahueni ya maisha maana gharama za...
Naona Wabunge wa CcM hasa wanaotoka maeneo yanayozalisha nguzo za umeme hasa Mkoa wa Iringa wanapiga kelele juu ya hii ishu.
Nani kaleta hili dili linalopigiwa kelele ambalo litasabaisha wananchi kutoaka maeneo haya kukosa kipato? ...
Nguzo za hapa nchini hazina ubora?
Halafu kinachonisikitisha ni namna mnavyotumia Ukabila, eti tuonekane Wasukuma na watu wa Kanda ya Ziwa kwa ujumla hatumtaki Rais wetu. Ni nani aliyewaroga ninyi?
Juzi hapa Joel Luhaga Mpina katoka hadahrani akiwa amekula maharage, akaanza kuropoka maneno. Anamshambulia Rais Samia na Serikali...
Hello hello, nimetafakari sana sana kwa moyo wa dhati kabisa yanipasa kumpigania January Makamba kwa haki kabisa, nchi hii ina umpumbavu mwingi, makosa ya wazi kabisa ya maelekezo ya Marais kwa Mawaziri nyuma ya Pazia yakipata moto lawama wanabeba mawaziri.
Mfano, hii ishu ya tozo January...
UvCCM ya sasa imebaki kuendekeza njaa tu na kusifia viongozi ili kujaza matumbo yao.
Miaka ya nyuma UvCcM walikuwa mstari wa mbele kukosoa serikali pale inapoonekana inasahau majukumu yake na kusababishia wananchi kero za kimaisha.
Leo hii mfumuko wa bei upo juu, tozo kibao za kila namna huku...
Wakati tunapokea taarifa za uteuzi wa Uwaziri wako bwana January Makamba, watu wengi tuliamini kuwa wewe ndiye utakaye leta mageuzi makubwa sana kwenye Wizara yako. Lakini nasikitika kuona kuwa matarajio tuliyo kuwa nayo kwako yamepotea.
Ulipoteuliwa tu na kuapishwa ulionesha mwelekeo kwamba...
Nimeona luninga Waziri Makamba akitamba kuwa Tanzania itafanywa kuwa kituo kikubwa cha usambazaji mafuta.
Mimi nikifikiri serikali itafufua kiwanda cha refinery cha TIPER, kumbe sivyo.
TIPER, Tanzania Italian Petroleum Refinery, ilianzishwa na Mwalimu Nyerere kama strategic plant around 1965...
Na Bwanku M Bwanku.
Moja ya mradi mkubwa wa kimkakati unaotekelezwa na Taifa letu kwasasa ni Mradi wa kufua umeme kwa kutumia nguvu ya maji maarufu kama Mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kwenye Mto Rufiji mkoani Pwani.
Mradi huu mkubwa kabisa wa kufua umeme kwa maji utazalisha...
Najua ntashambuliwa sana, ila kwa kifupi combinations ya Nape, Mwigulu na Makamba ndani ya Dubai Sina Imani nayo kabisa.
Kwanini nasema hivyo?
Historia za hawa vijana wenzetu ziko wazi na hakuna anae jua yakuwa wapo tayari kuitwa mawaziri wastaafu mpaka hapo walipo?
Kimsingi hawa watu Bado...
Anasema hata kama una matatizo na Mh. Samia kuwa rais au yeye (Januari) kuwa waziri tutafute jambo jingine siyo mambo ya nje. Hii ndiyo rubbish ya Januari. Katika mjadala ule hakuna aliyemshambulia rais Samia. Januari anaanza kueleza underperfomance ya wizara anayoiongoza.
TANESCO iko chini...
Waziri Makamba umeonyesha kiwango kidogo cha ukomavu, kwa kusema wabunge wanakubana kwa sababu ya uwaziri wako.
Hii ni kauli inayopaswa kutolewa na mtu ambae sio msomi, hakuna wabunge wenye shida na uwaziri wako bali wanachofanya ni wajibu wao kwa maana wanawakilisha wananchi.
Wabunge wanarudi...
January Makamba akijibu hoja za wabunge kuhusu kukatika kwa umeme, kwanza alimlaumu mbunge Musukuma kwa kumshambulia yeye binafsi na kueleza kazi ya ubunge sio kushambuliana na kama ana matatizo na yeye kuwa waziri au samia kuwa rais apeleke kwingine lakini sio kwenye masuala ya nchi.
Pamoja na...
Kwa aliyefatilia kikao cha Jana cha Bunge atakuwa amepata picha kile ninachojaribu kuelezea hapa.
Musukuma anamtupitia mashambulizi makali Mh Makamba kwa kutoa ushahidi wa kile alichokuwa anakiona wakati akiwa mjumbe wa kamati ya nishati kwa miaka 6 sasa.
Na Makamba anajibu mashambulizii...
Wakuu sijui huyu waziri ana shida gani. Alikuwa very promising kule wizara ya mazingira. Lakini tangu aletwe huku wizara ya nishati imekua ni kituko baada ya kingine.
Kulikuwa hakuna tatizo la kukatika umeme kipindi chote cha magufuli. Ila baada ya tu ya January kuletwa huku umeme ukaanza...
Alianza na mkataba wa bil takribani 70 ambao Tanesco iliingia mkataba na Mahindra tech ya India kwa ajili ya kukodi software ambayo itafanya shughuli za Tanesco ziwe za kidigitali na kuongeza ufanisi kiutendaji. Mpaka sasa kila Mtanzania anahoji na kujiuliza ni software gani hiyo ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.