jela

Jela is a Slavic female given name. Notable people with this name include:

Jela Cello (born 1987), Serbian cellist
Jela Krečič (born 1979), Slovenian writer and journalist
Jela Spiridonović-Savić (1890–1974), Serbian poet
Jela Špitková (born 1947), Slovak/Austrian violinist

View More On Wikipedia.org
  1. Ahukumiwa kifungo miaka mitano kwa kumchoma mikono mtoto wake

    Mahakama ya Wilaya ya Geita imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Shahende, Mpipi Emanuel (33), kutumikia kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la kumchoma moto mikono mtoto wake mwenye umri wa miaka 14. Kitendo hicho kimemsababishia mtoto huyo maumivu makali na kushindwa kufanya mtihani wa taifa wa...
  2. Hivi Zitto yupo? Na Mbowe alipotoka jela alirudishwa tena? Angekuwa huru sasa hivi angedai Katiba na Mikutano

    Zitto ni muda nadhani hayupo sayari hii. Atakuwa sehemu analamba tu Asali. Asikwambie mtu. Nampenda Rais Samia. Hatumii nguvu kuwanyamazisha wanasiasa. Magufuli alikuwa Mjeuri na mbishi. Acha alale huko aliko. Ashakum si matusi. Wanasiasa wanapigania kupata "Kula" wakipata kula zao tu basi...
  3. Rais Museveni asaini sheria ya mitandao, ukiikera Serikali jela miaka 5 na faini Tsh. Milioni 6

    Rais Yoweri Museveni amesaini Sheria ya Matumizi ya Mitandao yenye vifungu vya kuwabana watumiaji mitandao endapo watachapisha au kusambaza habari zinazoikera Serikali au watu binafsi. Sheria inatamka kuwa “Mtu yeyote anayetumia mitandao ya kijamii kuchapisha au kusambaza habari zilizopigwa...
  4. Moshi: Mwalimu wa hisabati jela maisha kwa kulawiti mwanafunzi

    Mahakama ya Rufani imebariki kifungo cha maisha alichohukumiwa mwalimu wa Shule ya Msingi Chomvu iliyopo Wilaya ya Mwanga, Elibariki Mchomvu kwa kulawiti mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka tisa. Mchomvu, aliyekuwa akifundisha hisabati, alipatikana na hatia kwa mara ya kwanza mwaka...
  5. Mume aliyejela amuagiza mkewe chakula chenye sumu ili afe lakini kilipimwa na mke kukutwa na hatia

    Mshikaji mmoja yupo jela kwa kesi ya mauaji. Alimuacha mke vizuri na kila kitu sasa mke wake akawa anakitembeza sana, anachapwa sana mtaani na vijana jamaa. Stori zikampata ikamuuma sana. Siku mke kaenda kumtembelea jamaa kamwambia mke wangu humu siwezi kutoka niletee chakula chenye sumu nife...
  6. Rwanda: Wanahabari watatu waachiliwa huru baada ya kuzuiliwa jela kwa miaka minne

    Mahakama moja nchini Rwanda Jumatano imewaachilia huru waandishi wa habari watatu ambao walikuwa wanazuiliwa jela kwa miaka minne kwa madai ya kueneza habari za uongo, kesi ambayo ilitajwa na makundi ya kutetea haki za binadamu kama uzushi. Wanahabari hao watatu, Damascene Mutuyimana, Shadrack...
  7. Mwanamke jela maisha kwa kumbaka mtoto wa kiume

    Mahakama ya Rufani Tanzania imebariki kifungo cha maisha jela alichohukumiwa mwanamke mkazi wa Morogoro mjini, Shani Suleiman (35) kwa kosa la kumbaka mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 12. Ushahidi unaonyesha mwanamke huyo alikamatwa baada ya mama mzazi wa mtoto huyo, akiwa na rafiki yake...
  8. Usipochanja Mbwa, Paka faini Tsh. Milioni 10 au jela mwaka mmoja

    Ili kudhibiti kuenea na kusambaa kwa ugonjwa wa kichaa cha Mbwa sheria inasema kila mfuga mbwa au paka kumchanja ili kuzuia kichaa cha mbwa na endapo hatozingatia basi adhabu yake ni faini ya kati ya Shilingi 500,000 hadi Shilingi milioni 10 au kifungo cha mwaka mmoja jela. Mkurugenzi wa...
  9. China: Waziri wa zamani ahukumiwa kifungo cha maisha jela kosa la kupokea rushwa

    Aliyekuwa Waziri wa Sheria wa China, Fu Zhenghua amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kupokea rushwa ya zaidi ya TZS Bilioni 72 akiwa mtumishi wa umma. Hukumu hiyo yaweza kutekelezwa ndani ya miaka miwili au kuwa kifungo cha maisha baada ya miaka miwili kumalizika. Pamoja na hukumu...
  10. Kwenye ndoa za kikristo uasherati pekee ndio uliruhusiwa kuvunja ndoa, kwanini wakristo huvunja ndoa kwa sababu zingine ambazo hazijaruhusiwa?

    Nawashangaa wakristo waliokbali kufunga ndoa kwa imani ya kikristo wanaenda kinyume na sheria za kuvunja ndoa, sheria pekee iliyouhuswa ni uasherati lakini wao wanajionhezea vijisababu vyao,, kuna hizi sababu nje ya biblia nimeshaona zikipelekea ndoa kuvunjika -Kukosa amani ndani ya ndoa...
  11. Mwalimu afungwa miaka 30 kwa kumlawiti mwanafunzi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma mkoani Mara, imemuhukumu kwenda jela miaka 30 mwalimu Idrisa Athumani (29) wa shule ya Msingi Kyawazaru iliyopo wilayani Butiama baada ya kukutwa na hatia ya kumlawiti mwanafunzi wake Hukumu hiyo imetolewa leo Septemba 16,2022 ikiwa ni siku mbili tu tangu mwalimu...
  12. Lindi: Ahukumiwa maisha jela kwa kulawiti mtoto wa miaka nane

    Stevin Malikanga (48) Mkazi wa Kijiji cha Simana amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani na Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka nane. Mtuhumiwa amedaiwa kutenda kosa hilo Julai 26, 2022 baada ya kumchukua Mtoto huyo aliyekuwa akicheza nje ya...
  13. Mzee wa miaka 60 akiri kulawiti mtoto wa miaka 7, afungwa jela maisha

    Mzee wa miaka 60, Dickson Njau au ‘Babuu Saluu’, mkazi wa KDC Mbokomu katika wilaya ya Moshi, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kukiri kosa la kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka saba. Mshitakiwa ambaye hakuisumbua mahakama, alikiri kumwingiza mtoto huyo chumbani, kumvua...
  14. Mganga wa jadi jela kwa kosa la kumuua mwenzake wakigombea mwanamke

    Mganga wa kienyeji, Ismail Ramadhani (27) amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mwanaume mwenzake bila kukusudia, wakiwa wanagombania mwanamke. Ramadhani ambaye ni mkazi wa Vingunguti jijini Dar es Salaam, amehukimiwa kifungo hicho leo Jumanne...
  15. Songwe: Mtendaji afungwa jela miaka 8 kwa ubadhirifu wa fedha za umma

    Noah Ruben Mwanjali, aliyekuwa mkusanya mapato, amehukumiwa kwenda jela miaka 8 au faini ya milioni 4 kwa kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka, ufujaji na ubadhirifu wa fedha za umma, Tsh. milioni 26. Hukumu hiyo ya Shauri la Uhujumu Uchumi Na. 06/2021 imetolewa Agosti 30, chini ya...
  16. Mtendaji Katavi aliyeomba Rushwa ya 200,000 ahukumiwa miaka mitano jela

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi imetoa hukumu katika Shauri la Jinai Na. CC. 72/2021 dhidi ya Florence Noel Malilo (Kaimu Afisa Mtendaji Kijiji cha Mapili, Halmashauri ya Wilaya Mlele). Mshtakiwa alishtakiwa kwa makosa ya kuomba na kupokea rushwa ya shs. 200,000...
  17. Mbeya: Walioghushi vocha za pembejeo za kilimo wahukumiwa kwenda jela

    Mahakama ya Wilaya Kyela Mkoani Mbeya, Septemba 1, 2022 ilitoa hukumu ya mashauri mawili. Kwanza ni Shauri ya Jinai Na.91/2021 (R v Never Black Mwakalinga na Holdin Jaji), ambapo mshtakiwa wa kwanza Bi. Never Black Mwakalinga alikuwa Wakala wa Pembejeo za Kilimo katika Kijiji cha Mwaya na...
  18. Myanmar: Kiongozi aliyeondolewa madarakani afungwa miaka mitatu, tayari anatumikia mingine 17

    Mahakama inayosimamiwa na Jeshi imetoa hukumu hiyo dhidi ya Aung San Suu Kyi ambaye tayari anatumikia kifungo kingine cha miaka 17 kwa makosa 11, endapo atakutwa na hatia kwa makosa mengine, anaweza kufungwa hadi miaka 200. Suu Kyi na wanachama wengine 12,000 wa chama chake wamefungwa jela...
  19. 'Beach boy' jela maisha kwa kumbaka mtoto akimfundisha kuogelea

    Mahakama ya Wilaya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, imemhukumu Dunia Suleman (36) maarufu P squre, kutumikia kifungo cha maisha jela, baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka binti wa miaka nane. Suleman, ambaye ni beach boy na mkazi wa Msasani wilaya ya Kinondoni, anadaiwa kumbaka binti huyo...
  20. Katavi: Afisa Ardhi ahukumiwa kwenda jela Miaka 2 kwa tuhuma za Rushwa

    Afisa Ardhi Msaidizi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda, Japhet Noberth MweziMpya, amehukumiwa kwenda jela miaka 2 au kulipa faini ya TSH.200,000 kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya TSH. 70,000 Katika Hukumu hiyo ya shauri la jinai Na. CC. 90/2022 iliyotolewa Agosti 30, 2022 na Hakimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…