Nyota wa soka raia wa Brazil, Dani Alves anaweza kuachiwa huru kwa masharti kutoka jela kwa dhamana ya Euro Milioni 1 (Tsh. Bilioni 2.8) baada ya kutumikia takriban robo ya kifungo chake cha miaka minne na nusu kilitokana na madai ya ubakaji.
Beki huyo wa zamani wa Barcelona, Juventus na Timu...