Mahakama ya Wilaya ya Mtwara imemhukumu kwenda jela miaka 30, Salum Shamte (35), Mkazi wa Libobe wilayani hapa kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi.
Hukumu hiyo imetolewa siku ya Alhamisi Machi 23, 2023 (jioni) na Hakimu wa Mahakama hiyo, Lucas Jang'andu baada ya kuridhishwa na...