jengo

  1. S

    Kaombeni Vibarua Jengo la Freemason Posta, Dar

    Enyi mnaosaka vibarua ndani ya JIJI la DAR, nendeni mkaombe vibarua hapo kwenye Jengo la Freemason Dar es salaam. wanafanya maboresho ya Jengo zima kuanzia Ground Floor mpaka Paa. Huwezi Jua labda Deiwaka ni laki moja kwa siku.
  2. MK254

    Jengo la Usalama wa Taifa Urusi lapigwa bomu na drone ya Ukraine

    Dah! Sasa ikiwa usalama wa taifa (FSB) hawapo salama nani mwingine yuko salama....kama mashairi vile ==== A Ukrainian drone hit an FSB building in the city centre of Kursk, Russia, on the morning of 24 September, a source from Ukraine’s Defence Intelligence claims. Source: source of Ukrainska...
  3. Roving Journalist

    Rais Samia: Mfumo wa Posta ubadilike kuendana na Mahitaji ya sasa ya soko

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU), Arusha, leo Septemba 2, 2023. https://www.youtube.com/live/MSIbItMgQvo?si=ogAiZuUyEEvUzqqK === Rais Samia amesema huu ni mradi wa ubia uliogharamiwa na...
  4. Teknocrat

    Moto kwenye jengo la wahamiaji Johannesburg

    Kumetokea moto katika jiji la Johannesburg kwenye jengo linalotumika na wakaazi na idadi kubwa ya wahamiaji, na kuua watu 74 ambapo kuna uwezekano wa ndugu zetu wa Tanzania. Pia huwa wanajibanza haya majengo ni maarufu kwa wahamiaji kwa sababu, wengi huwa hawalipi kodi kuishi au kulipa kodi...
  5. S

    Hatima ya Jengo la kiuchumi la kanisa la Anglican(SAFINA HOUSE) mjini Dodoma, inaweza kuwa kama ya Jengo la TANESCO pale Ubungo, Dar-es-Salaam

    Huu ni mtazamo kulingana na ukweli kuwa, Jengo hili kubwa na zuri, limejengwa pembezeni mwa barabara inayoingia mijini Dodoma (katika ya mji) huku barabara ikiwa finyu na magari teyari ni mengi na siku zijazo barabara itahitajika kupanuliwa. Ukiangalia, ni wazi watakuwa wamejenga nje ya hifadhi...
  6. MK254

    Jengo ndani ya Urusi lapigwa bomu na drone ya Ukraine

    Drones zinazidi kuwa kero kwa Warusi, na sasa viwanda vya Ukraine vimechachamaa kuzalisha kwa maelfu... An explosion has occurred in the Russian city of Belgorod, damaging the facade of a high-rise building and cars. Source: Meduza, a Latvia-based Russian independent news outlet, with...
  7. Exile

    Hivi hizo tozo za jengo zinafanya kazi gani? maana umeme kutwa kukatika

    Wakuu juzi tu hapa wameongeza kodi ya mita za luku kutoka 1000 hadi 1500 inamaana kwa siku za tarehe 1 ukinunua umeme wa 5000 unapata unit 9, inamaana inakua umenunua umeme wa 3500. Kinacho sikitisha na kuchosha ni kukatika kwa umeme hovyo, sasa nyie wizara ya nishati hizo hela mnazotukata...
  8. MK254

    Ukraine wanajipigia tu majengo ya Moscow ndani, wapiga jengo lingine

    Ukraine wanafanya majaribio ya drones walizotengeneza, na sasa imekua mwendo wa kuchagua jengo lipi la kupiga Urusi, tena kwenye mji mkuu, ni mwendo wa madogo kubonyeza bonyeza tu...... Supapawa alisema akiguswa ndani ya Urusi atatumia manyuklia, tunamsklizia.....maana hana kete nyingine, katuma...
  9. Nyendo

    KWELI Kwa nchi za jirani na Tanzania Hakuna bendera ya nchi hizo iliyowahi kuwekwa jengo la Burj Khalifa baada ya Tanzania

    Kuna wakati jengo la Burj Khalifa lilisambaa mtandaoni likiwa na bendera ya Tanzania na Picha ya Rais, lakini kwa siku za hivi karibuni nimeona tena mitandaoni kuna picha za bendera za majirani zetu zikiwa kwenye jengo hilohilo. Mjadala wa bendera za nchi za Afrika mashariki kuwekwa kwenye...
  10. B

    DOKEZO Hospitali ya Rufaa Shinyanga haina mochwari

    HOSPITALI mpya ya Rufani mkoani Shinyanga iliyopo Mwawaza Manispaa ya Shinyanga haina jengo la kuhifadhia Maiti, pamoja na kukabiliwa na upungufu mkubwa wa madaktari bingwa. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dk. Yudas Ndugile amebainisha hayo jana kwenye ziara ya Waziri wa Afya Ummy Mwalimu...
  11. GENTAMYCINE

    Hivi CHADEMA walitaka wajisifie kuwa na jengo zuri au Siasa na Demokrasia nzuri za kuikomboa Tanzania?

    Halafu mkiambiwa mmepungukiwa madini ya akili Vichwani mwenu mnanuna na kukasirika. CHADEMA iliyokuwa chini ya Dkt. Wilbroad Slaa ilikuwa ya uhakika, yenye Dira, Mikakati, Hamasa, Chachu ya Mabadiliko, tishio kweli kwa CCM na ilipendwa na hata sisi akina GENTAMIYCINE tusio na chama chochote...
  12. Tarimofundiumeme

    Karibu Tukufanyie Wiring ya umeme kwema Jengo lako kwa gharama nafuu sana.Tuna leseni na tupo kwenye mfumo wa nikonekti TANESCO

    FUNDI UMEME.(Wiring za umeme) -Tunafanya Wiring za umeme kwa gharama nafuu sana. -Ikiwa umefikia stage ya kuweka miundombinu ya umeme kwenye Jengo lako wasiliana nasi, Kumbuka stage ya kwanza ni kabla ya kupiga plasta ambapo ni kuweka box za switches na kuchimbia conduit pipes ukutani. Tuna...
  13. comte

    Msanifu wa jengo ni Mtanzania ila alichofanya bora tungechukua Mwarabu

    Hili jengo ni mradi wa NSSF wa hoteli ya nyota 5 jijini Mwanza. Limesanifiwa na Mtanzania mwezetu ila ukubwa wa vyumba haufikii viwango vinavyotakiwa kwa hoteli ya nyota 5. Mwekezaji aliyekubali kuichukua ili kuiendesha itabidi achukue vyumba vitatu avivunje ili apate vyumba viwili vinavyofikia...
  14. Suley2019

    Dkt. Biteko amtaka Mkandarasi kukamilisha jengo la madini kwa wakati

    Mkandarasi wa Jengo Jipya la Wizara ya Madini Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ametakiwa kuongeza kasi ili kukamilisha jengo hilo kwa wakati. Rai hiyo, imetolewa leo Juni 13, 2023 na Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko wakati wa ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo linaloendelea kujengwa...
  15. 2 of Amerikaz most wanted

    USHUHUDA: Nilivyonusurika kufa kwa kujirusha Jengo la Mwanjonde, Malimbe Cumpus

    Ni miaka kadhaa imepita baada ya kunusurika kujitoa uhai wangu. Chanzo cha hayo yote ni maisha duni Niliyoyapitia kipindi nipo pale cumpus, nilikuwa naipambania Diploma yangu ya kwanza. Sasa baada ya kukosa msaada home yani kama nilisuswa hivi hasa ikanibidi niingie mtaani kusebenza nipate...
  16. Tarimofundiumeme

    Zijue hatua za uwekaji wiring ya umeme katika jengo lako kadri ujenzi unavyoendelea

    -Mpaka Mfumo wa Umeme Kukamilika kwenye Jengo lako hupitia Hatua 3 kuu zifuatazo 1.KABLA YA PLASTA.Huusisha Uwekaji njia za upitishaji waya za umeme,+Data,intercom,motor gate na cctv camera.( +ni option ya mteja) huanza kwa Kuchana ukuta ,Kuweka metal box za switches ,round box taa za...
  17. JanguKamaJangu

    Wamiliki wa Jengo la Millenium Towers, PSSSF watoa tamko baada ya lift kushuka ghafla na kujeruhi Watu 7

  18. HIMARS

    Lift ya Jengo la Millenium Towers yaanguka ikiwa na watu, kuzidisha idadi ya Watu kwatajwa kuwa chanzo

    Watu saba wamejeruhiwa baada ya 'lift' katika jengo la Millenium Tower - II, Dar es Salaam kuporomoka kutoka ghorofa ya 10. Jeshi la Zimamoto limesema chanzo ni lift hiyo ambayo imefanyiwa matengenezo karibuni kuzidiwa uzito ambapo waliingia zaidi ya watu 10 kwa wakati mmoja. ---
  19. T

    Nimepita jengo la bunge nimeliangaliaaa, kisha nikajiuliza, waliomo humo wanatusaidia nini?

    Daah! Kweli imekuwa kimya kwa upotevu wa matrilion tarifa za CAG? Kisa wahusika wakuu ni viongozi wa mawizara na Idara mbalimbali?? Kweli kabisa? Siamini nachokiona na kukisikia kwa masikio yangu! Daah! Ikitokea mtumishi wa chini kabisa huko kahusishwa tu na udanyifu fulani, achana na...
  20. Stephano Mgendanyi

    Dkt. Ashatu Kijaji azindua Jengo la Mionzi katika Hosipitali ya Wilaya ya Kondoa

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewataka watumishi wa afya katika Halmashauri ya Kondoa pamoja na Halmashauri ya Mji Kondoa kutoa huduma bora kwa wananchi kwa kuwa wananchi hao wanamatumaini makubwa ya kupata huduma kwa haraka na kwa uhakika. Ameyasema...
Back
Top Bottom