jengo

  1. MK254

    Jengo la Wizara ya Ulinzi mjini Moscow lachomwa moto

    Tutaongea lugha moja hivi karibuni.... A fire has broken out in the Defence Ministry building on Znamenka Street in the centre of Moscow. Source: Russian Kremlin-aligned news outlet TASS, citing emergency services Details: One of the buildings of the Russian Defence Ministry at 19 Znamenka...
  2. MK254

    Jengo la Usalama wa Taifa (FSB) latiwa kiberiti Urusi

    Ni dhihirisho tosha kuna yajayo ambayo yatapendeza siku za usoni, hauwezi kuiba ardhi ya nchi jirani na kuua wananchi wake halafu usikutwe na vituko nchini mwako... ====================== At least one person has been killed and two injured in a fire at a building used by Russia's Federal...
  3. figganigga

    Mitambo ya IPTL imeibiwa na jengo kubaki Gofu. Iliwekwa rehani na Herbinder Seth

    Nilishuhudia gari la mwisho lililobeba chuma chakavu kutoka IPTL likikamatwa pale Skansika usiku wa Jumapili 05/03 2023, ambapo watu 3 waliokuwa kwenye gari na Polisi waliokuwa wakilinda Mitambo walikamatwa na Kupelekwa Kituo cha Polisi cha Oysterbay kwa Maelekezo ya Muliro. Gari lenye mzigo...
  4. Idugunde

    Mnakomaa kwa kelele kibao kwa kiofisi kama hiki, jengeni jengo la maana kama wenzenu ACT Wazalendo

    Kelele kibao kwa kiofisi kama hiki?
  5. K

    Jengo la Serikali jipya linaloelekea kutelekezwa

    Kuna ujenzi wa jengo la Serikali linanohusiana na kuhifadhi chakula kwa njia ya mionzi ulikuwa unaendelea pembezoni mwa barabara inayoelekea Mpigi Magoe kutokea Mbezi. Hili jengo lilikuwa linajengwa na Wachina na walifikia hatua ya kufitisha madirisha. Lakini naona si chini ya miezi minne kila...
  6. Superbug

    Jengo la kitega uchumi Dar es Salaam

    Jengo hili ambalo miaka ya 80/90 ndio lilikuwa refu kuliko yote Dar es Salaam; lilijengwa miaka ya 60 na Dr Krizant Mzindakaya. Ndiye aliyesimamia ujenzi wake kwa gharama ya 40000/=tsh, ndio elfu arobaini tu!
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia: China wajenga jengo la ghorofa tisa (10 storey building) ndani ya saa 28 na dakika 45

    Chinese company Broad Group has erected a modular 10-storey apartment block, named the Living Building, in just over a day in Changsha, China. A timelapse released by Broad Group shows the 10-storey building being erected in China by a large team of workers and three cranes in 28 hours and 45...
  8. Slowly

    To be honest Architecture wa jengo la Chuo cha maji nimemkubali

    Nimeona design nyingi ya miradi ya serikali hasa majengo , ni ya hovyo hovyo na ya kitoto , design inapelekea jengo kuwa Baya na baada ya miaka miwili ya kupigwa jua jengo linaanza kupoteza mvuto. Ni tofaut Kwa Hili jengo la idara ya maji lililopo karbu na chuo cha maji ubungo , design yake ya...
  9. Rusumo one

    Vurugu ya ubomoaji wa jengo la shule ya sekondari chumvi iliyopo Uvinza

  10. sifi leo

    Joka la vichwa viwili ndani ya msingi wa jengo lililoanguka na kuua watano Marangu

    Kwema ndugu yangu Mshana Jr mwandishi nguli wa habari za watu wa kuzimu. Tafadhali naomba ufafanuzi wa hili... Juzi kuna jengo la ghorofa lilidondoka na kupelekea kupoteza maisha ya vijana wetu wasiopungua 5 kwa mujibu wa ripoti za uchunguzi. Sikubahatika kufika kwa eneo la tukio lazima...
  11. Idugunde

    Kamati ya Ujenzi CHADEMA: Jengo la chama Iringa, tunaomba michango yenu

    Yaani mjenge ofisi Iringa huku bado mmepanga Ufipa .👇
  12. Transistor

    Mfungo wa umeme wenye kupunguza uwezekano wa moto katika jengo

    "Wall and underground concealed conduit wiring" Habari wakuu, Ningependa kuelezea aina hii ya ufungaji umeme kwenye makazi,tofauti na ule wa kupitisha waya juu ya dari na ukuta. Katika mfumu huu kiasi kikubwa cha wire zinapita katika ukuta na chini ya sakafu. Mara nyingi upitishaji wa...
  13. Bazeng

    Je, Mkopo wa Benki unaweza kudhaminiwa na Jengo ambalo linaenda kujengwa kwa kutumia mkopo huo?

    Habari wana JF, Ninaomba kupata mawazo au majibu ya swali hili. Ninawazo la kujenga jengo dogo la biashara mkoa mmoja hapa Tanzania. Nina eneo tayari kikwazo ni fedha na option iliyopo ni mkopo kutoka benki yoyote ya biashara. Je, benki zinaruhusu mkopo kudhaminiwa na jengo ambalo linaenda...
  14. BARD AI

    Jengo la TANESCO lilibomolewa kwa Siasa na siyo kupisha Ujenzi

    Wakuu, nimepita mara kadhaa pale kwenye jengo la TANESCO Ubungo Maji nikaishia kushangaa tu kwanini Mwendazake alikomaa sana lile jengo libomolewe na kile kilichoitwa kupisha ujenzi wa 'Flyover' iliyopewa jina la swahiba wake hayati 'Kijazio'. Kimsingi ukipita pale utaona ni kiasi gani motive...
  15. Makanyaga

    Jengo refu kuliko yote Tanzania hadi mwaka 2022

    Opened in 2019 this is currently the tallest structure in Tanzania located along Sam Njuoma road in Dar es Salaam the building was constructed by Estim a Tanzanian company. The builiding is a complex with a 35flr tower and a 9 flr tower for office and commercial purposes with an ample parking...
  16. BARD AI

    China yaikabidhi Zimbabwe 'zawadi' ya jengo la Bunge

    Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesifu uhusiano "bora" na kati ya nchi yake na Uchina alipotoa kwa mara ya kwanza hotuba kwa Taifa katika jengo jipya la Bunge lenye thamani ya mamilioni ya dola ambao China imelitoa kwa taifa hilo kama Zawadi China ilifadhili na kujenga jengo kubwa la Bunge...
  17. Nyendo

    Ruaka, Kiambu: Wawili wafariki baada ya jengo la ghorofa 5 kuporomoka

    Watu wawili wamefariki huku mmoja akiokolewa baada ya jengo la ghorofa tano kuanguka eneo la Ruaka kaunti ya Kiambu mapema Alhamisi asubuhi. Jengo hilo liliporomoka saa 3:30 asubuhi na kuporomoka kwenye jengo lililokuwa karibu walimokuwa wamelala wapangaji. Juhudi za uokoaji zinaendelea kwa...
  18. U

    DOKEZO Ujenzi wa jengo la Mkurugenzi wa Uyui liko chini ya kiwango, wahusika wawajibishwe

    Wilaya Uyui ina maaajabu yake ambayo nahisi sijawahi ya kuyaona katika wilaya nyingine. 1. Kuna ufisadi wa kutisha katika majengo yaliyojengwa (jengo la mkurugenzi jipya) Yaani jengo la serikali limekabidhiwa hata miezi miwili halina tiles zinabanduka, helper za kupandia ngazi ya...
  19. JanguKamaJangu

    Simiyu: Mkurugenzi abomoa msingi wa jengo la madarasa kisa kujengwa kiwango cha chini

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu Msoleni Dakawa, ameamuru kubomolewa kwa msingi wa madarasa manne, uliokuwa unaendelea kujengwa katika Shule ya Sekondari Sakasaka baada ya kubaini umejengwa chini ya kiwango. Mbali na uhamuzi huo, Mkurugenzi huyo amemwagiza Fundi...
  20. J

    Ujenzi wa jengo la utawala Monduli waleta mvutano

    UJENZI WA JENGO LA UTAWALA MONDULI WALETA MVUTANO Na John Walter-Arusha Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Monduli Thomas Meiyan, ameiomba kamati ya ulinzi na usalama iliyopo chini ya mwenyekiti mkuu wa wilaya hiyo Frank Mwaisumbe kuharakisha uchunguzi wake uliokuwa unaendelea ili...
Back
Top Bottom