Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akifunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania, Viwanja vya Jeshi la Polisi CCP Mkoani Kilimanjaro, leo tarehe 17 Septemba, 2024...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ametua Mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa mkoa huo pamoja na Arusha kwa ajili ya shughuli nzito ya hapo kesho .
Ambapo Rais wetu mpendwa anatarajiwa kuwa...
Nakumbuka katika kikao Cha mkutano Mkuu wa CCM, iliofanyika jijini Dodoma mwaka 2012, Jakaya Kikwete, akiwa ni Mwenyekiti wa CCM wa Taifa na wakati huo huo akiwa ni Rais wa Tanzania wa awamu ya 4 aliwaonya vikali CCM kuwa wasilitegemee Jeshi la Polisi, kuwafanyia siasa na badala yake wapambane...
Dear Mama Samia,
Pole na majukumu ya kulitumikia taifa letu. Kwa heshima na taadhima, naomba kukufikishia kilio cha askari kadhaa wa Jeshi la Polisi ambao wamehamishwa hivi karibuni lakini bila kupewa senti tano ya uhamisho.
Kwa upande mmoja, uhamisho huo wa ghafla na usio na posho za uhamisho...
Nimeisikia taarifa iliyotolewa na msemaji wa Jeshi la Polisi, afande ACP Misime, ambayo alidai kuwa maandamano ya CHADEMAni ni haramu, Kwa hivyo wameyapiga marufuku.
Lakini katika taarifa hiyo ya Afande Misime, hajaongelea kabisa, madai ya CHADEMA waliyoyatoa katika taarifa yao ya kuitisha...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amezindua Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi huku akiipa majukumu bodi hiyo kulisimamia shirika ambalo linaenda kutekeleza miradi mbalimbali ambayo inaenda kuleta mabadiliko makubwa kwa Jeshi la Polisi katika kukabiliana...
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, David Misime, ameeleza kuwa Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA, ambayo yalikuwa yamepangwa kufanyika Septemba 23 katika jiji kuu la kibiashara, Dar es Salaam. Marufuku hiyo imetolewa kwa lengo la kudumisha amani na usalama...
ali kibao
ali kibao auawa
ccm
chadema
jeshilapolisi
kuelekea 2025
maandamano ya chadema
marufuku kuandamana
polisi kuzuia maandamano
siasa tanzania
utekaji tanzania
uvunjifu wa amani
Kwanini jeshi la polisi hamzishuhulikii daladala zinazosimana katikati ya barabara kwenye kushusha ama kupakia abiria?
Ninyi polisi mmelizika kuchua viaftano tano ndio mmeshalizika kila dalalada isimame hata sehemu zisizo salama na kusababisha foleni ambayo huleta kero kwa watumiaji wengine wa...
Meya mstaafu wa jiji la Dar es Salaam, Boniface Jacob, amesema kuwa alipokea taarifa kwamba Jumanne, tarehe 10 Septemba 2024, Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, kupitia Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa (RCO), liliwasiliana na mawakili wa CHADEMA na kuwaeleza kuwa wanamuhitaji Katibu Mkuu wa chama...
Kwa kanuni na Sheria ndani ya Jamhuri ya Tanzania, jeshi la Polisi Tanzania ndio lenye mamlaka ya kulinda raia na mali zake, hivyo vitendo vya wanananchi kutekwa na kuuawa jeshi ili linatakiwa kupokea lawama juu yake na kukabiliana nazo kikamilifu.
Ni aibu sana tena kama wauni wanadiriki...
Kila mtu alishangaa sana Rais Samia kuwapa nafasi hizo maaskari hawa (Camillius Wambura - IGP na Ramadhani Kingai - DCI)
Hawa ndiyo waliokuwa vinara wa kutengeneza kesi bandia ya ugaidi dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA - taifa Mh. Freeman Mbowe mwaka 2020.
Tuliwaona walivyokuwa wababaishaji na...
Hilo tukio la kutekwa Kwa Mzee Kibao halikufanywa sirini, limefanywa mchana kweupe na hao watekaji Wala hawakuwa na hofu, kwa kuwa walimshusha toka Kwenye Bus la Tashriff, lililokuwa linaelekea Tanga, eneo la Tegeta Kibo complex.
Mashuhuda wa tukio Hilo la kutekwa Kwa Mzee Kibao na hatimaye...
Juzi kati hapa polisi waliwatuhumu CHADEMA kuwa na njama za kuchoma vituo na kuleta ghasia. Tuhuma ambazo zilitolewa na msemaji wa jeshi la polisi.
CHADEMA walijibu juu juu na kukanusha . Walibaki kumshambulia msemaji wa jeshi la polisi kwa kebehi na vitisho.
Huyu mzee aliyeuawawa kikatili...
Timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu ili kuhakikisha waliofanya mauaji ya Ali Kibao Kada wa CHADEMA wanakamatwa na kufikishwa mahakamani.
Jana Septemba 7, 2024 Jeshi la Polisi lilitoa taarifa juu...
Nchi imejawa na simanzi kwa mauaji ya kikatili. Kitendi kiovu kilichopindukia mauaji haya ni muendekezo wa vitendo vya kikatili, utekaji na kupotezana.
Imesimuliwa kuwa mzee Kibao alitekwa hivi karibuni ajishushwa ndani ya basi na watu wenye silaha wakijitambulisha ni askari polisi tena wakiwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Hii ndio taarifa ya jeshi la polisi
Soma Pia:
Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao
Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limethibitisha kuwashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya mama na bintiye wakazi wa mkoani humo
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Alchelaus Mutalemwa amewataja watu hao ambao ni Daudi Elias Nyakongo (45), Rajabu Rashidi (45) na Fikiri Steven (45) wote...
Jeshi letu la police Sasa Watu wengi hawaliamini kama kweli lipo kutekeleza majukumu yake kikatiba ya kulinda raia na mali zao
Majeshi mengine yanakubalika Kwa uadilifi na kufanya kazi nzuri
Mfano Jeshi la wananchi JWTZ linatimiza majukumu yake ya kulinda mipaka ya nchi na linaheshimika sana na...
Ajali za barabarani ni tatizo linaloendelea kukua nchini Tanzania na linaathiri jamii kwa namna nyingi. Kila siku, tunasikia habari za ajali mbaya zinazosababisha vifo na majeruhi, hususan kwa watu wasio na hatia.
Hali hii inasikitisha sana, na swali linalojitokeza ni: Kwanini jeshi la polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.