Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa taarifa rasmi kuhusu operesheni mbalimbali zilizofanyika katika kipindi cha hivi karibuni. Taarifa hiyo inatoa muhtasari wa hatua zilizochukuliwa na jeshi hilo katika kudhibiti uhalifu na kuhakikisha usalama wa raia.
Katika taarifa hiyo, Jeshi la Polisi...
Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemkamata kada wa Chadema, Vitus Nkuna kwa kusababisha ajali mnamo Septemba 30, 2024. Kamanda wa Polisi, SACP Allan Bukumbi, ameeleza kuwa Nkuna alikuwa anaendesha gari akiwa na kiwango kikubwa cha ulevi, hali iliyosababisha kugonga gari la kampuni ya KINGS.
Hata...
ajali
chadema
iringa
jeshijeshilapolisi
kada
kada wa chadema
kusababisha
kutoka
mkoani
mtandaoni
polisi
rpc
siasa za chadema
siasa za tanzania
taarifa
vitus nkuna
wasiojulikana
watu wasiojulikana
Ndugu Mtwenya Silas alizaliwa mnamo mwaka 1998 wilaya ya Busega kata ya Shigala mkoa wa Simiyu.
Ndugu walipewa Habari za kifo cha ndugu yao aliyepatikana akiwa amechinjwa wilayani Kahama, bado haijajulikana chanzo halisi cha kifo cha ndugu Mtwenya Silas.
Hivyo basi tunaliomba Jeshi la polisi...
Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .
Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa...
Baadhi ya polisi wa barabarani wamekuwa wakiandikia fine malori ya mizigo kwa makosa ambayo hayapo ili wajipatie pesa. Mfano kosa la gari bovu. Gari limetembea kutoka Mwanza hadi Dar ila wanasimamisha wanaandika gari bovu kisa hamna nati moja au mbili au bumber limechomoka.
Gari bovu linawezaje...
Anonymous
Thread
fine za mchongo
jeshilapolisipolisi barabarani
rushwa
rushwa kwa trafifiki
rushwa polisi
trafiki
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni haki ya msingi Kwa chama chochote Cha siasa kufanya maandamano ya amani Ili kufikisha ujumbe muhimu Kwa serikali inayotuongoza.
Hata hivyo haki hiyo imekuwa ikiminywa na watawala Kwa kulitumia Jeshi la Polisi, Kwa kisingizio tu Cha...
Tukirudi nyuma, ni kwamba baada ya kukamatwa kama Jambazi pale hadharani Sinza na kufikishwa mahakamani, Bonny alinyimwa dhamana kwa sababu za kichovu, ikiwemo ile ya eti Usalama wake uko hatarini
Mahakama ikijua kwamba Bonny Yai juzi tu alirejesha fomu ya kuomba Uenyekiti wa Chadema kwa...
Baada ya kuwepo kwa malalamiko na mashauri mengi kuhusu uhalali wa Jeshi La Polisi Tanzania kuzuia maandamano nchini hatimaye Jeshi hilo limeamua kutoa ufafanuzi kuhusu sakata hilo.
Tamko hili la Jeshi La Polisi linakuja siku chache tangu Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam, Jumanne...
Tunataka jeshi la wasomi wenye GPA kubwa ili wakifanya mambo ya hovyo tuwe na haki zote za kuwanyooshea kidole.
Mtu aliyeishia form 4 na kupata division 4 hawezi kulaumiwa kwani upeo wake hauwezi kuwa wa juu. Muda wote atahitaji kutumia nguvu kuliko akili katika utatuzi wa changamoto...
Mwezi May 2024 Jeshi la Polisi lilitoa tangazo la ajira kutokana na viwango vya elimu na kada mbalimbali.
Tar 22/07/2024 Tangazo la kuitwa kwenye usaili lilitangazwa, ambapo kwa Tanzania bara idadi ya vijana walioitwa ni 31930(ambapo kwa wenye fani ni 2238). Kwa upande wa Zanzibar vijana 2068...
Jeshi la Polisi Tanzania limeonekana likizingira ofisi za CHADEMA Mikocheni hadi leo hii sijui sababu hasa za kufanya hivi ni nini. Kuna matukio mengi ya uhalifu yanaendelea nchini ni vyema polisi wakasambazwa kushughulikia matukio haya kama walivyasambazwa kushughulika na waandamanaji.
Watu wengi wanapotea kwa taarifa kua walichukuliwa, waliitwa ama kukamatwa na Polisi ilihali maiti ikiokotwa sehemu kadhaa, na imefikia hatua Halmashauri ya Mkuranga kutangazwa kazi ya kuzika maiti ambazo wenyewe hawajulikani.
Tazama clip hii watu wakiamriwa na jeshi la polisi wachague ama...
Yaani kwanini Jeshi la Polisi ??
Kijana Johnson Josephat ambaye shughuli yake inaelezwa ni kuuza vyuma chakavu mkazi wa mtaa wa Mulieti amefariki dunia katika mtaa wa Eso ambapo ameifanya kwa miaka 6 bila kupata tatizo lolote lakini amepatwa na umauti kwa kile kinachoelezwa ni mzozano ambao...
Watu watatu wamekutwa wamefariki dunia kwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana eneo la msitu wa Hifadhi ya Korogwe Fuel, uliopo Kijiji cha Sindeni wilayani Handeni mkoani Tanga.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 24, 2024 kuhusu tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius...
🅻🅸🆅🅴 MWABUKUSI RAIS WA TLS ANAZUNGUMZA MUDA HUU.
Rais wa TLS mwanasheria Boniface Mwabukusi akiongoea na waandishi wa habari kuhusu hatua walizochikua kuzuia maandamano ya jana tarehe 23 September 2024 walikosea
https://m.youtube.com/watch?v=azUKcQAt0jc
Rais wa TLS akiongea na jopo la...
Kulikuwa na haja gani kwa jeshi la polisi kutumia gharama kubwa kufanya gwaride nchi nzima kwa mwezi mzima, na kutumia silaha za kivita kuja kumkamata Mbowe asubuhi na kumwachia jioni. Upuuzi!
Kulikuwa na haja gani ku deploy polisi zaidi ya elfu moja DAR kuleta magari ya washawasha kutoka...
Tanzania ni kisiwa cha AMANI NA UTULIVU duniani. Tukiharibikiwa hatuna pa kukimbilia - majirani zetu wote wako ktk maisha ya mshikaki.
Wakati baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakitangaza mfululizo habari za kuwepo maandamano kila mkulima nchini alipata wasiwasi juu ya matokeo ya maandamano iwapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.