jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa amesema hakuna mtu yeyote ambaye anaruhusiwa kuchangisha fedha kufuatia tukio la ajali ya kupomoka kwa grorofa la Kariakoo. Pia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kuzungumza katika eneo hilo akasema JENIFER JOVIN maarufu...
  2. Cute Wife

    Kwa mahojiano haya ya Deo Bonge na Ayo, atakuwa 'amefinywa'? Asema aachwe apumzike, analiamini Jeshi la Polisi kufanya kazi yake

    Wakuu, Millard kafanya mahojiano na bonge kueleza kwa undani kilkchotokea. Tunamjua Millard🌚🌚... mnasemaje wakuu? Wazee wa kusoma kuread between the lines na kuangalia body language, ukiangalia maswali ya Ayo TV na majibu ya Bonge, unapata conclusion gani? Naomba pia ujikumbushe kwenye uzi...
  3. Cute Wife

    Mwanza: Jeshi la Polisi latoa taarifa za uhalifu ikiwemo ulawiti na ubakaji pamoja na wanawake wanaojihusisha na ukahaba

    Wakuu, Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza linawashikilia jumla ya watu 91 wakituhumiwa kuhusika katika matukio mbalimbali ya kihalifu yakiwemo ya ulawiti na ubakaji, wizi na wanawake wanaojihusisha na vitendo vya ukahaba hapa jijini. Pia madereva Sita wa mabasi ambao watachukuliwa hatua kali za...
  4. Cute Wife

    Pre GE2025 INEC watoa elimu kwa Wakuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) ili kuliweka tayari Jeshi la Polisi wakati wa mchakato wa Uchaguzi

    Wakuu, Mambo yanazidi kuiva.. ==== Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) katika kuhakikisha inatoa Elimu ya Mpiga Kura kwa makundi mbalimbali katika jamii, Novemba, 2024 imetoa elimu hiyo kwa Wakuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) nchini katika mafunzo yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Moshi...
  5. Q

    Roho ya CCM inaning'nia kwenye uzi ulioshikiliwa na Jeshi la Polisi

    Usiporuhusu ushindani kwenye biashara yako huwezi kujua ubora wa bidhaa zako kwenye soko, vile vile usiporuhusu uchaguzi huru huwezi kujua kama wananchi bado wanakiunga mikono chama chako. Imagine Simba aikimbie Yanga kwenye mechi na mwisho wa ligi Yanga atangazwe bingwa, au Azam TV aikimbie...
  6. Cute Wife

    Jeshi la Polisi kuunda Tume kuchunguza ajali iliyoua vijana wanaosemekana kuuliwa na polisi kutokana na kesi ya uchimbaji mchanga

    Kutokana na ACT Wazalendo vijana hao wameuliwa kwa kupigwa risasi kutokana na kesi ya uchimbaji mchanga, huku taarifa inasema ni ajali! Lipi ni lipi? Kupata tamko la ACT bofya hapa: Zanzibar: Vijana wawili wauawa na wengine 2 kuumizwa vibaya. ACT yataka Jeshi na Polisi kufanyiwa mabadiliko...
  7. Roving Journalist

    Zanzibar: Vijana wawili wauawa na wengine 2 kuumizwa vibaya. ACT yataka Jeshi na Polisi kufanyiwa mabadiliko Kimuundo na Kiutendaji

    TAARIFA KWA UMMA TUNAITAKA SERIKALI KULIFANYIA MABADILIKO MAKUBWA JESHI LA POLISI, KIMUUNDO NA KIUTENDAJI ACT Wazalendo tumepokea kwa huzuni na masikitiko makubwa taarifa za kuuliwa kikatili kwa vijana wawili (2) na wengine wawili (2) kujeruhiwa vibaya na Jeshi la Polisi Zanzibar, jana tarehe...
  8. Msanii

    Jeshi la Polisi ni fedheha dhidi ya demokrasia nchini

    Kulizungumzia Jeshi la Polisi Tanzania haimaanishi kutishia ama kuingilia usalama wa nchi. Soma hii taarifa yao hapa chini Pia soma: LGE2024 - Polisi: Kuna chama cha Siasa kinapanga kufanya Vurugu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Siyo mara ya kwanza polisi kutoa tuhuma ambazo hawajawahi...
  9. Mtoa Taarifa

    LGE2024 Polisi: Kuna chama cha Siasa kinapanga kufanya Vurugu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    TAARIFA KWA UMMA Baada ya uteuzi wa Wagombea wa nafasi za Uongozi katika nafasi mbalimbali za Serikali za Mitaa, kuna Chama cha Siasa kimepanga na kinahamasisha wafuasi wao kwa njia mbalimbali ikiwepo kukutana, kupigiana simu, kutumiana ujumbe na kwa kutumia makundi sogozi, kudhuru watu na...
  10. Roving Journalist

    LGE2024 Mbeya: Jeshi la Polisi lawataka Wananchi, Wagombea kutii Sheria bila shuruti ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria

    Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, Jeshi la Polisi linawataka wananchi, wagombea na wafuasi wa vyama vya siasa kutii sheria bila shuruti ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kukamatwa na kufikishwa mahakamani. Aidha, Jeshi la Polisi Mkoa...
  11. flamini

    Website ya Jeshi la Polisi imeboreshwa na nimeipenda

    Waungwana Hamjambo? Website ya Jeshi letu pendwa la Polisi imependeza. Kama mtembeleaji na Mdau wa Jeshi letu Leo nimetembelea nimeona mabadiliko. Kwanza Heko Kwa graphic designer Kwa rangi na boldness of it. Pia nimeipenda walivoweka an update feed Kwa post a recent video of police force...
  12. Roving Journalist

    LGE2024 Polisi: Kada wa CHADEMA aliyefariki alipata ajali ya Bodaboda akiwa amelewa

    Tumeshuhudia kupitia mitandao ya kijamii ikitolewa taarifa ya kutaka kuupotosha umma kuhusiana na kifo cha Joseph Remigius, Miaka 52 mkazi wa Kijiji cha Karagara, Wilaya ya Misenyi Mkoa wa Kagera ambaye alikuwa ametia nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Kijiji kupitia Chama cha Demokrasia na...
  13. Cute Wife

    Polisi wamtia mbaroni anayedaiwa kuwa "Afisa Usalama" aliyemjeruhi raia kwa 'kitako cha bunduki'

    Wakuu, Baada ya kuwepo kwa video zinazosambaa mtandaoni kuhusu mwanaume mmoja aliyedaiwa kuwa ni Afisa wa Usalama wa Taifa mwenye jina la Derick Junior kumpiga raia kwa kitako cha bunduki wakati akiwa kwenye 1234 club huko Masaki, Jeshi la Polisi hatimaye limetoa tamko. Kwenye tamko lao...
  14. Damaso

    Jeshi la Polisi: Ndoo sio choo, tusubirie utekelezaji wake

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Jeshi la Magereza kuchukua hatua zinazowezekana kwa kutumia rasiliamli zilizopo, kuondoa dhana ya kudhalilisha utu na kukiuka haki za binadamu kwa wafungwa. https://youtu.be/u-0S0jmUsuQ?si=lWVDbgKVZmI5KlP6...
  15. Mkalukungone mwamba

    LGE2024 Katavi: Mwenyekiti wa CHADEMA pamoja na timu yake wanadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi

    Mbilinge zinaendelea za kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa. Huku tukiendelea kusikia mambo yanayotokea kwenye vituo vya kujiandikisha. Leo huko Katavi yalitokea ni haya ================== Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela, pamoja na...
  16. Mindyou

    Pre GE2025 Dodoma: Jeshi La Polisi lapigwa msasa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu namna bora ya kuendesha Uchaguzi Mkuu 2025

    Maafisa wa Polisi nchini wametakiwa kuimarisha uelewa wao kuhusu sheria zinazohusiana na uchaguzi ili kuepuka ushawishi wa kisiasa wa wanasiasa wanaojaribu kupotosha sheria hizo kwa maslahi yao. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani, alitoa wito huu...
  17. R

    Huduma ya jeshi la polisi ya kuripoti mali iliyopotea (lormis) mbona haifanyi kazi?

    Baada ya kusajili mali iliyopotea nimetumiwa control number nifanye malipo ya usajili lakini kila nikijaribu kulipa inasema control number ni batili. Nimepiga simu makao makuu nikaambiwa niende kituo cha polisi kilicho kariba. Nimefika huko nako sikupata ufumbuzi! Nimeambiwa labia mtandao...
  18. chiembe

    Mtoto aliyepotea kwa siku 26 apatikana baada ya kuokotwa na Msamaria mwema

    Mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Bagara aliyepotea katika mlima wa Kwaraa baada ya kwenda kufanya utalii wa ndani pamoja na masomo Kwa vitendo, Mwanafunzi huyo amepatikana akiwa amedhoofika huku akiwa na majeraha ya kukwaruzwa na miti na miba. Mtoto Joel amepatikana baada...
  19. M

    Pwani: Wafanyakazi wa kampuni ya mikopo ya OYA, mbaroni kwa tuhuma za mauaji

    Very sadful
  20. Kalamu Nzito

    Sativa alipia matangazo Instagram kuanika uchafu wa Jeshi la Polisi

    Edgar Mwakabela maarufu kama Sativa ambaye ni muhanga wa matukio ya utekaji, leo hii amelipia matangazo ya Instagram ili kuanika uhalifu unaofanywa baadhi ya askari wa jeshi la polisi. Haya ameyaeleza Sativa katika ukurasa wake wa Twitter (X) leo tarehe 06/10/2024, ambapo ametenga bajeti ya...
Back
Top Bottom